wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aina nne za Wanawake Michepuko

    1. ๐— ๐—–๐—›๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—Ÿ๐—”๐— ๐—œ: ๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ผ ๐—ต๐—ฎ๐˜‚๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ถ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ, ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฒ๐—ฝ๐—ฒ, ๐˜‚๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—ฎ๐˜‚ ๐˜‚๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ฒ ๐—บ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฎ ๐˜๐˜‚. 2. ๐— ๐—–๐—›๐—˜๐—ฃ๐—จ๐—ž๐—ข ๐—ฉ๐—จ๐— ๐—•๐—œ: ๐—›๐˜‚๐˜‚ ๐—ป๐—ถ ๐˜‚๐—น๐—ฒ ๐˜„๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—บ๐˜‚! ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ผ๐—ผ๐—ผ๐—ต๐—ต๐—ต ๐˜€๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—ฝ๐—ฒ๐˜€๐—ฎ, ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ, ๐˜€๐—ถ๐—ท๐˜‚๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐—ฎ, ๐—ผ๐—ผ๐—ผ๐—ต ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ป๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐˜€๐—ฎ๐—น๐˜‚๐—ป๐—ถ ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ฒ๐—น๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ฒ๐—น๐—ฎ๐˜๐—ต๐—ถ๐—ป, ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐—น๐—ถ ๐—ป.๐—ธ! ๐—ก๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ผ...
  2. JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake wanene au wafupi

    Hawa wana sifa za kipekee zinazowavutia wanaume wengi, nazo ni:- Wavumilivu katika mahusiano Wana wivu sana kwa waume zao Wanapenda sana tendo la ndoa Wana hisia kali; ukiwa nao kwenye zoezi wanajua kung'ang'ania Hawavutiwi na pesa kwenye mahusiano Wanavutiwa sana na shoo za kibabe Kwako...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake wa miaka hii kwa mnafahamu kuwa wanaume wamepunguza kuwatongoza?

    Miaka ya 2000 kwenda mbele wimbi la wanaume wamepunguza kuwatongoza na tena kipindi hiki cha mama ndio kabisa. Tunafahamu wanawake wana mambo mengi wanayo hitaji ila kwa sasa ni too much kwa miaka hii. Zamani mwanaume aliweza kumudu wanawake hata watano na wote kuwa mudu kiuchumu. Ila sasa...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wamekuwa ni jeshi dhidi ya nani?

    Wakuu Ts nonsense Kwa mtizamo wangu, hii kitu inyoendelea kwenye social media platforms inaweza kuwaletea shida mbeleni wana-CCM! Political strategist waione mapema hii. Wameanza kuwa"brand" wanawake wa nchi hii dhidi ya nani? Je, vijana wa Nchii hii nao wakija na slogan yao sijui itakuwaje...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wafupi wengi wao huzaa kwa "upasuaji": Kuna ukweli gani ktk hili?

    Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito. Kuna ukweli gani ktk hili? My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake jifunzeni kuvutia waume zenu hata baada ya miaka 10 kwenye ndoa

    Chagamoto kubwa siku hizi ambayo inasababisha ndoa ziingie kwenye migogoro isio isha ni uzembe wa wanawake kwenye ndoa, unaoa mke ukiwa 30yrs yeye akiwa 23yrs, kwa umri huo anakua na sura nzuri na makeups chura sauti nzuri umbo safi, kwa kweli anakua na mvuto kila siku, unatamani kukutana nae...
  7. JamiiForums Tanzania Kwani Wanawake mko wapi?

    KWANI WANAWAKE MPO WAPI? Na Moh'd Majaliwa, Adv. Kiasi imenistaajabisha na kunistua, sikuitarajia hali hii. Kwenye makutano na mikusanyiko mingi ya maana na ya kipuuzi, wanawake nyie huwa wengi zaidi ya wanaume, yaani mmekuwa wepesi kuhamasika na kwa ajili hiyo kipimo cha jambo lako la...
  8. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi Kwa wanawake: Usiolewe na mwanaume mpumbavu na mwoga!

    USIOLEWE NA MWANAUME MPUMBAVU NA MWOGA! Kwa Mkono wa RObert Heriel. Leo nitakaanga wapumbavu wote na waoga bila kupepesa. Iwe ni Mimi mwenyewe, wewe au Yule. Andiko hili halitamkwepa mwanaume yeyote Mpumbavu na mwoga bila kujali nafasi yake, hadhi yake, na umri wake. Aidha andiko hili...
  9. JamiiForums Tanzania Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia: Ukatili kwenye Mitandao na madhara yake

    Kukua kwa Teknolojia ya kidigitali pamoja na mlipuko wa ugonjwa wa UVIKO-19 umechangia mabadiliko ya mfumo wa kufanya kazi. Watu wengi wamekuwa wakitumia teknolojia ya TEHAMA na mitandao kama sehemu za kupata taarifa kukuza biashara zao, kufanya kazi na mawasiliano kwa ujumla. Hata hivyo, kwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wivu wa kimapenzi: Wanawake ni wakali kwa wanawake kuliko kwa mabinti

    Huu ni utafiti usio rasimi lakini kuna ukweli ndani yake Mwanamke aliye kwenye ndoa anakuwa na wivu wa juu kwa mwanamke mwingine hasa mke wa mtu kwa asilimia 90% hasa akibaini anatembea na mume wake Anakuwa na wivu kwa mwanamke aliyeachika kwa asilimia 100 Anakuwa na wivu kwa binti kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Kwenye kero nilizozikuta wapo wanaume wanaonyanyaswa. Kuna wanawake wana fedha wanahitaji tu wanaume wa kuwaoa

    Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Amos Makalla amesema kwenye dawati la jinsia kuna wanaume aliowaita marioo wanakuja kulalamika kunyanyaswa na wanawake wenye fedha kwani huwapatia vitu alafu wakiachana wanawanyang'anya kila kitu hivyo hurudi nyuma kimaisha kwa kuwa mwanaume suruali. ======== Mkuu...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa China barani Afrika watokana na ushirikiano wa dhati kati ya pande hizo mbili

    Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza duniani, mbele ya Marekani, mashirika ya kikanda, mashirika ya Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika. Haya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya wanawake kutoa treat kwa wapenzi wao na ikajulikana hivyo?

    Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing). Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa kiganjani mwake kisha kwa siri/kificho anakupatia ili ufanye malipo mtakapoletewa ankara ya huduma...
  14. JamiiForums Tanzania Aina za wanawake

    AINA NNE YA WAKE. Katika ndoa mwanaume hukutakana na Aina nne za wake. Na Aina hizo zinaathari katika ndoa yake kwa namna moja au nyingine. Na aina hizo ni. 1. Mke penzi kubwa. Mke penzi kubwa ni mke ambaye ana mapenzi makubwa sana na mume wake. Na huyuko tayari kujiingiza kwenye pirika...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake: Ukipokea pesa kutoka kwa wakala au namba ngeni unafanyaje?

    Habari wadau wa MMU, Naanzia mbali kidogo; kwa kifupi niko kwenye mahusiano na binti fulani ambaye sio mchoyo, yaani nikitaka napata, tena napata kwelikweli. Tofauti na baadhi ya wanawake niliowahi kuwa nao ambao pamoja na kunipiga mizinga, kuwapata walikua wanasumbua kidogo. Mfano mnapanga...
  16. JamiiForums Tanzania Ripoti: Janga la COVID-19 limewaathiri zaidi Wanawake kiuchumi na kijamii

    Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote. Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu wa Mapato na Elimu, kuongezeka kwa matukio ya ukatili, Ndoa za utotoni na biashara haramu ya...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wanawake tunaowahonga

    Juzi niliangalia Video ya mdada anayefanya u sugar baby Akihojiwa, anasema yeye anadate na wanaume wenye pesa Nyingi, ili apewe pesa itakayomfanya aishi maisha ya juu. Anasema aki-interact na wanaume wanaomuhonga, kiuhalisia hafurahii kabisa anapoongea nao na anapokua nao kwenye date, ila...
  18. JamiiForums Tanzania Siri ya Wanawake kuficha mateso ndani ya ndoa

    Manyanyaso kwenye ndoa limekuwa jambo la miaka mingi, kiasi kama limeonekana ni kawaida. Na muhanga mara nyingi huwa ni mwanamke, sababu kuu ni kuwa Unyanyasaji huusisha nguvu za kimwili na kiuchumi, ambazo zote ziko mikononi mwa mwanaume. Na Unyanyasaji uko wa namna mbili, wa kihisia na...
  19. JamiiForums Tanzania Taliban yapiga marufuku ushiriki wa Wanawake kwenye tamthilia

    Serikali ya Taliban imevitaka Vituo vya Televisheni kuacha kurusha Tamthilia au Maigizo yenye Waigizaji wa Kike. Waandishi wa Habari na Watangazaji Wanawake wametakiwa kuvaa Hijabu. Vipindi vya Burudani na Vichekesho vinavyokejeli Dini au vinavyoweza kuwachukiza Raia wa Afghanistan pia...
  20. JamiiForums Tanzania Siku hizi wanawake huchoka mapema sana wakati wa kufanya mapenzi

    Ndiyo, Hili Tuliite wimbi la wanawake wengi kuchoka haraka. Maana hii imekua too much. (Msiniulize Nimetembea nao wangapi, Ila wee jua tu Ni wengi) TAHADHALI: Mnaojiona Ni Maparoko, mashehe, maustadhi, wayahudi wafilisti, manabii, wainjilisti na mashemasi huu Uzi mngekaa nao mbali kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ