wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Kuna wanaume wanachezea bahati sana

    Kuna wanaume wanachezea bahati sana, sikiliza haya mahojiano upate cha kujifunza...
  2. Gily Gru

    Ushauri: Kuhusu mama chui na watoto wake

    Mama Chui akizaa watoto wake anawalea wakishakua anawaacha anaenda porini anakaa kama juma hivi akirudi anawatisha watoto wake. Yale watoto walioshtuka wakakimbia hawawi chui tena ila wale watoto waliomtambua mama yao wanabaki na mama yao na wanakuwa chui (katika uhalisia wake). Kwa sisi wachaga...
  3. my name is my name

    Kwanini wanaume wanapenda kufanya hivi wakati wa ku-sex?

    Hivi kwanini wanaume wakati wa ku-sex wanapenda kuangalia machoni. Wanakuwa wanafanya huku wanaangalia mwanamke machoni direct, hawaangalii pembeni. Halafu wakiwa wanafanya hivyo wanaongeza na speed ya ku sex. Kwanini huwa mnapenda kuangalia machoni? Kuna sababu gani ya kufanya hivi?
  4. Bazazi

    Mambo Kumi Marufuku kwa Wanaume!

    1. Kusomesha mchumba 2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako. 3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali. 4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako. 5. Kumwamini mwanamke/mke wako kwa 100% (mwamini kwa mama yako tu kwa kiwango hicho au zaidi) 6...
  5. cutelove

    Kwanini wanaume wengi hampaki makalio yenu mafuta

    Wanawake wengi wamebaini kuwa mwanaume unaweza kumkuta anang'aa uso, na sehemu zingine ila makalio yao yamepauka na wengine yanatoka ukurutu kwa sababu ni nadra sana kupaka makalio yao mafuta baada ya kuoga. Ni mjadala nilioukuta saloon moja hapa mjini kati. Wanaume jipakeni mafuta na makalio...
  6. Jadda

    Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?

    Hivi ni kwanini wanaume mnaongelea sana maovu ya wanawake na kuyaacha ya kwenu?
  7. Nyenyere

    Jinsi wanaume wa kisasa wanavyomezwa na matakwa ya wanawake

    Katika lugha ya kiingereza kuna maneno mawili muhimu sana: NICE na GOOD. Katika suala la mahusiano tunapata maneno nice guy na good guy. Twende kwenye mada. Zamani ambayo ndiyo asili haswa, mwanamume alijifunza ama alifundishwa kuwa good guy, yaani ni mwanamume anayejua majukumu yake, aliweza...
  8. Dick Monger

    Wanaume Mnakwama Wapi? Yaani Dakika 3, Chali

    Naandika kwa masikitiko, yaani najihisi kama mimi ndiyo nimetendewa ukatili huu! Stori ipo hivi, juzikati nilimtembelea shoga'angu mmoja ambaye anaishi Sinza, stori zikanoga huko na kwa sababu sikuwa na kitu cha msingi cha kunifanya nirudi kwangu, hasa kwa kuwa ilikuwa wikiendi, nikaamua ngoja...
  9. To yeye

    Samahani wanaume naomba kuwauliza swali

    Habari za masiku? Sorry,naomba mnijibu hili swali wanaume wa humu ndani huenda likanisaidia katika safari yangu hii na mwenzangu. Ni hivi, kuna muda fulani huenda kutokana na majukumu mengi na kujawa na stress kibao kuna muda mtu unakosa hata hamu ya kujunjana, lakini inatokea mwenzangu...
  10. moniccca

    Kuna wanaume wengine walipaswa kuwa wanawake kabisa

    Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu. Hivi wanaume kama nyie huwa mnatongoza kweli? Au ndo type ya madomo zege? Karne hii dume limejaa aibu tena mbele ya mwanamke loh...
  11. Sigonella Island

    Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

    Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)
  12. neema shamuhenya

    Itungwe sheria wanaume waende kliniki

    BAADHI ya wakazi wa kijiji cha Muhalala katika Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni mkoani Singida wameiomba serikali kutunga sheria kali itakayowadhibiti wanaume wanaokataa kuambatana na wake zao kwenda kliniki wakati wenzi wao hao wakiwa wajawazito. Rai hiyo imetolewa na wakazi hao wakati timu ya...
  13. eden kimario

    Marekani: Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee

    Marekani;Sherehe za uzinduzi wa msikiti zazua gumzo baada ya kualikwa wanaume pekee Jabin Ahmed Ruhii anasema malalamiko yake mtandaoni yalifanya jamii ijadiliijadili Jamii ndogo ya waislamu mjini New York imekuwa kwenye mjadala mkali kuhusu nafasi ya wanawake, baada ya mwanamke mmoja kwenye...
  14. donlucchese

    Wadada muwe waaminifu mnapoazima fedha toka kwetu wanaume

    Habari za wakati huu wakuu, Kama kichwa kinavyojieleza, natoa rai kwa wadada (wanawake) wote kwamba mnapoazima fedha kwa marafiki zenu wa kiume, muwe waaminifu katika urejeshaji. Kuna dada mmoja ambaye ni colleague wangu kazini, majuzi mida ya saa tano usiku nikashangaa...
  15. kedekede

    Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

    Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo. Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa...
  16. GuDume

    Ole wenu wanaume mnaoenda Tanga kwa sasa. Kuna Mabadiliko makubwa kwa Wanawake wa huko

    Aisee... leo asubuh ndo jamaa yangu mmoja anaitwa Amani ndo kanipigia simu. jamaa alienda Tanga week tatu zimepita kikazi. mara ya mwisho tumewalisiliana nliongea naye kwa simu akanambia kuna kazi anataka afanye ilikuwa saa mbili usiku ndo akapotea hewani mpaka leo hii. nlishaanza hadi kupata...
  17. Bata batani

    Kwanini baadhi ya wanawake wana wivu na wanaume ambao sio wapenzi wao?

    Sijajua tatizo ni nini kwa wadada wa siku hizi unakuta una urafiki na msichana halafu inafika hatua ukimuelezea hisia zako anazingua na hataki kabisa hizo story za mapenzi yeye anataka muwe marafiki tuu au kaka na dada. Basi kwa ustaarabu unaamua muwe kaka na dada ambao mnasaidia katika shida...
  18. Zurie

    Tunajiremba kwa pesa zetu, kinachowaumiza wanaume ni kipi?

    Wanaume naomba niwaulize kitu kimoja, Kwanini mnaumia sana sisi kujiremba? Yaani nafanya kazi, natengeneza pesa, naenda saluni natengeneza nywele zangu, nabandika kucha, naweka kope zangu za bandia kwa pesa zangu. Mwanaume anatoka huko roho inamuuma eti "Akina dada wanajiremba sana, ooh sipendi...
  19. super black

    Vitu 10 ambavyo wanawake wamewazidi wanaume

    Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...![emoji116] 1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli. 4.Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku. 5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza. 6. Wana...
  20. STUNTER

    Kambi la masoja: Wanaume tunapeana maujanja ya vitu ambavyo ulikuwa huvijui kuhusu wanawake

    Enzi hizo kabla ya kuwaelewa wasichana vizuri kuna-stage wanaume tunapitia na huwa mara nyingi tukikaa tunajazana mauongo uongo mengi kiasi kwamba mpaka ukitoka hapo kama kuwaogopa wasichana basi unawaogopa kweli na kama kuwapenda basi unawapenda kweli. Karibuni tujadili propaganda ambazo...
Back
Top Bottom