Nimetembea na wanawake 29 ndani ya mwaka mmoja

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Tangu june 2019 mpaka hivi sasa.

Nadhani unaweza kuniita player, ila kusema ukwel warembo wengi wanavutiwa na mimi. Mimi ni mtu wa viwanja sana, hivyo kwa kawaida napata one night stand si chini ya mara moja kwa wiki na warembo ninawadaka sehemu mbalimbali. Yafuatayo ni baadhi niliyojifunza kuhusu wanawake ndani ya mwaka mmoja.

- Hawa wenzetu wana hamu (genye) mara 2 zaidi yetu sisi. wanapenda migegedo mara nyingi iwezekanavyo. nadhani weng wao wako addicted na migegedo.

- Wengi wao walio wazuri kimuonekano hawana akili za kutosha. huwa wanawachukulia wanaume kama mashine za kuwagegeda tu. hawawachukulii wanaume kama watu wa kujihusisha nao kwenye mahusiano ya muda mrefu.

- Uso wako sio jambo la muhumu, lakini muonekano wako wa mwil una mata sana. Ni viumbe vipendavyo kuzingatia muonekano hivyo basi ukiwa na mwili uliojikata vyema unauwezekano mkubwa wa kuwachota. Asilimia 70 ya warembo ninlio gegeda wamesifia muonekano wangu wa mwili.

- Nguo/Mavazi hayajalishi. Pisi kali ambazo nimegegeda nilizidaka nikiwa na mavazi ya kawaida sana.

- Kama wewe unajijua ni mfupi na una sura mbaya wala usijalibu klwenda maeneo ya viwanja kama vile klabu etc kwa sababu uwepo wa mtu kama mimi utakufanya usionekane kabisa na wala kuzingatiwa kabisa na pisi kali.

Jinsi nilivyo:-
Urefu 5'8
Rangi Maji ya kunde
Tabia Mchangamfu wastani.
Kpato Wastani sana yaani.

-
 
Faida ulizopata haswa Ni zipi kumzidi aliyegegeda demu Moja? Ukapime ngoma ulete majibu hapa
 
Mwaka una wiki 34 wewe umezitumis wikendi 29 tu na bado ukapumzika wiki kama 4.Naoona upo vizuri ila ongeza juhudi ili kila wiki angalau kuwe na mwanamke mmoja

Hapana, MWAKA un WIKI 52 .
kwanza alowatumia ni wachache sana kuna mpuuzi mmoja ye alikuwa anaandika kwenye Daftari kabisa yaani tangu aaanze huo ujinga kila mwaka anachinja wanawake zaidi ya 60. Naita upuuzi mana maisha yake hayana kitu anachoweza kujivunia kama mwanaume zaidi ya kumaliza hela kwenye huo ujinga.
 
Kwa mademu wa kumbi za starehe, hiyo idadi ni ndogo sana mkuu. Maana wenyewe nikama bidhaa, wala usidhan wanapenda muonekano wako, nipesa zako wanapenda,

Jitahidi sana kuongeza juhudi ikifuka mahali ukashindwa kujua idadi ya unao watafuna ndio kidogo utakuwa katika levo ambayo iko sawa.
 
Back
Top Bottom