wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya wanawake kutoa treat kwa wapenzi wao na ikajulikana hivyo?

    Siku mwanaume huna pesa, then mpenzi/mke wako kaamua mtoke out kwa treat yake(anagharamia yeye hiyo outing). Muda mfupi kabda ya bill kuletwa anafungua pochi anafumbata kitita cha noti kadhaa kiganjani mwake kisha kwa siri/kificho anakupatia ili ufanye malipo mtakapoletewa ankara ya huduma...
  2. Man Mudi

    JamiiForums Tanzania Aina za wanawake

    AINA NNE YA WAKE. Katika ndoa mwanaume hukutakana na Aina nne za wake. Na Aina hizo zinaathari katika ndoa yake kwa namna moja au nyingine. Na aina hizo ni. 1. Mke penzi kubwa. Mke penzi kubwa ni mke ambaye ana mapenzi makubwa sana na mume wake. Na huyuko tayari kujiingiza kwenye pirika...
  3. Designated

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanawake: Ukipokea pesa kutoka kwa wakala au namba ngeni unafanyaje?

    Habari wadau wa MMU, Naanzia mbali kidogo; kwa kifupi niko kwenye mahusiano na binti fulani ambaye sio mchoyo, yaani nikitaka napata, tena napata kwelikweli. Tofauti na baadhi ya wanawake niliowahi kuwa nao ambao pamoja na kunipiga mizinga, kuwapata walikua wanasumbua kidogo. Mfano mnapanga...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Janga la COVID-19 limewaathiri zaidi Wanawake kiuchumi na kijamii

    Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote. Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu wa Mapato na Elimu, kuongezeka kwa matukio ya ukatili, Ndoa za utotoni na biashara haramu ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu wanawake tunaowahonga

    Juzi niliangalia Video ya mdada anayefanya u sugar baby Akihojiwa, anasema yeye anadate na wanaume wenye pesa Nyingi, ili apewe pesa itakayomfanya aishi maisha ya juu. Anasema aki-interact na wanaume wanaomuhonga, kiuhalisia hafurahii kabisa anapoongea nao na anapokua nao kwenye date, ila...
  6. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Siri ya Wanawake kuficha mateso ndani ya ndoa

    Manyanyaso kwenye ndoa limekuwa jambo la miaka mingi, kiasi kama limeonekana ni kawaida. Na muhanga mara nyingi huwa ni mwanamke, sababu kuu ni kuwa Unyanyasaji huusisha nguvu za kimwili na kiuchumi, ambazo zote ziko mikononi mwa mwanaume. Na Unyanyasaji uko wa namna mbili, wa kihisia na...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Taliban yapiga marufuku ushiriki wa Wanawake kwenye tamthilia

    Serikali ya Taliban imevitaka Vituo vya Televisheni kuacha kurusha Tamthilia au Maigizo yenye Waigizaji wa Kike. Waandishi wa Habari na Watangazaji Wanawake wametakiwa kuvaa Hijabu. Vipindi vya Burudani na Vichekesho vinavyokejeli Dini au vinavyoweza kuwachukiza Raia wa Afghanistan pia...
  8. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wanawake huchoka mapema sana wakati wa kufanya mapenzi

    Ndiyo, Hili Tuliite wimbi la wanawake wengi kuchoka haraka. Maana hii imekua too much. (Msiniulize Nimetembea nao wangapi, Ila wee jua tu Ni wengi) TAHADHALI: Mnaojiona Ni Maparoko, mashehe, maustadhi, wayahudi wafilisti, manabii, wainjilisti na mashemasi huu Uzi mngekaa nao mbali kabisa...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake. Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja. Anaishi nyumba ya kupanga. Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza...
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Unapigania Haki za Wanawake huku ukiwakatia Maji na Umeme

    Hakuna watu wanaoteseka na ukosefu wa maji na umeme kama Wanawake, wao ndio wanaohangaika visimani na ndoo kutwa nzima kutafuta maji kwa sababu wewe unayesimama jukwaani na kusema unawapigania umewakatia maji, sielewi hapa ni haki ipi hiyo ya Mwanamke unayoipigania ? Hivi haya mambo huwa...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kusini wanaokunywa gongo hawajadhoofika

    Wakuu, maisha ya Kijijini na mjini kweli ni tofauti kuanzia lifestyle mpaka nguvu za mwili. Nipo huku Kanda ya Kusini pombe kuu ni mnazi au tembo kwa wale wa mwambao na pia gongo au pacho inayotengenezwa kwa Mabibo. Kinachonishangaza ni jinsi wakina mama wa masasi wanavyokunywa gongo aisee...
  12. Ndenji five

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanatuchukuliaje wanaume aina hii?

    Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti mmoja nilitokea kukutana nae kwenye bus ambapo nilikaa nae siti moja kama unavyojua sisi wanaume ni katokea kumtamani ila sikuonesha hisia zozote vijana tunasema nikamlia ngumu bila salam wala tabasam tumefika katika ya safari Akaanza...
  13. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania Wanawake Barani Afrika watakiwa kuchangamkia Fursa za Uongozi

    Wanawake katika nchi za Afrika Mashariki wametakiwa kujiamini na kuchangamikia fursa za uongozi katika ngazi mbalimbali ili kuleta usawa, suala litakaloondoa dhana iliyojengeka kwamba baadhi ya vyadhfa ni Kwa ajili ya wanaume pekee. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya...
  14. minded tips

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni dharau

    [emoji117]Wanawake uwe umeolewa au upo katika mahusiano kutongozwa ni kawaida kwa mtoto wa kike coz sio wanaume wote wanajua umeolewa au upo kwenye mahusiano[emoji180] Makosa mnayofanya baadhi yenu ni kumdharau mpenzi/mumeo wako kisa umetongozwa na mtu anayemzidi KIUCHUMI! Tena wengine...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake / Wanaume ambao ukishiriki nao tendo la ndoa 'mambo yako yanaenda vizuri zaidi'

    Wanawake / Wanaume ambao ukishiriki nao tendo la ndoa ‘mambo yako yanaenda vizuri zaidi’ ------------------ Habari wana JF? Najuwa kuna uzi unaofana na huu, lakini kwa heshima na taadhima nawaomba MODs wasiunganishe uzi huu huko. Kizazi hiki kipya cha JF tungependa kupata uzoefu wao kwa mada...
  16. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Wanawake (Mabinti) wanaovuta sigara

    Wakuu, naona kama hii kitu inaongezeka kwa kasi, kuna Wadada siku hizi wanapiga fegi (sigara) bila uoga kabisa. Hatari ya Wanawake kuvuta sigara ni kubwa kuliko wanaume. Kuna sehemu nimekaa hapa kuna mabinti wanne, wawili wabongo na wengine wazungu wapiga fegi unstoppable. Na kila mwanamke...
  17. jMali

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Membe: UWT mpo wapi?

    Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM. Hoja: Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba Umuhimu wa kuwepo kwa Wanajeshi Wanawake katika Majeshi ya Ulinzi duniani

    Nipo hapa nchini Malawi ambapo ndipo yaliko Makazi yangu na nimetokea Kuvutiwa na Kumpenda Askari Mmoja wa Jeshi la Wananchi wa Malawi mpaka Kutamani Siku moja aje kuwa Mke wangu. Hata hivyo KEROZENE nimekatishwa Tamaa na Mmoja wa Wanajeshi wa hapa Malawi nilipo baada ya Kukitahadharisha na...
  19. Cash Generating Unit

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa zama hizi wakija maghetoni hawafanyi usafi

    Ndugu zangu Wanaume Wapambanaji, huu uzi ni kwaajili yetu sote. Hivi wale wanawake au wadada ambao walikua akija gheto anafanya usafi wa maana yaani atafua nguo zote, atapika, ataosha vyombo, atasafisha viatu, atapanga vitu gheto vizuri, atakunyooshea nguo zote atapanga vizuri kabatini. Atatoka...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wanawake jihadharini mnapokuwa vyuoni au na vyeo vya chini

    Kina Dada mnapokuwa shuleni, vyuoni na hata kabla ya ndoa jihadharini sana na tabia mbaya. Kuna mwenzenu alipokua chuo alijipiga picha za uchi na kupigiwa simu inayoanzia na 0713. Sasa hivi Ni mmama, ameolewa na ana cheo kikubwa sana serikalini lakini picha zake watu wanazo. Kila Mara vijana...
Back
Top Bottom