wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anna pita

    JamiiForums Tanzania Wanaume hii kitu ni sawa?

    Hi kitu imekaaje? Mwanaume miaka 37 ameoa na anafamilia kua na urafiki na kijana wa miaka 25. Tena urafiki ule wa close kabisa kila sehem wako wote ikifika jion jamaa akitoka kazini kijana anaenda nae kwake wanakaa mpaka saa 4 usiku kijana anaondoka. Kama jamaa haendi kazini basi rafiki kijana...
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanaume wana mbinu, Wanawake wana mitego

    Nadhani ni vigumu sana kuuelewa huu msemo. Lakini ukweli ndio huo, Wanawake kabla hawajaingia mapenzini, hupiga Hesabu kali huku wakijifanya malonya kumbe wewe mwanaume ndio boya. Hebu jiulize huyo mwanamke uliyekuwa naye, ulimpata kwa ujuzi na mbinu zako au alikuonea huruma? Unajuaje kama...
  3. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kiswahili ni shida

    Hapo vip!! Leo nilikuwa kwenye restaurant mojo nikiwa nimetulia . Mara majamaa wawili wakaingia wakiwa na mke na watoto wawili..nahisi nimke wa mmoja wapo. Mara wakaagiza msosi na juice,baada yakunywa juice kidogo mara jamaa akashauti hii juice sio nzuri..hata sisi tunatengeneza sio nzuri...
  4. abeli tz

    JamiiForums Tanzania Hii ni spesho kwa wanaume wote ili kuepuka kulia katika mapenzi

    Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda hivyo ulivyo. Hapana wanawake wa sasa wanataka mwanaume problem solver na yule wa kuafford matatizo...
  5. Kasie

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnakwama Wapi? Vunja Vikoba Dar Desemba 2020

    Habari za jioni, Natumai hamjambo, mko poa na mnaendeleza gurudumu la maendeleo. Tangu mwezi wa 11 mwaka huu 2020 kumekuwa na wimbi la wadada/ wamama kuvunja vikoba vyao kwa maana ya vikundi vya wakina dada/mama hawa kukutana wanaenda mahala na kufurahi pamoja. Kawaida vikundi hivi vya kina...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume ndio wanakwazika zaidi wawapo na maumbile madogo (vibamia) kuliko hata wanawake (wenza wao)

    Watafiti wanaeleza kuwa wanaume ndio huwa wanakwazika zaidi wawapo na vibamia kuliko jinsia ya kike (wenzi wao). Na huwa watoa madai ati hawawafikishi wenzi wao kileleni kwa kuwa na maumbile ya hayo. Wengi wao (wanaume) hudai eti mpaka uwe na tango ndio utafikia G-Spot ya mke. Utashangaa hata...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Wanaume wa Arusha ndio kitu gani?

    Nimeona kipeperushi cha kongamano la wanaume wa Arusha. Kongamano hilo lililenga kukutanisha wanaume ili wakazungumzie matatizo wanayokabiliana nayo na kuhimizana kutokaa na jambo moyoni. Sijajua kama walikutana jana ama lah lakini kongamano linawaomba wanaume wa Arusha wasiwe wakimiya...
  8. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania Dhana ya wanawake kupenda Kama wanaume imeharibu sana jamii yetu

    Kinachofanya jamii iharibike ni Ile dhana ya Wanawake nao kutaka kuchagua mtu ata Kama Hana nyuma Wala mbele, matokeo yake mwanamke anazaa na wanaume wa ajabu ajabu hawana malengo na kupelekea kuwepo kwa single mother wengi, unavyombebea mimba mwanaume kwa kigezo Cha moyo unampenda ni uzwazwa...
  9. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tangazo na tangazo kwa wanaume wote ...

    Hakuna mahusiano yanayoanza mwezi huu wa December Huo ni mtego chunga wallet yako.
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa daladala ni kipimo cha kiwango cha roho mbaya cha wakinamama na wadada

    Mwanamke mwenzako mjamzito anastahili huruma mpishe siti, upate thawabu. Mwanamke mwenzako anamtoto mchanga, mpishe siti akae, upate thawabu Ikitokea umekanyagwa bahati mbaya na mwanamke mwenzako usitukane na kuwa mtata, kuwa muelewa daladala sio Hammer au V8. Wanaume wenzagu katika hili, Mungu...
  11. NOT ENOUGH

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaopenda kununa

    Kuna baadhi ya miwanaume inayopenda kununa inakera sana. Nilikuwa na boyfriend wangu yani kila ikifika Ijumaa lazima litafute sababu ya kugombana ili linune weekend yote. Unakuta wewe mwenyewe unataka mpalange lenyewe limenuna. Na nimefanya utafiti wangu nimegundua wanaume wengi wa aina hii...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Aidan Khenani awataka Wanaume kutokaa kimya wanapopigwa au kunyimwa unyumba na wake zao

    MBUNGE wa Jimbo la Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa, Aida Khenani (Chadema) amewashauri wanaume mkoani humo wanaopigwa au kunyimwa unyumba na wenza wao wasione aibu na kunyamaza bali wazungumze ili wasaidiwe. Alisisitiza kuwa visa vya kupigwa na kunyimwa unyumba na wenza wao ni ukatili huku...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnaonyanyaswa na wanawake msifiche uovu huo

    WANAUME WATAKIWA KUTOFICHA UKATILI WANAOTENDEWA. Kamanda wa polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ACP Ramadhani kingai amewashauri wanaume kuacha kuficha vitendo viovu wanavyotendewa na wanawake kwa kutoa taarifa katika mamlaka husika ili watuhumiwa washughulikiwe kisheria. Ushauri huo aliutoa...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ Atuhumiwa Kwa Mauaji ya Mke Wake wa Ndoa Huku Akijaribu Yeye Mwenyewe Kujiua Bila Mafanikio

    Askari huyo wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) anayeenda kwa jina la Daniel Warioba alijaribu kujiua kwa kunywa sumu baada ya tukio hilo lakini hakufanikiwa. Uchunguzi wa tukio hilo la kutisha lililotokea Mlandizi Mkoani Pwani bado unaendelea na taarifa kamili itatolewa na mamlaka husika...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wanaume, please, please msije mkafanya kosa hili

    Enyi wanaume, haijalishi unapenda kiasi gani na huyo mwanamke, awe demu wako, au girlfriend wako, au mchumba wako na hata akiwa mkeo, kamwe usije kumwambia Siri za baba yako na mama yako, hasa zikiwa mbaya, yaani mapungufu. Kuna siku moja atakuja kukusema vibaya wewe, ama kwa marafiki zake, au...
  16. Z

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Wakinamama yasiingiliwe

    Viti Maalum vya wabunge Wanawake vimewekwa ili kulipa fursa kundi hilo la jamii kwenye ulingo wa siasa. Mantiki yake ni kuwa, katika vurugumechi za siasa, wanaume huwazidi wanawake kutokana na sababu mbalimbali za kijamii na kitamaduni. Katika kuheshimu misingi ya malengo hayo ya kuwa na viti...
  17. yuda75

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume mnaumia mkigongewa wake zenu wakati nyie mnagonga wa wenzenu?

    Dah! Umeowa mkee wako kila kitu unampaa na bado anakuzunguka. Umeolewa na unampa mumeo kila kitu na Bado anazunguka Je, ni kuchokana au kutafuta ladha mpyaa au uwanja wa kila siku hauna raha? JAMANI MKEE ANAUMAA Wewe harusi na mahari umelipa watu wanakula free header SEMA CHA MTUU KITAMU
  18. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi (wazuri wachache wapo) tuna roho mbaya mno

    Habari ya muda huu natumai muwazima nyote. Moja kwa moja nisipoteze muda. Tukio la leo(jana) limenifanya nikakumbuka miaka michache iliyopita nilipoteza fahamu katika moja ya usafiri wa umma, kizunguzungu kikali sana kilinipata nikajikuta naanza kuyumba (kupepesuka)nilikuwa natafuta nafasi ya...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tulia aonya wanaume kupiga wake zao. Kama wewe unasikia maumivu ukipigwa basi na mwanamke anasikia maumivu

    NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, amezindua kampeni ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, huku akiwataka wanaume kuacha kuwapiga wanawake na kuwafanyia ukatili wa aina mbalimbali. Akizungumza kwenye uzinduzi huo, jana, jijini Dar es Salaam, Dk. Tulia alisema jamii...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanaume wengi wa Mkoani Mbeya wanapenda kulelewa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa mkoa wa Mbeya, wameachiwa jukumu la kuendesha familia zao huku wanaume wakiongoza kufanya vitendo vya dhuluma dhidi ya mali zinazotafutwa na wake zao. Chalamila ameyasema hayo wakati akifunga kongamano la sita...
Back
Top Bottom