kwa mfano wa yanayoendelea familia ya diamond ni halali wanaume kufa mapema kuliko wanawake kwenye ndoa,

lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,514
2,732
za jumapili na weekend kwa ujumla,
ni wazi kwamba wengi wetu tunajua nini ambacho mama diamond amekiwasha huko anga za habari na kusababisha kila mahali kuwa ngumzo tu,
kwa yanayoendelea nin halali kabisa kwa familia nyingi kupoteza wanaume kwa maana ya kufa na wanawake kuwa ndio wenye nyumba. ebu jaribu kuwaza tu.. kwa maelezo ya mama daiamond ni kwamba, mzee abdul alijua kuwa Nasibu sio mtoto wake kwa mda wote huo,lakini bado aliweza kukaa na mwanamke ambaye alijua wazi kuwa ni msaliti kimapenzi... na mwisho wa siku hata kama ni kishingo upande alimlea mtoto na hakumuua ingawa alikuwa na nafasi ya hata kumuua kwa hasira hata kama ni kisirisir lakini alivumilia...
wakati huo huo sasa mzee Abdul amepumzika na ameamua kutulia na shunguli zake ili amalizie uzee kwa amani.Mama tena anaibuka ni kisu kingine kwa kumuanika hadharani kuwa sio mtoto wake na kusababusha fedheha nyingine tena kitu ambacho kisaikolojia kinaweza kusababisha magojwa makubwa kwa mzee Abdul na kupelekea kufa hali mama mtu akila raha na mwanae......
kwa mfano huu nikiunganisha na wimbo wa pro.jay na stamina kuna maneo j. anasema
baada ya ujauzito wako tulipima DNA na ikangudulika wewe sio mwanangu , lakini bado aliuza vitu ili stamina amuhudumie... ila bado stamina anatamani hata kumuua baba yake... JUST IMAGINE
 
Kaka utakufa na presha wanatafuta views hao maan kufungiwa tv yao wakaona watafute mbinu ya kutafuta helaaa
Ni uthibitisho wa tabia ya watz wengi ya kujadili watu na si 'ideas'

Umbea tu wakati mhusika yupo kimya(Diamond) kila mtu sasa ni Dokta wa mahusiano
 
Yule mzee angeachana na hii familia siku nyingi, yote haya yasingemkuta. Hata waandishi wangemuuliza kama yeye ni baba mzazi wa Diamond, angewatolea nje wawili wengine wasingemfuata.

Wamejua kumkomesha Harmonise na kimbelembele chake cha kumkatia mzee Abdul bima ya afya.

Wamejua kutufunga midomo kuhusu interview ya Esma, kuweka wazi biashara za Pakistan, TV za wizi na ndoa yake na kaka jambazi.
 
Tatizo huyo Mzee Naseeb naye ana mambo ya Kiswahili ya kutaka kujikomba komba kisa Mwanae ana Pesa,anatafuta huruma kupitia Mass ili asaidiwe kipesa na mwanae.

Kama amisha kataliwa na Mtoto wake na Mzazi mwenzake akae atulie,sasa yeye kila Siku ni story na Waandishi wa habari zisizo kichwa wala miguu.wapo wazazi wengi walikataliwa na watoto ambao walikuwa matajiri hata kuzidi Huyo Diamond.

Mama yake Diamond na waandishi wa habari,wanamfanya kama katuni.atulie kama ni matatizo anaweza saidiwa na watu wengine-huwezi mlazimisha mtoto wako akusaidie hata kama hataki.
 
Ni uthibitisho wa tabia ya watz wengi ya kujadili watu na si 'ideas'

Umbea tu wakati mhusika yupo kimya(Diamond) kila mtu sasa ni Dokta wa mahusiano
Kama.hilo umelijua kama nikwel muhusika angepaza saut ukooo hap mkuu
 
Ni uthibitisho wa tabia ya watz wengi ya kujadili watu na si 'ideas'

Umbea tu wakati mhusika yupo kimya(Diamond) kila mtu sasa ni Dokta wa mahusiano
Inawezekaka wamelipwa ili kitu distract na yanayoendelea Chato, resources za nchi zote zinakoelekea.
 
Hao watu chakula yao ni watu kama ninyi mnaoendeleza mijadala wanayoizua...
 
Mimi jambo lisilo na vikao vya ukoo huwa nalipuuza tu.

Wazee wa ukoo wao wakashughulike au mastaa hawanaga ukoo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom