wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

    Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
  2. Matanga

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

    Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY). Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi...
  3. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mahusiano

    Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake...
  4. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania SMS zinatupunguzia wanaume pointi tatu muhimu

    Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia kukimbiza usingizi wangu. Nasikia mmoja anamwambia mwenzake; “basi wakati namalizia kuosha vyombo...
  5. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Amakweli wanaume wa huu mkoa, mmevunja rekodi kwa kupandisha bendera hadi kileleni..😂🤣

    Yaani huyu jamaa kachukua salama, akaweka nzi wale wakubwa watatu na kisha akajivisha kwenye mahala pake (akaivaa ..ndom na nzi wakiwemo ndani ya sox kwa mbele. Sasa...... Wale nzi walipo anza kurukaruka ndani ya ile nailoni na wakiwa wanamuuma na kumkanyaga mwamba kwenye kichwa kidogo, kumbe...
  6. Streptokinase

    JamiiForums Tanzania Wanawake muwe mnatuonea huruma basi...

    Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona. Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman. Baada ya kumpanga tukaanzisha mahusiano, kama mnavojua kwenye mahusiano kusaidiana financially ni lazima...
  7. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wanaume watabakia kuwa wanaume tu!

    Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh.500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia. Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja

    Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja By bbc CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa? Swali hili ni kwa wanaume, lakini kwa wanawake umewahi kufikiria kuolewana wanaume wawili? Au Unakumbuka tukio la mkazi...
  9. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Vitu 10 ambavyo Wanaume waliokomaa hawavifanyi

    Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa. Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya mtoto mchanga na mtu mzima au aliyekomaa ndivyo ilivyo pia kwa makundi haya mawili ya wanaume...
  10. trisha cute

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

    Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751] Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a...
  11. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Wanaume tungeishi vipi endapo kusingekuwa na Wanawake?

    Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
  12. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Wakuu Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima Hasara ni nyingi tuone.. 1: Utageuzwa kitega...
  13. Haluahalua020

    JamiiForums Tanzania Je, kutongozwa na wanaume wengi ofisini inamaanisha kuwa mwanamke ni mrembo sana au ni easy target?

    .
  14. Planett

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanaume wenzangu...

    Ukiona umekorofishana na mpenzi wako na ukajaribu kujiexplain halafu akakujibu NIPO SAWA TUU... My brother hapo jua unatakiwa ufanye kazi ya ziada kumfanya aelewe maelezo yako, usije sema hukuambiwa.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume halisi hatuchagui aina ya wanawake wa kuwa nao

    Habari za leo waungwana. Leo naomba tujadili hii kitu. Duniani kote mwanaume halisi mwenye genes za kiume ndani mwake na tabia za kuwa mwanaume huwa hachagui aina ya mwanamke wa kuwa naye. Akichagua ni kwa sababu anataka kuwa na mmoja tu lakini kimsingi anaweza kuwa na mwanamke wa aina yeyote...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tuelezane ukweli kuhusu Dawa za kuongeza uume

    Jamani haya matangazo yamekuwa mengi sana kwenye mitandao. Dawa za kuongeza urefu na unene mpini. Kama huelewi kwa kiswahili tashdidu tunaita uume. 1. Je ni kweli zinafanya kazi? 2. Mabadiliko yanabaki permanent? 3. Nini side effects zake/madhara yake? 4. Hiyo nyama inayoongezea inatokea wapi...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

    Kijijini kuna wadada wazuri kwa sura, rangi na shape za kuzaliwa. Halafu hata yale Mambo yetu huchelewa Sana kuyaanza. Na hata ukikutana na mdada 25 yrs anakuwa bado amecheza rounds chache Sana. Huko ndiko wake sahihi wanaweza kupatikana. Hapa mjini mtoto anaanza kula ndude tangu darasa la 5...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanaume huwa mnafikiria hatari zinazoweza kuletwa na mchepuko?

    Mchepuko si mrithi wa mali zako, hata uk RIP ni nadra kwa mchepuko kupata chochote labda uwe umezaa nae nae napo pia hutegemea umuhimu wa huyo mtoto kwa familia ya mume. Mnapo kula chakula kwa mchepuko kuna uwezekano maadaui wako kuulipa mchepuko hela ukuondoe duniani. Mfano wewe unampa...
  19. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanaume hawataki mke 'golikipa' na mwenye kipato kikubwa?

    Leo nimeulizwa hili na huyu mtoto wangu mkubwa. Eti, wanaume wa leo hawataki mke ambaye ni mama wa nyumbani (asiye na shughuli ya kipato). Wakati huo huo, wengi wao hawataki mke mwenye kipato kikubwa au 'mishe' kubwa/nyingi kuwazidi. Ni kama haieleweki wanataka yupi. Je, huu mtazamo ni kweli...
  20. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi mnapenda kulala na ubaridi? Full AC au Feni?

    Katika uzoefu wangu wa sleepover hizi over the years nimenotice wanaume mnapenda baridi Sana yaani Full ac au mfeni usiku kucha. Sipendi joto ila sipendi baridi. Kuna mchepuko huo kidogo usiku nife kwa pnemonia. Yaani mwili wote kama barafu ukigusa kalio kama umeshika barafu yaani. Shida ni...
Back
Top Bottom