Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,082
- 61,997
Wanawake wengi siku hizi hawaolewi, sijui tatizo ni nini; hata wakiolewa baada ya muda fulani wanaachana na kuwa singo maza. Najaribu kufanya utafiti angalau nijue sababu inayowafanya wabaki walivyo, lakini bado kupata majibu.
Unaweza pia kuthibitisha hili ninalolisema, kwa kuangalia kwa mazingira uliyopo, unakuta mdada ana miaka 35 au 40 ana kazi nzuri, lakini hana mume. Ina maana kwa sasa dunia imeshakuwa na upungufu wa wanaume kiasi hicho?
Wakuu naombeni majibu.