Sababu zipi zinakufanya usite kufunga ndoa au kupeleka mahari kwa mwanamke?

scatter

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
1,667
925
Katika dunia hii kuna makundi mbali mbali ya watu na sifa zao. Kuna wanaume ambao waliojaribu kuingia katika ndoa na ikawavuruga mpaka kufanya maamuzi ya kuachana na wake zao au kuna wengine hawajawahi kuingia kabisa ila kutokana na speed ya maisha wameona haina haja tena ya kuingia katika suala la ndoa.

Je, kuna haja ya kuingia kwenye ndoa au ni sababu zipi zinakufanya usite kufunga ndoa au kupeleka mahari kwa mwanamke?
 
Ila swala la ndoa au kuwa na Permanent mwenza ni kama nature hivi si umeona Christiano Ronaldo kazaa kwa mikataba mwisho wa siku Georgina kamganda.

Kitaa kwetu kuna single mother wa watoto watatu wote over 20 but kabadili hadi dini na kuolewa sasa unaweza jiuliza huyu anatafuta nini
 
Katika dunia hii kuna makundi mbali mbali ya watu na sifa zao
Kuna wanaume ambao waliojaribu kuingia katika ndoa na ikawavuruga mpaka kufanya maamuzi ya kuachanaa na wake zao au kuna wengine hawajawahi kuingia kabisa ila kutokana na speed ya maisha wameona haina haja tena ya kuingia katika suala la ndoa
je kuna haja ya kuingia kwenye ndoa au ni sababu zipi zinakufanya usite kufunga ndoa au kupeleka mahari kwa mwanamke..
Sababu zilizonifanya nisahau kuoa...
1. Nimepata elimu kubwa nikiwa alone
2. Nawekeza na kusimama miradi yangu nikiwa alone
3. Nasaidia ndugu napoweza nikiwa alone.
4. Mwanangu namlea nikiwa alone.
5. Nimeachieve vingi kazini nikiwa alone
6. Kwangu ni pasafi nikiwa alone
7. Nafanya kazi zotee za nyumbani nikiwa alone.
8. Kama naweza vyote nikiwa alone KWANINI NIWE DOUBLE?

#YNWA
 
Like you, like me
 
Umesahau kujisugua Mkuu. Kujisugua pia unakuwa alone. 😜😜

Back
Top Bottom