Wanaume na dhana ya kutopenda mboga ya kabichi

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,325
9,184
Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi?

Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni.

Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi,
Mwingine anaita
Minyoo hiyo Mimi silagi.

Mwingine Nani ale mizizi hiyo?

Oooh sijawa ng'ombe hiyo kabichi usirudie kunitengea.

Huyu ndo balaa eti me yf akipika kabichi nikiikuta tu hadi sufuria alilopikia nalitupa,,, sipendi ujingaujinga.

Nimestaajabu sana kwa nini wanaume hampendi mboga ya kabichi?
Iliwafanya nini au INA nini kwenu?
 
Hata mimi sipendi, ikitokea nimekula nakula basi tu. Sipendi kabichi, sipendi mlenda, sipendi pilau, ikitokea nimekula nakula basi tu ila siyo kitu nachopenda
 
Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi?

Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni.

Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi,
Mwingine anaita
Minyoo hiyo Mimi silagi.

Mwingine Nani ale mizizi hiyo?

Oooh sijawa ng'ombe hiyo kabichi usirudie kunitengea.

Huyu ndo balaa eti me yf akipika kabichi nikiikuta tu hadi sufuria alilopikia nalitupa,,, sipendi ujingaujinga.

Nimestaajabu sana kwa nini wanaume hampendi mboga ya kabichi?
Iliwafanya nini au INA nini kwenu?
Napenda sana kabichi hasa ikipikwa na nyanya na kumix na dagaa wa mwanza wasiwe na mchuzi hatari hapo.
 
Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi?

Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni.

Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi,
Mwingine anaita
Minyoo hiyo Mimi silagi.

Mwingine Nani ale mizizi hiyo?

Oooh sijawa ng'ombe hiyo kabichi usirudie kunitengea.

Huyu ndo balaa eti me yf akipika kabichi nikiikuta tu hadi sufuria alilopikia nalitupa,,, sipendi ujingaujinga.

Nimestaajabu sana kwa nini wanaume hampendi mboga ya kabichi?
Iliwafanya nini au INA nini kwenu?

Nachukia kabeji kabisa! Naichukia mno mno mno!
 
Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi?

Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni.

Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi,
Mwingine anaita
Minyoo hiyo Mimi silagi.

Mwingine Nani ale mizizi hiyo?

Oooh sijawa ng'ombe hiyo kabichi usirudie kunitengea.

Huyu ndo balaa eti me yf akipika kabichi nikiikuta tu hadi sufuria alilopikia nalitupa,,, sipendi ujingaujinga.

Nimestaajabu sana kwa nini wanaume hampendi mboga ya kabichi?
Iliwafanya nini au INA nini kwenu?
Kabichi tunakulaga ili tuishi tu na si vinginevyo..😂
 
Basi tatizo sio kabichi tatizo ni viungo anavyokuwekea mpishi wako kwenye hiyo kabichi,uzuri kabichi unaweza ifanya kama saladi bila kuweka kiungo kingine isipokuwa chumvi tuu na ukaenjoyyy,..
Halafu ajabu ni kwamba kipindi niko primary, secondary nilikuwa mpenzi sana wa kabichi sana yani, sijui ilikuaje nikaanza ichukia. Watu wanapenda biriani mimi hapana sijawahi kula biriani likanibariki. Pilau nakula tu kama kula ila si kitu napenda. Mrenda ndo kabisa sipendi.
 
Back
Top Bottom