wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Anayesema wanaume wengi hawana nguvu za kiume lazima awe /alikuwa malaya

    ANAYESEMA MWANAUME HANA NGUVU ZA KIUME LAZIMA AWE/ALIKUWA MALAYA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kusema kuna ongezeko la wanaume kukosa nguvu za kiume ni kuutangazia Umma kuwa wewe ni malaya au ulikuwa malaya. Kusema vijana wa siku hizi hawana nguvu za kiume ni matokeo ya ongezeko la umalaya kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wakiingia kwenye ndoa wanabadilika kitabia

    Habari za muda huu wadau, Nimekuja na kichwa hichi Cha habari, kutokana na juzi Kati tulikuwa na washkaji Kama wanne hivi wote tupo kwenye ndoa, kasoro mmoja wetu, single boi. Tukajikuta katika mada ya kushare changamoto za ndoa zetu kila mtu kwa muda wake, Katika kushare experience hizo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wakati wa Mvua huchangamka na Kuipenda, ila Wanaume huwanyong'onyesha na huichukia?

    Kuna Jibu moja hilo nimepewa nimebakia Kuvunjika tu Mbavu ( Kucheka ) sana japo ni la ' Kisayansi ' hivyo ngoja nione na hapa Kwenu Wajuvi Wabobezi ( Pundits ) wa JamiiForums kama nitakutana nalo au hapana. Watanzania ni Watu wa Vituko sana tu.
  4. The Conscious

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe tunaanzisha mahusiano na wanawake tunaowapenda ili tukiwapa mimba tusiwakimbie

    Habari wanandugu wa JF, Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu. Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume tunakwama wapi? Inakuwaje ujichubue?

    Siku za karibuni kumeibuka wimbi la wanaume wengi kujichubua, hasa wanaume wa Kinondoni. Walianza wanamuziki wa Kikongo, lakini sasa hata wanafunzi wanajichubua hasa wa vyuo. Tunakwama wapi jamani?
  6. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwakubali tulio nao; wanawake wanatuibia sana mtandaoni

    Mim kila siku natoka asubuh kuna eneo flan napitab..sasa leo ni mara ya tatu namwona mdada flan hiv famous sana instagram kwa picha zake nzur nzur m classy....picha zake ni viwanja vikal na kwenye instagrm she is veeeeery light skin. Ila sasa huyu dada had naandika uzi huu asubuh leo mara ya 3...
  7. The Eric

    JamiiForums Tanzania Wanaume tusijihangaishe kupenda kama hatujui haya mambo

    Salaam kwenu wote watumizi wa JamiiForums. Kabla ya yote ningependa nifafanue Kichwa cha huu Uzi kinacho eleza zaidi upendo wa wanaume kwa wanawake, Kwa hali ya kawaida mwanaume huwa anapenda hana kikomo cha kupenda na kutamani zaidi. Huwa hata kimtaa mtaa tunaona demu mkali lazima watu...
  8. demigod

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanajidharirisha kwa kupiga goti

    Cómo están tus amigos. Leo nimeona tujadiri hili suala lwa wanaume kumpigia magoti mwanamke kipindi ananvisha pete ya Uchumba au Ndoa. Mara zote nimekuwa nikiamini kuwa kama mwanaume anamvisha pete ya uchumba mwanamke, basi ni mwanamke anayepaswa kupiga magoti kwa ishara ya kuonyesha shukurani...
  9. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa kike atamaniha wanaume

  10. M

    JamiiForums Tanzania Tabia zipi ukiziona kwa mwenza wako zinakufanya usitamani ndoa?

    Kwa Wanaume na Wanawake. Mimi binafsi mwanaume akiwa na sifa sifa mbele za watu huwa sitamani kuolewa naye.
  11. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo

    Kwa wanaume waliooa tupe kero au usumbufu ulioupata hadi kufanikiwa kumpata huyo mkeo. Kuna wengine hadi walikaribia kufirisika wengine ushindani ulikuwa mkali nk. Tupe uzoefu wako
  12. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wanaume, mkipenda boga mpende na ua lake

    Ujumbe huu ni maalum kwako wewe mwanaume ambaye upo kwenye mahusiano na mwanamke mwenye mtoto asiyekuwa wa kwako Kumchukia mtoto wa mke/mpenzi wako sio ujanja bali ni ujinga na unajipunguzia mapenzi kwa mwenza wako. Hakuna mwanamke mwenye akili timamu atakaye ridhia kuendelea kuwa kwenye...
  13. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni wakati wetu sasa kupumzika

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza wanaume wenzangu wote popote duniani kwa kazi kubwa ambayo tumeifanya tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka sasa! Kwakweli tumefanya kazi sana, tumeteseka sana, tumepambana sana mpaka kuifikisha dunia hapa ilipo. Kila unachokiona hapa duniani kuanzia mapiramidi kule...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nawaza huenda Corona inauwa zaidi wanaume kuliko wanawake (ipo haja kuchunguza ni kwanini)

    Nimefuatlia sana ugonjwa wa korona tangu uingie! Nilichogundua wazee wengi wa kiume ndo wanafariki zaidi ukiringanisha na wanawake! Hii ni kutokana na ukweli kwamba, wanandoa wazee wanapopata changamoto za ugonjwa huo, akianza kufa mwanamke basi kama mme alikuwa naye wakati wa kuuguza naye...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Namna malezi na utamaduni wa Watanzania unavyoathiri afya ya akili kwa Wanaume

    Nini maana ya afya ya akili? Ni hali ya kuwa sawa kiakili na kisaikolojia au kutikuwepo kabisa kwa usumbufu wa akili ya mtu, mfano msongo wa mawazo. Huhusisha uwezo wa mtu kufurahi maisha na kutengeneza mlingani baina ya shughuli za kimaisha pamoja na jitihada za kufikia uwiano mzuri...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wanaume futeni hii aibu ya kukataa Watoto, this is too much

    Wanaume wanaowapa Mimba then wanakimbia huu ni Ushamba. Huku mtaani mnatusababishia Matatizo, mpaka aibu Wanawake wanavyokula msoto. Iwe msoto ,changamoto Rijali akatai Mtoto. Everyone should carry it Burden
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake hupata msongo wa mawazo kwa kiwango kikubwa kuliko wanaume?

    Kama ambavyo imekuwa ikielezwa na baadhi ya vyombo vya habari, wanawake wapo kwenye nafasi ya kupata msongo wa mawazo kwa kiasi kikubwa kuliko wanaume. Pia kiwango chao cha kupata matatizo ya kiafya au kujiua ni kikubwa mara tatu ya kile cha wanaume. Utofauti huu kati ya jinsia hizi mbili bado...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kauli za wanawake wakiwa na hasira zatajwa kuwa sababu ya wanaume kupima DNA

    Mwanasheria wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Abeid Kafunda ametaja baadhi ya mambo yanayochangia wazazi wanaume kutaka kujua uhalali wa mtoto au watoto kwa kutumia kipimo cha vinasaba (DNA). Kafunda alilieleza HabariLEO ofisini kwake jijini Dar es Salaam kuwa mambo hayo kuwa ni...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanawake wajawazito watafuta wanaume bandia kupata kadi ya kliniki

    Wakina mama wajawazito wilayani Kilindi mkoani Tanga wamewalalamikia wanaume wanaowapa ujauzito kukwepa kwenda kliniki kupima afya zao kama kanuni zinavyodai hali inayopelekea wakina mama hao kutafuta wanaume wengine kwenda nao kupima ili waweze kupata kadi ya kliniki. Hata hivyo ITV...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wanawake wana akili kuliko wanaume, Wanawake wana uwezo zaidi ya wanaume hata wasaidizi wangu wote ni wanawake

    Katibu wa uenezi wa CCM mh Polepole katika kusheherekea siku ya wanawake duniani amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume. Polepole amesema kwa mujibu wa Biblia ya kiyunani mwanamke hakuumbwa kama msaidizi wa mwanamme bali aliumbwa ili kumsaidia mwanamme na mara...
Back
Top Bottom