wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. IKARAHANSI

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuache kujiendekeza

    Kuna msemo maarufu miongoni mwa wanaume wapumbavu kuwa eti "WANAWAKE HAWAELEWEKI",huku ni kujazana ujinga na kuwajaza ujinga watoto wetu wa kiume kwa maana kabla hata ya kuja kwa maandiko matakatifu, asili pekee ilionyesha na kumfanya mwanaume kuwa kiongozi na msimamizi, ndio maana bila mwanaume...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Natamani wanaume wote tungeweka mgomo kwenye suala la kuhonga. Imefika wakati wadada wa mjini wamegeuza miili kuwa duka

    Siku moja wakati natoka lindo nikafika bar moja asubuhi nikapaki Suzuki yangu ili nipate supu. Mara mdada mmoja akaja kunisalimia na kujichekesha. Akaniuliza unanikumbuka nikasema yes. Nikamkaribisha supu akasema ameshiba. Wakati nainuka nikampa cha ten, akasema sasa tutawasiliana vipi...
  3. Kapyepye Mfyambuzi

    JamiiForums Tanzania Hivi unadhani kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume tofauti na zamani?

    Habari wadau? Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiumee tofauti na zamani? Yaani sasa hivi asilimia kubwa ya wanaume hasa vijana hawezi kufanya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Je, unajua watu wanaokunywa sana pombe wako kwenye hatari ya kupata Nimonia?

    Nini Chanzo Cha Pneumonia Pneumonia husababishwa na bacteria, virusi, fangasi na vyanzo vingine. Hapa chini tutaona baadhi ya vyanzo hivi kwa undani zaidi: Bacterial Pneumonia Wagonjwa wengi wa pneumonia hushambuliwa na bacteria aitwaye Streptococcus pneumoniae. Watu wanaougua kwa muda mrefu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Homa ya mapafu/Pneumonia au nimonia ni kitu gani?

    Pneumonia Ni Nini? Pneumonia ni ugonjwa unaoshambulia vifuko vya hewa kwenye pafu moja au yote mawili. Vifuko hivi huweza kujaa maji au usaha na kusababibisha kikohozi kinachotoa uchafu unaotoka kwenye mapafu, homa na kupata shida katika kupumua. Vijidudu wa aina nyingi wanaweza kuhusika katika...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wanaume hawapendi kuombwa hela?

    Wanaume hii tabia ya kuombwa hela ni wote hampendi au wale walala hoi tu? Naomba kujua kwanini wanaume hawapendi kuombwa hela.
  7. lup

    JamiiForums Tanzania kwa mfano wa yanayoendelea familia ya diamond ni halali wanaume kufa mapema kuliko wanawake kwenye ndoa,

    za jumapili na weekend kwa ujumla, ni wazi kwamba wengi wetu tunajua nini ambacho mama diamond amekiwasha huko anga za habari na kusababisha kila mahali kuwa ngumzo tu, kwa yanayoendelea nin halali kabisa kwa familia nyingi kupoteza wanaume kwa maana ya kufa na wanawake kuwa ndio wenye nyumba...
  8. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania "Baba" Diamond awe fundisho tosha kwa wanaume mnaosumbua wanawake wakipata mimba: msikimbie mimba, wala msizingue kama wazazi

    Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee! Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani. Hivi angechukulia majukumu yake serious kama mzazi na kujitolea kwa asilimia 100% Diamond kweli angemsahahu? I doubt it...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange. Haya...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni vitu gani vya kumdatisha mdada ili arudi tena pia atamani kuishi kabisa kwenye geto lako?

    Tuachane na shughuli kitandani tuongelee makazi (Geto) Kuna kadada kamoja nilidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hivi halafu huna hata mke" Tupeane maujanja ni vitu gani vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake...
  11. safuher

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mwanamke kupewa pasu kwa pasu baada ya talaka bila wao kuchangia ni wa Hovyo na kandamizi kwa wanaume?

    Wakati wanaharakati wakihangaika kuwainua wanawake na kujifanya kuwatetea ndipo wanazidi kuwashusha na kuwakandamiza wanaume. Hali inakokwenda kuna wanaharakati watajitokeza nao kuwa wanatetea wanaume dhidi ya ukandamizaji unaofanywa dhidi yao. Mwanamke kutaka pasu kwa pasu ilhali hajachangia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nawalaumu wanaume wanaotelekeza watoto, japokuwa wadada mmezidi kutubambikia watoto

    Habari ya mwaka mpya wakuu. Mwaka 2013 nilienda field mgodi wa Bulyanhulu huko kakora uliokuwa unamilikiwa na Accacia, kwenye kivuko pale Busisi nikakutana na dada mmoja mrembo sana. Tukiwa tunasubiri kivuko kianze safari nikasogea karibu naye nikaanzisha mazungumzo na yeye yaliyopelekea kukaa...
  13. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Kosa wanalolifanya wanaume wengi sana kwa wake zao

    Hasa wale wenye mafunzo ya kale. Kosa lenyewe. Wanaume wengi, Ni wakati wa kufanya tendo la ndoa(mapenzi). Wengi wao wamekua wakiwafanya wake zao kwa viwango vya chini Sana kwa maana eti wanawaheshimu. Wamekua wakitumia staili moja tu wakati wa tendo, kifo Cha mende, Hawapigi denda wake zao...
  14. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa wasichana wazuri kupindukia huolewa na wanaume wenye nguvu?

    Wanaume wenye Nguvu, namaanisha matajiri, watu maarufu, watu mashuhuri na VIONGOZI. Nakanusha kabisa dhana kuwa wasichana/wanawake wazuri kupindukia Mara nyingi wengi wao kuwa huwa hawaolewi. Kwanza kabisa wanawake wote duniani ni wazuri lakini ni ukweli usio na Shaka kwamba wapo wanawake...
  15. ragin

    JamiiForums Tanzania Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

    Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi? Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni. Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi, Mwingine anaita Minyoo hiyo Mimi silagi. Mwingine Nani ale mizizi hiyo? Oooh sijawa ng'ombe hiyo kabichi usirudie kunitengea. Huyu ndo balaa eti me yf akipika...
  16. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watu duniani, heko kwa wanaume

    Kila binadamu unayemuona ni juhudi za mwanaume kutongoza hadi mwanamke akakubali, kutekeleza tendo la uzalishaji. Kiasili mwanaume ndiye anayeanzisha mbio za utekelezaji wa Jambo hilo(kushawishi/kutongozwa n.k), Mwanamke yeye hukimbia (kukataa),inampasa mwanaume ajitahidi kufukuzia...
  17. scatter

    JamiiForums Tanzania Sababu zipi zinakufanya usite kufunga ndoa au kupeleka mahari kwa mwanamke?

    Katika dunia hii kuna makundi mbali mbali ya watu na sifa zao. Kuna wanaume ambao waliojaribu kuingia katika ndoa na ikawavuruga mpaka kufanya maamuzi ya kuachana na wake zao au kuna wengine hawajawahi kuingia kabisa ila kutokana na speed ya maisha wameona haina haja tena ya kuingia...
  18. Chungu chachu tamu

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume na wanawake ni wapi huongoza kwa kujisahau katika ndoa?

    Salam sana Ama baada ya salamu Kumekuwa na kauli kuwa watu wengi wamekuwa wakijisahau sana majukumu yao baada ya kufunga ndoa na wapenzi wao. Kila upande huulalamikia upande mwingine kuwa wamejisahau sana. MALALAMIKO YA WANAUME Wanaume wamekuwa wakiwashutumu wanawake kubadilika sana katika...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Pombe na wanawake huwapotosha wanaume wenye akili

    Ndugu zangu huu ndio ukweli. "Pombe na wanawake huwapotosha wanaume wenye akili"
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Wanawake kumbe wana tabu hivi katika maisha na mahusiano na wanaume?

    mnawezaje kubadili kiumbe wa mwenyezi Mungu
Back
Top Bottom