Je, unafahamu Ukweli usiosemwa na Wanawake kuhusu Kupenda?

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,353
4,531
Ipo nadharia au msemo au ukweli unaofichwa kusudi na wanawake. Ukweli huo au nadharia hio ni kwamba wanawake hupenda kwa dhati Mwanaume mmoja tu kati ya wengi anaokuwa nao.

Wengine wote anakuwa nao kwa (Sababu) tu na sababu hizo huwa ni kwa faida zake binafsi na malengo yake iwe ni upenzi, uchumba au kuolewa hio sababu hubaki kuwa ndio chagizo la yeye kudumu na wewe au kutodumu na wewe, unapokosa au kupungukiwa na tija ya hio sababu na penzi hunyauka.

Tafadhari wadada mnaweza kuthibitisha au kukanusha hii nadharia au ukweli huu.

Je, ikiwa ni kweli tukiwabatiza muitwe Mashetani itafaa au haitafaa?
 
Mwanamke Hana mapenzi ya dhati kwa mwanaume.
Mwanamke anamapenzi ya dhati Kwa mtoto wake.

Mwanamke huwa na Mapenzi Kwa mwanaume pakiwa matarajio Fulani mazuri anayoyatarajia.
Kama matarajio hayo yakiyeyuka tegemea upendo nao kuyeyuka na Kama ataishi na wewe ujue anaishi na wewe ilimradi au Kwa vile Hana pakwenda au muda umemtupa Mkono.

Wanawake wameamrishwa wawatii waume zao Kwa sababu kiasili wao hawana Upendo WA dhati.
Na wanaume wameambiwa wawapende wake zao Kwa sababu kiasili wanaume wameumbwa Kupenda.

Kiumbe chenye upendo kinatabirika, wanaume tunatabirika.

Lakini kiumbe kisicho na upendo hakitabiriki.

Kiumbe chenye upendo kinaeleweka
Lakini kisicho na upendo hakieleweki.
 
maadam tycoon umetia timu hapa, uzi umezidi kua mtamu
 
ile dhana ya mwanaume mmoja kupewa priority na mwanamke hata kama hana ukwasi hujengwa na nini sio upendo au tuite mvuto
 
Mwanamke ni mpokeaji siku zote, kaumbwa hivyo.
Na mpokeaji hawezi kuwa na Mapenzi. Maana mapenzi ni Kutoa sio kupokea.

Ukiona kuna anayepewa priority ujue kuna kitu anatoa iwe mi mvuto, pesa au mauno.

Ila Mimi na Wewe tunaouwezo wa kuishi na Mwanamke hata Kama hatoi chochote.
 
naelewa kwa namna sisi men tulivo but I think ipo namna ya ziada wanawake wanayo nje na maandiko labda upendo katika tafsiri ya matendo ya ibilisi, I have it with me that women also tend to love some men however, I can't figure it inatoka wapi.
 
Mwanamke Hana mapenzi ya dhati kwa mwanaume.
Mwanamke anamapenzi ya dhati Kwa mtoto wake.

Mwanamke huwa na Mapenzi Kwa mwanaume pakiwa matarajio Fulani mazuri anayoyatarajia.
Kama matarajio hayo yakiyeyuka tegemea upendo nao kuyeyuka na Kama ataishi na wewe ujue anaishi na wewe ilimradi au Kwa vile Hana pakwenda au muda umemtupa Mkono.

Wanawake wameamrishwa wawatii waume zao Kwa sababu kiasili wao hawana Upendo WA dhati.
Na wanaume wameambiwa wawapende wake zao Kwa sababu kiasili wanaume wameumbwa Kupenda.

Kiumbe chenye upendo kinatabirika, wanaume tunatabirika.

Lakini kiumbe kisicho na upendo hakitabiriki.

Kiumbe chenye upendo kinaeleweka
Lakini kisicho na upendo hakieleweki.
natamani baadhi ya maneno mfano kutabirika ungetolea mfano ni nguzo muhimu sana kwa emerging youth wa jukwaa,

Tafsiri ya neno upendo au kupenda nimeshindwa kujua kivitendo hasa kwa mfano wangu mwenyewe, love, loving who and how?what specifically, I may call it love? How does love look like, though an abstract term?
 
naelewa kwa namna sisi men tulivo but I think ipo namna ya ziada wanawake wanayo nje na maandiko labda upendo katika tafsiri ya matendo ya ibilisi, I have it with me that women also tend to love some men however, I can't figure it inatoka wapi.
Ukweli ni kuwa Wanawake nao wanapenda ila upendo wetu sisi na wao ni tofuati sisi tunapenda sana na upendo wetu unafungamana na wajibu wa kuwatunza na mengine.

Lakini kilichokuwa kikubwa zaidi ni kuwa wanawake wanaupungufu wa akili na imani. Hapa ndipo kunakowafanya wasieleweke na kuwa hivi walivyo.
 
bado naendelea kupata shauku kujua upendo ni nini, je kuna aina za upendo?

Hapo kwenye upungufu wa akili na imani, unaweza kuweka umahususu wa tafsiri ikili zipi katika nini na imani ipi na katika nini?
 
Mwanamke ni mpokeaji siku zote, kaumbwa hivyo.
Na mpokeaji hawezi kuwa na Mapenzi. Maana mapenzi ni Kutoa sio kupokea.

Ukiona kuna anayepewa priority ujue kuna kitu anatoa iwe mi mvuto, pesa au mauno.

Ila Mimi na Wewe tunaouwezo wa kuishi na Mwanamke hata Kama hatoi chochote.
"Ila Mimi na Wewe tunaouwezo wa kuishi na Mwanamke hata Kama hatoi chochote"

Taikoni unaweza kuishi na mwanamke ambae hakupi mbususu?
 
bado naendelea kupata shauku kujua upendo ni nini, je kuna aina za upendo?
Ngoja nikusaidie kijana, upendo ni kujitoa kwa hali na mali kwa mtu fulani. Unaye mpenda utapenda awe na kheri na salama popote alipo, utakaye mpenda lazima utamuhurumia. Yaani mapenzi ya kweli yana ambatana na huruma.

Aina za upendo zipo ila zote zinarudi katika maelezo hayo hapo juu. Kuna upendo wa mzazi na mtoto na upendo wa mke na mme na kuna upendo wa mja mwema kwa mja mwema mwingine na kuna upendo wa kimakosa.
Hapo kwenye upungufu wa akili na imani, unaweza kuweka umahususu wa tafsiri ikili zipi katika nini na imani ipi na katika nini?
Upungufu wa akili na imani ni katika umbile la mwanamke ndiyo maana mwanamke anatakiwa aishi chini ya uangalizi wa Mwanaume. Kwa maana hii sasa ni wajibu wako kutafakari na uweze kuendelea hapa nilipo ishia.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom