Za asubuhi, Jumapili njema.
Kuna kasumba ya wanaume wengi wa bongo kutangulia kufa na kuwaacha wake zao wakitanua. Najua kuna kitu unawaza ila nikuhakikishie tu kuwa hicho unachokiwaza ndio ukweli wa kasumba hii. Ila unajaribu kupingana na moyo wako.
Usijali, upo sahihi. Vifo vingi vya wanaume ni vya magumashi. Aidha huwekewa madawa na wake zao ya limbwata ambayo huwadhoofisha, au wanawake wengine huenda mbali zaidi kwa kuwapa sumu inayoua taratibu sana mpaka miaka hata mitatu au minne(hii ni siri kubwa mno, wanawake wengi hawataki wanaume wajue, nina ushuhuda na hili).
Hivyo basi, kuanzia leo visababu vyote vya kijinga kijinga kuwa Mungu anawalaani wanaume na ndio maana wanakufa mapema naomba vipuuzwe tafadhali. Walio wengi wanauawa(nasema kwa kujiamini).