wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Sir John Deere

    Wanaume tungeishi vipi endapo kusingekuwa na Wanawake?

    Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
  2. covid 19

    Kumbe nilikuwa nakosea sana kuwadharau Wanawake kwenye Uongozi

    Hakika waswahili hawakukosea waliposema mmzaniaye ndiye kumbe siye, maisha yangu yote sikuwahi kudhani au kuwaza kuwa mwanamke anaweza kusimamia vitu vikaenda sawa sawa bila kasoro. Ila kwa kinachoendelea sasa hakika wanaume tunaona aibu kwakeli tumetawala hii nchi kwa miaka 60 lakini huyu...
  3. CHIBA One

    Tuseme ukweli: Wanawake wengi huwa wanatamani Sherehe na sio Maisha ya Ndoa

    Nimejaribu kufatilia sana mijadala ya wanawake kuhusiana na mtazamo wao juu ya kuolewa kwanza nimegundua kila mwanamke anatamani sio tu kuolewa bali pia afanye sherehe ambayo atauonyesha ulimwengu kwamba Na yeye amepata wa kumheshimisha na kumchukua kama mke. Ukifatilia kwenye page za Ma mc...
  4. chiembe

    Je, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro ataweza kusimamia vita ya ukimwi, mimba mashuleni, heshima kwa wanawake na kuitaka jamii iishi kwa maadili?

    Nimeona video mtandaoni ya DC Morogoro akiwa kalewa chakari huku anashikashika sehemu za siri za binti/mwanamke. Inafahamika kwamba huyu DC ameoa, na aliyekuwa naye akimpapasa uchi sio mkewe. Huyu ndio anatakiwa kusimamia kampeni dhidi ya ukimwi, mimba mashuleni,maadili katika jamii ya...
  5. Roving Journalist

    Uzinduzi wa Ripoti ya 'Wanawake Wanaoongoza katika Huduma za Fedha

    International Finance Corporation (IFC) leo Juni 24, 2021 inazindua Ripoti ya 'Wanawake Wanaoongoza katika Huduma za Fedha: Uchunguzi wa Usawa wa Kijinsia katika Sekta ya Huduma za Kifedha za Tanzania' #JamiiForums ===== UPDATES; ====== Jumoke Jagun-Dokunmu: International Finance...
  6. Behaviourist

    Wanawake wapiganaji/watafutaji hupitia mengi

    Wanawake watafutaji hupitia mengi ila Mungu yu pamoja nanyi.
  7. mfate42

    Kuna wanawake wana mikosi na wengine baraka?

    Habarini ndugu zangu. Leo usiku huu nimeona nije na hii mada ambayo imenikulupusha kwenye usingizi..je, Ni kweli Kuna baadhi ya wanawake wana mikosi na wengine wana baraka?..kwa mfano nna jamaa yangu alipooa tu,. baada ya miez miwili kupita akafariki kwa ajali.. Pia nna mwingine ye baada ya...
  8. Zozotoli

    Kwanini wanawake wengi ambao walikuwa 'pisi kali' mtaani wakiolewa hawadumu kwenye ndoa?

    Hi every ones Nina swali lina ni vuruga kweli kweli Pili nina taka kuomba ushauri Hivi kwanini wanawake wengi ambao wali kuwa pisi kali mtaani wa kiolewa kwanini wengi wao awa dumu kwenye ndoa? 2) Na kwanini wana fanya wakisha zalishwa na kuachwa wana kuwa pisi bure? Je, thamani yao ushuka...
  9. R

    Wanaume halisi hatuchagui aina ya wanawake wa kuwa nao

    Habari za leo waungwana. Leo naomba tujadili hii kitu. Duniani kote mwanaume halisi mwenye genes za kiume ndani mwake na tabia za kuwa mwanaume huwa hachagui aina ya mwanamke wa kuwa naye. Akichagua ni kwa sababu anataka kuwa na mmoja tu lakini kimsingi anaweza kuwa na mwanamke wa aina yeyote...
  10. M

    Wanawake msio na ‘shepu’ mnaboa sana, hamjiamini na kujiachia tuwapo faragha

    Heshima Kwenu Wana JF, Wanawake wengi flat screen na vimbau mbau unaweza kua umewapenda the way walivyo lakini tatizo lao kubwa wakiwa faragha hawana confidence ya kujiachia kama wenye maumbo yao. Badilikeni mnatuboa sana maana sie hua tumewapenda vile mlivyo.
  11. Jumbe Brown

    Mabadiliko ya sheria(sharia) za wanawake Saudia Arabia: Ushindi Mkubwa Kwa Wanawake hao

    SHARIA(SHERIA) ZINAZOWABANA WANAWAKE ZIMEBADILISHWA RASMI. **************************** Kwa kipindi kirefu wanawake nchini Saudi Arabia wamekuwa wakipambana ili kubadilika kwa sheria(sharia) ZINAZOWABANA kama ifuatavyo; 1)Kuzuiwa kuishi peke yao kwa walio na miaka zaidi ya 18 kabla ya kuolewa...
  12. F

    Kuna wanawake hata ukiwahonga mamilioni roho haiumi

    Habari wadau Katika harakati za maisha.. nimehudumiwa na mama lishe graduate .. yaani mpaka nimemuonea wivu bwana wake.. Kizazi hiki cha slay queens binti kama huyu haitaji maswali mengi kumvalisha shela na kama una mahela unamuwezesha mpaka amiliki kempiski yake ama hata ukumbi wa maharusi...
  13. mtimawachi

    Kuna wanawake wana temperature jamani!

    Hii mada haipo hapa kwa ajili ya kumdhalilisha mtu au jinsia fulani.Ila samahani kwa watakaokwazika. Nakumbuka mwaka fulani(kabla sijaoa) nilitoka mkoani kuja dar kikazi.Nilipomaliza nikaona niende buza kwa lulenge kumtembelea kaka(mtoto wa baba yangu mdogo).Nilipofika kwa kaka tukawa katika...
  14. sonofobia

    Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

    Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi. Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
  15. DOTHRAK

    Niliambiwa chuoni wanawake ni wa kumwaga mbona mimi sipati?

    Dah ile vuuu!! Paaa si nikamaliza six mzee sahiyo akili inafahamu kuwa chuo ni bata na mademu wa kumwaga duh!!!. Fresh mzee nikajitusu nikaomba mkopo Mungu Si MWENDAZAKE nikapata tena 100%. Basi mzee nikaingia Univ. Aisee hao mademu mbona siwaoni? Aise mbona hata hizo bata ni za manati jamani...
  16. S

    Siku ya kwanza kufanya mapenzi nili-sex na wanawake wawili

    Kisa hiki ni cha kweli kilinitokea nikiwa safarini kuelekea shuleni. Hadi namaliza masomo yangu ya O-level sikuwa nimewahi kusikia shule inayoitwa Ihungo ambayo ndiyo hiyo niliyochaguliwa kujiunga na masomo ya A - level. Shule hiyo ipo mkoani Kagera. Baada ya kupata joining instruction...
  17. Zacht

    Una maoni gani kuhusu wanawake wa aina hii?

    Habari za jumapili. Katika kuzunguka zangu mtandaoni nikakutana na hii comment ya mdada tena mke wa mtu kwa mujibu wa maelezo yake nanukuu. "kandake_beauty_tz Nina ndoa ya miaka 12 sijawahi hata kuchangia msumari Kwenye ujenzi na siwezi hili swala niliji funzaga tokea nipo binti niliona vile...
  18. 6321

    Wanawake mnafeli kutoa huduma bora maeneo yenu ya kazi na biashara

    Good morning future Billionnaires[emoji23] Miaka ya nyuma iliyopita tulikuwa tunawapa credit sana wanawake kwenye kutoa huduma sehemu nzuri, ukimkuta dukani, awe mapokezi au sehemu yoyote ile hutoa huduma nzuri. Lakin kwa utafiti wangu usio rasmi kwa sasa wanawake mnayumba sana hamtoi huduma...
  19. warumi

    Lemutuz awashauri Wanawake waliopata wadhfa Serikalini watunge Sheria za kuwalinda Wanawake

    Kumbe mjomba wake Mange sometimes dish linakua active.
  20. GENTAMYCINE

    Kama kuna sehemu ambayo huwa siwaelewi Wanawake wenye Mabwana katika Nyumba za Kupanga ni hii...

    Unakuta wao wana waume ( mabwana ) zao na huenda kila siku ( 24/7 ) tu wanangonolewa nao, lakini wakikuona tu mpangaji wa kiume ambaye hujaoa na wala hutarajii kuja kuoa leo, kesho na mtondogoo kama Gentamycine unaingiza ' mademu ' siku zote wanaumia, wanakununia na kukupiga majungu. Ni kipi...
Back
Top Bottom