Hivi ni kweli wanaume si lolote mbele ya wanawake?

Hivi ni kweli wanaume si lolote mbele ya wanawake?

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Nımeona quote moja huko twitter ambayo imekuwa popular na watu wengi wanaisapoti. Hiyo quote inaonekana inatoka kwenye movie inayoitwa love tactics huko netflix.

Quote inasema " Wanaume wana control dunia, Wanawake wanawa control wanaume alafu wanawake wanakua controlled na hormones"

Ivi ni kweli nyie wanaume si lolote mbele ya wanawake? Wanawake wanawa control watakavyo na hamuezi kufanya chochote kwa hili? Mwanamke akisema hii ni lazima iwe hivi nyie mnakua watu wa ndio tu 😂
 
Ingekuwa ivo tusingekuwa tunawala mingwara huku mtaani..ss iv tulikuwa tunawachukulia kama watt ila walivyoenda kweny kikao chao kule beijng wamejikuta wanatunishiana misuli na wanaume...hii vita mlioanzisha hamtaweza kuiamua
 
Mwanamke ni shamba alaf mwanaume ni jembe yaani mkulima na mkulima ni ndiye anayemiliki mbegu.. kwa hivyo bila kutupia mbegu yake kwenye shamba hakuna mazao (moja) .. na mwanamke ni shamba na tunaona mashamba yenye miti ya asili yaani ile miti ya kujiotea yenyewe yanavyokuwa kwenye mpangilio mbaya.. yaani ovyo ovyo.. unaweza ukammiliki mwanaume ambaye yule miti ya asili yaani mwenye kujiotesha otesha tu uwe ovyo ovyo na wewe ila kama ukikubali mwanaume jembe apande mbegu kwenye shamba lako.. hiyo mantiki kwenye hiyo movie hauwezi kuifatisha kamwe.. Asante
 
Ni kweli wapo wanaume wajinga mnaowa"control"

Na wale wenye akili wanajifanya kuwa controlled ili wapate mbunye na benefits mbalimbali, lakini behind the scene they are pulling the strings.

Wanawake wanahuruma sana hivyo wanaliwa kiwepesi pale unapoplay card ya kuwa weak kwenye jambo fulani na kutiatia huruma, sasa wao wanadhani wanaku"controll" kumbe ni futuhi tu.
 
Kwa kifupi niseme Wanaume wana control dunia, Wanawake wanawa control wanaume alafu wanawake wanakua controlled na hormones, na hizo hormones zina be produced baada ya Mwanaume kucontral dunia.
 
Hebu rudia kusema. Dereva anaendesha gari, konda anaendesha dereva na kpnda ni sehemu ya hilo gari linaloendeshwa na dereva
 
Kama nakuoa nakuweka ndani nakuhudumia na unafuata maelekezo yangu maana yake mimi niko na control juu yako.

Nimekuleta nikulee kama mtoto wangu wewe na watoto wenzako ambao utawazaa.
Mwanamke ndo anakulea wewe anakupikia, anakufulia na anakunyooshea pasi. Hapo wewe ndo unalelewa na watoto wenzako
 
Mwanamke ndo anakulea wewe anakupikia, anakufulia na anakunyooshea pasi. Hapo wewe ndo unalelewa na watoto wenzako
Women are most dangerous to a man who sees them as innocent and harmless

When a man is not deluded enough to think this he can not only outmaneuver her but outclass her at her own game

Lot of this delusion is result of social brainwashing

Our ancestors weren't this stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nımeona quote moja huko twitter ambayo imekuwa popular na watu wengi wanaisapoti. Hiyo quote inaonekana inatoka kwenye movie inayoitwa love tactics huko netflix.

Quote inasema " Wanaume wana control dunia, Wanawake wanawa control wanaume alafu wanawake wanakua controlled na hormones"

Ivi ni kweli nyie wanaume si lolote mbele ya wanawake? Wanawake wanawa control watakavyo na hamuezi kufanya chochote kwa hili? Mwanamke akisema hii ni lazima iwe hivi nyie mnakua watu wa ndio tu 😂
Inawezekana maana hata kwenye ndoa huwa tunakula kile mtakachopenda ninyi na si sisi tuchague hata kama tutapewa option ya kuchagua tutachagua kile mtakachopenda ninyi
 
Back
Top Bottom