MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Tukiwaonyeni kuwa acheni sana Kutumia Vumbi la Congo kwani lina madhara makubwa Kwenu hamtusikii.
Tukiwaonya acheni kupenda Kula Chips Mayai na Kuku wa Maabara pamoja na Mayonaizi pia hamtuelewi.
Tukiwaambia acheni Kuchepuka hovyo na kuwa na Mademu kila Kona kwani wanaathiri pia Nguvu bado hamtuelewi tu.
Haya sasa imefahamika kuwa kila Siku Wanawake Wanne wanaenda Hospitali ya Muhimbili ili Kupandikizwa Mimba na Maabara baada ya Wanaume wengi ( siyo Krav Maga ) kugundulika kuwa na tatizo la Nguvu za Kiume zinazoweza Kutunga Mimba.
Habari Kamili Nipashe Ukurasa wa Pili.