Kwanini wanawake huwa mnasinzia haraka sana baada ya gegedo?

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,410
Natumai hamjambo wanajamvi.

Baada ya mpambano mkali wa burudani ya gegedo kwa bed wanawake hupitiwa na usingizi wa haraka sana, mnaweza kua mnapga stori mbili tatu baada ya game unashtukia mwenzako kashasinzia unaongea mwenyewe tu.

Sasa nachojiuliza hali hiyo hutokana na nini maana kama ni uchovu mwanaume ndo anapaswa kusinzia mapema coz ndo anachakarika zaidi gemuni.

Wadada mtufahamishe usingizi ule wa ghafla hutokana na nini?
 
Back
Top Bottom