Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.

Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!

Meko atakufa kwa pressure mwaka huu.

Anajuta sana kwanini aliwaziba wenzie midomo kwenye masuala ya kisiasa kwa miaka minne na nusu.

Alipokuwa anatamba peke yake alidhani watanzania wanampenda kumbe alikuwa anajidanganya.

Ona sasa mgombea wa CHADEMA anavyopokelewa kifalme kila apitapo.
 
Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama. Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
Duh mkuu naona Mara imezizima hapo kweli mwaka huu ni mwaka wa CDM, Mungu awalinde katika safari yenu naamini hadi mwisho wa safari tutakuwa tumeelewana kabisa.
 
Meko atakufa kwa pressure mwaka huu.

Anajuta sana kwanini aliwaziba wenzie midomo kwenye masuala ya kisiasa kwa miaka minne na nusu.

Alipokuwa anatamba peke yake alidhani watanzania wanampenda kumbe alikuwa anajidanganya.

Ona sasa mgombea wa CHADEMA anavyopokelewa kifalme kila apitapo.
Hafi wala hana pressure, yuko fresh kabisa. Nyie campaign yenu imekuwa ni vilio tuu
 
Back
Top Bottom