Wanaume ni vitu gani vya kumdatisha mdada ili arudi tena pia atamani kuishi kabisa kwenye geto lako?

mimimi102

Member
Jan 6, 2021
23
37
Tuachane na shughuli kitandani tuongelee makazi (Geto)

Kuna kadada kamoja nilidate nako mwaka jana nakumbuka swali aloniuliza "una geto kali hivi halafu huna hata mke"

Tupeane maujanja ni vitu gani vinahitajika GETO la kijanja ili mdada adate kwelikweli akiingia mara moja tu lazima atake kurudi au atake kuishi hapo kabisa

[Wadada pia changieni mnapenda Geto la mwanaume liwe na nini mpaka uamue kuweka makazi hapo]

Ni geto la aina gani linamdatisha mdada/mwanamke/mchumba

Tuambie kwa uzoefu wako

Funguka
 
Picha ya ghetto pls!
😎😎😎
25678901.jpg
 
Kuna manzi alikuwa anakuja geto na nguo alizovaa tuu, ila siku nasafiri mkoani kikazi kwa miezi mitatu nilishangaa kumuona anaondoka na lundo la nguo sijui aliingia nalo lini. Getho likiwa full equiped unajikuta unaoa bila kupenda.
 
Back
Top Bottom