wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Fbn

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tunarogwa sana na wanawake

    Jamani jamani wanaume wenzangu tupunguze idadi ya wanawake. Nawaambia hili baada ya kutoka gamboshi kwa rafiki yangu. Mwanaume unapotongoza ina maana una mdanganya kwa uongo wa malengo kama kumuoa, kuishi naye, uchumba wa malengo, sehemu yake ya maisha na n.k Sasa yeye mwanamke ili kuweka...
  2. Zee Korofi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njaa mbaya wanaume, acha tu wanawake wapende pesa

    Nilijaribu juzi kukaa asubuhi mpaka jioni kwa kunywa chai tu, aisee asikuambie mtu, njaa mbaya! Umasikini mbaya mnooo! Leo nawakingia vifua wanawake, msiwalaumu jamani, tutafute pesa. Kuna muda unapigwa mzinga mzito, unaishia kulaani kabisa na kumtukana huyo bae wako. Ila jua tu ana wazazi...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi tabia zao hubadilishwa na rafiki zao wa kike

    Asilimia kubwa ya wanawake ambao wengine ni wake zetu, wapenzi wetu, dada zetu, mama zetu, ndugu zetu n.k. Ila kwa uzoefu nilionao wanawake wengi ukiona kabadilika kwa mazuri au mabaya basi tambua akili yake au ufahamu wake unashikiliwa na mwanamke mwenzake, haijalishi ni ndugu, rafiki, jirani...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Umoja wa wanawake Tanzania kumuenzi Bi. Titi Mohamed

    BI. TITI MOHAMED (1926 - 2000)HANA MFANOWE Historia ya Bi. Titi haijaandikwa. Naamini ni watu wachache sana wanajua kuwa Bi. Titi Mohamed amepanda jukwaani kuhutubia mkutano wa TANU Viwanja Vya Mnazi Mmoja wala haijui sura ya Julius Kambarage Nyerere inafananaje. Naamini pia si wengi...
  5. Idugunde

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kibongo wanapenda zawadi za vitenge

    Ukitaka mtoto wa kiTz akukubali kwa nguvu zote we mpige kitenge. Hasa lile wax la p3 hapo utakuwa umemuweza. Mbususu na mabusu utapewa kama yote. Sijajua kuna nini kwenye vitenge mpaka akina dada na akina mama wanakuvibali kwa namna hii.?
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake! Wanawake! Mna shida gani jamani?

    HABAR WADAU Dah hii dunia imejaa vituko hii yaan ni shida tupu yaan duh ngoja tu niwahadithie ili tu mnipe ushaur kuna dada mmoja nimekutana nae mda kidogo yeye ndio alinianza na akawatuma watu waniombe namba yangu nikawapa tukaanza kuwasiliana in short nilipoona kajileta ilibid nimsaidie...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi sana wanajiuza, ila namna ya kufanya biashara ndio imetofautiana

    Kujiuza ni kutoa penzi kwa malipo. Haijalishi unakuitaje, kufanga, kuchuna, gold digging n.k kote ni kujiuza. 1. Jane Mkenya ni mfanyabiashara mkubwa, mwenye pesa ya uhakika. Pamoja na pesa zake zote anatoka kwa kamishina wa mapato ili apate msamaha na upendeleo wa makadirio ya kodi. 2. Asha...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima kumwakilisha Rais Samia kwenye Kongamano Nchini Urusi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Kongamano la tatu la Kimataifa la Wanawake litakalofanyika nchini Urusi kwa siku tatu kuanzia Oktoba 13-15, 2021...
  9. othuman dan fodio

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

    Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo. Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu...
  10. Kiplayer

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msemo wa wanawake hawapendani

    Wanaume wenye changamoto katika mahusiano ni miongoni mwa evidence zinazoupa nguvu msemo huu wa wanawake hawapendani. Ili mwanaume utofautiane na mwanamke lazima mfanane tabia, wote mmiliki tabia za kike au kiume. Like poles hupishana. Mara nyingi katika mahusiano mwanaume huambukizwa tabia za...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania UN yakosoa ahadi hewa za Taliban kwa Wanawake na Wasichana wa Afghanistan

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amekosoa ahadi hewa zilizotolewa na Taliban kwa Wanawake na Wasichana wa Afghanistan, akihimiza Mataifa kutoa fedha kwa Nchi hiyo ili kuepusha kuporomoka Uchumi Mamilioni ya Wasichana bado wanasubiri kurejea Shule wakati vipindi kwa Wavulana...
  12. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake ni viumbe maalum

    1. Mwanamke anapokasirika, zaidi ya nusu ya mambo anayoongea anakuwa hajamaanisha.  2. Wakati mgumu kabisa kwa mwanamke ni pale anapokuwa mbali na mwanaume anayempenda kwa dhati au anapogundua kuwa mumewe ana mahusiano na mwanamke mwingine.  3. Mwanamke sio kama...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake huwa wanavutiwa sana na wanaume wenye haya majina?

    1.Jeff 2.Matt 3.calvin 4.Alvin 5.Sydney 6.cliff 7.James or Jimmy 8.Brian 9.Dan 10.Erick
  14. C

    JamiiForums Tanzania Je, haki za wanawake ni pamoja na kuridhishwa kingono?

    Hivi sasa katika nyakati zetu, haki za wanawake zimekuwa zikipigiwa upatu na makundi mbalimbali ya kijamii wakiongozwa na wanawake wasomi. Wote wamekuwa wakipambana na kitu kinachoitwa mfumo dume. Mapambano hayo ya kudai haki, yameleta maumivu kwa watu wengi wakiwemo wanaume, wanawake na...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Polisi wanadaiwa kushikilia simu 18 za wanawake wa CHADEMA Pamoja na gari la mmoja wao kwa zaidi ya miezi miwili

    Taarifa hii ya kusikitisha na kufedhehesha imefichuliwa na Msemaji wa Chama hicho wa Kanda ya Pwani Mh Gervas Lyenda. Inadaiwa wamama hao walikamatwa Kwenye viunga vya Mahakama ya Kisutu siku ya Kesi ya Mwenyekiti wa Chadema tarehe 5/8/2021 na kulundikwa Police Central kwa siku 5 mfululizo ...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

    NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo. Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda. Sweet...
  17. Dit000

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini wanawake wafupi asilimia kubwa wanapenda kuolewa na wanaume warefu?

    Hivi kwa nini wanawake asilimia kubwa wafupi wanapenda kuolewa na wanaume warefu?
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake mmepata mtu wa kuwasemea na kuwainua, sasa achaneni na ajenda za pesa mboga, njooni na ajenda muhimu!

    Kheri kwenu kina mama wote! Niende moja kwa moja kwenye mada. Natumaini sote tunatambua Rais na kiongozi wan chi yetu kwa sasa ni Mwanamke, kama jinsi alivyojipambanua mara baada ta kula kiapo kuwa Yeye ndiye Rais wa JMT ambaye kimaumbile ni mwanamke, nasi tulimpokea na tunaendelea kumuunga...
  19. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fursa zipatikanazo katika Sayansi na Teknolojia kwa wanawake na wasichana.

    Wasichana na wanawake, wamekuwa wakikosa fursa kulingana na kuogopa kwa sababu ya mifumo na mazingira ambayo wamekuzwa nayo na imani kwamba masomo au kazi zihusiabazo na Sayansi ni kwa ajili ya jinsia ya kiume pekee. Nyamizi ni binti kutoka katika jamii ya kisukuma, aliishi na kulelewa na...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Haki za Msingi za Wanawake na Haki zisizo za Wanawake

    HAKI ZA MSINGI ZA MWANAMKE NA HAKI ZISIZO ZA WANAWAKE Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa mujibu wa mtazamo wangu na ambao ninajiamini; ni hakika, Hapa sitauma Una maneno, sitaficha chochote, nitataja Kwa haki kabisa. Zifuatazo ndizo Haki za msingi za wanawake; 1. Haki ya Kuishi Kama binadamu...
Back
Top Bottom