Ni kitu gani huwafanya wanawake wengi walio katika ndoa kuendeleza mahusiano na ma-ex wao?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex wake wa zamani.

Kipindi cha nyuma nilikuwa nina amini wanawake wengi wakishaolewa huwa hubadilisha namba za simu kuepuka usumbufu na kukata mawasiliano kabisa na wanaume aliowahi kudate nao ila kumbe hili jambo huwa ni la muda tuu baada ya muda kupita huanza kuwatafuta ma ex wao na tena cha kushangaza kumbe wanawake huwa hawafutagi namba kabisa za ex wao nasema hivyo jamani kwa sababu nina mifano mingi.

Je shida huwa nini

1645000144834.png

Tofauti na wanaume sio sana haya mambo wakishaoa wengi huwa hawayaendelezi mahusiano yao na ex wake wa zamani

Tofauti na wanawake wengi wao wakishaolewa Japo sio wote ila wengi wao wakishaolewa na kufanikiwa kupata mtoto au watoto huanza kurudisha penzi kwa mpenzi wake wa zaman

Je shida huwa nini
Wanakuwa wanamisi mikiki pale mme aliyefunga nae ndoa anaposhindwa kumfunika ex, ukioa hakikisha unapiga sana ili umsahaulishe na maex wake pia hakikisha kei imeiva nyekunduuuu anaikanda hata wiki.
 
Wanakuwa wanamisi mikiki pale mme aliyefunga nae ndoa anaposhindwa kumfunika ex, ukioa hakikisha unapiga sana ili umsahaulishe na maex wake pia hakikisha kei imeiva nyekunduuuu anaikanda hata wiki.
Hata kama mmeingia watatu kule bado hawez kanda kwa maji wiki.
 
Wanakuwa wanamisi mikiki pale mme aliyefunga nae ndoa anaposhindwa kumfunika ex, ukioa hakikisha unapiga sana ili umsahaulishe na maex wake pia hakikisha kei imeiva nyekunduuuu anaikanda hata wiki.
Ah wapi.

Piga saizi yako sisi wanawake ukituendekeza utakojoa damu *****.

Kei sio ya kushindana nayo utaifanya nyekundu na kesho itadunda kama kawaida na kupigika kama kawaida.
 
Mimi mbona na ex wangu hatupashi kiporo! Tena nilifungua mwenyewe makaratasi miaka mingi tu iliyopita! Na nilimzalisha pia! Lakini mpaka muda huu jamaa yake anafaidi tu mema ya nchi.

Full uaminifu, full kujitambua! Yaani wanapambana tu na maisha. Sema tu ni rafiki yangu kwa siri 😊 Na kuna wakati akinimiss, huwa ananisalimia. Lakini pia kuniuliza maswali mawili matatu kuhusu mtoto wake! Basi!!
 
Wanakuwa wanamisi mikiki pale mme aliyefunga nae ndoa anaposhindwa kumfunika ex, ukioa hakikisha unapiga sana ili umsahaulishe na maex wake pia hakikisha kei imeiva nyekunduuuu anaikanda hata wiki.

Uwa mnadhan kinachomweka mwanamke ni kugongwa Tu
 
Hakuna mwanaume mbwa kwa mujibu wa maandiko!

Wajitumikishe tu, wanayo mali, wanayo haki, hamna namna!
 
Wengi wanaondoka kwa maringo. Sasa yakianza kumyoosha huko anaanza kutafuta consolation kwako. Duh. Mimi nasikizaga tu. Mmoja juzi ananiambia eti afanyeje mume anamcheat. Nikamwambia dawa ya moto ni moto. Akakata tamaa
 
Back
Top Bottom