Ukraine: Mbunge asema wanawake watapigana kama wanaume

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Mbunge wa Bunge la #Ukraine, Kira Rudik amechapisha picha akiwa ameshika bunduki na kuandika kuwa anajifunza ili kutetea ardhi yake dhidi ya #Urusi

Ameandika wanawake watatetea ardhi ya nchi yao kama wanaume. Ukraine ilitangaza kuwaua wanajeshi 1000 wa Urusi.

Hata hivyo asubuhi ya Februari 26, majeshi ya Urusi yamezidi kuukaribia mji wa Kyiv.
IMG_20220226_080158_881.jpg
 
Inapofikia hatua hii ndipo unapoonekana umuhimu wa MWANAUME hao lelemama hawatoweza hata kunyanyua pistol 🔫

Nawaza haya yasije kutokea nchini kwangu maana kwa sasa nafasi za kujiunga na jeshi ni mchongo na zina wenyewe ila ikitokea siku wamezidiwa utasikia vijana hakuna kukimbia nchi ni lazima mpigane, hapo hakuna tutachofanya zaidi ya kusema "tuliwaambia" (in mr blue's voice) wakati huo tunaozijua njia tushavuka boda ya nyasa tayari
 
Inapofikia hatua hii ndipo unapoonekana umuhimu wa MWANAUME hao lelemama hawatoweza hata kunyanyua pistol [emoji379]
Nawaza haya yasije kutokea nchini kwangu maana kwa sasa nafasi za kujiunga na jeshi ni mchongo na zina wenyewe ila ikitokea siku wamezidiwa utasikia vijana hakuna kukimbia nchi ni lazima mpigane, hapo hakuna tutachofanya zaidi ya kusema "tuliwaambia" (in mr blue's voice) wakati huo tunaozijua njia tushavuka boda ya nyasa tayari
Kubabake
 
Saafi nimeipenda hii

Tena wangetangulizwa mstari wa mbele ili kuzingatia ile itifaki ya "mwanamke kwanza"

"Ohh tunataka 50/50" haya hiyo hapo fursa imekuja changamkieni

Mafeminist mko wapi kwenye hichi kipindi kudai haki za wanawake kupewa uhuru wao kupambana vita?
 
Joyce Karia Na Wenzie[emoji23][emoji23]
 
Inapofikia hatua hii ndipo unapoonekana umuhimu wa MWANAUME hao lelemama hawatoweza hata kunyanyua pistol 🔫

Nawaza haya yasije kutokea nchini kwangu maana kwa sasa nafasi za kujiunga na jeshi ni mchongo na zina wenyewe ila ikitokea siku wamezidiwa utasikia vijana hakuna kukimbia nchi ni lazima mpigane, hapo hakuna tutachofanya zaidi ya kusema "tuliwaambia" (in mr blue's voice) wakati huo tunaozijua njia tushavuka boda ya nyasa tayari
Kwenye mambo simple na fursa za kufaidisha utaskia "mwanamke kwanza" kwenye mambo mazito utaskia "ukatiri wa kijinsia"
 
Ndivyo wanavyofanya sikuzote.
Leo hii WANAUME hatupewi heshima tunayostahili ila siku kikinuka sisi ndo tutashika mijegeje huku hao wapiga virungu wakilialia tu kwenye mahandaki
 
Ujinga tu kushika tu hajui unaona na viatu kavua nipigeni picha niongeze followers, unadhani vita lele mama huyu wala hawampigia watamuachia ajifunze kulenga tu. wanaume wamekimbia vita siku 2 watu wanachukuwa mji mkuu, hovyoo
 
ebu cheki wanaume wanavyokufa hapa vitani, halafu wao wamejikausha kimya wakati wanakuwaga mstari wa mbele kudai haki ya 50/50

Ujinga tu kushika tu hajui unaona na viatu kavua nipigeni picha niongeze followers, unadhani vita lele mama huyu wala hawampigia watamuachia ajifunze kulenga tu. wanaume wamekimbia vita siku 2 watu wanachukuwa mji mkuu, hovyoo
Mwanasiasa ni tapeli tu,
Ana make up nzuri usoni, silaha kaishika kioga na nyumba ipo full locked

"Anasema yupo tayari kufa kwa ajiri ya ardhi ya nchi yake"
 
Back
Top Bottom