Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,760
35,205
Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo!

Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo linachukuliwa kikawaida ila linanistaajabisha na lina ukakasi sana maana huku ndiko tunakoenda kuzalisha mambo mengine ya kishetwani ambayo tutakuja kuyajutia

Najua haya ni mapenzi ya watu na pia ni kazi za watu lakini athari zake ni zipi kijamii? Tulianza na kusuguliwa miguu, tukaenda kwenye massages za kawaida, tukaingia kwenye full body massage sasa tunanyoana kwa kusuguana haswaaa wenyewe tumeipa jina la kizungu waxing.

Sijui kama wana vibali hawa watoa huduma, sijui kama wanatakiwa kuwa na vigezo gani ili waweze kufanya hizi kazi, sijui kama serikali imepima faida na hasara ya hizi biashara na inanufaika vipi nazo.

Kusema ukweli tunatengeneza bomu.
 
Weka picha tafadhari

Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
 
Back
Top Bottom