Wanaume, kwanini mnaoa wanawake wasio warembo kisha mnafumaniwa na warembo?

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,890
Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.

Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni?

Je, tatizo nini?

Tuambizane.

1621316271605.png

Uwiii hahahahahhahaa uwiii hahahahah

Kumbe hujui sisi wanaume akili zetu zilivyo?

Umewahi jiuliza kwann wanawake wazuri wa sura na mashep hawaolewi, wengi wanazalishwa tu ?

Kwa Taarifa yako, kwenye Kuoa, Mwanaume anayejitambua Hutafuta Mwanamke yule kweli aliyekomaa kubeba maisha yake yenye Udhaifu na Uimara, mapungufu, uvumilivu, upendo wa dhati n.k kwa 90%.

Hawa wazuri, wapuuuzi sana, kwanza sio watiifu , pili Akili zao wanahamishia kwenye mitako na sura na lishep. Kwahiyo niwepesi kukubaisha sababu anatongozwa sanaaaa

Tatu, mwanamke anayetongozwa sanaaaaaaa kiuhalisia, atakwepa mishale 999 ila ule mmoja wa 1000 unamnasa.

Naweza kuelezeaa mengi mpaka yakatosha kitabu.

Ila la msingi...MWANAMKE MAKINI NDIO ATAOLEWA BILA KUJALISHA, SURA, UMBO N.K

namwanamke asiye makini, Atakua mchepuko tu ..hamna namna
 
Wa tamaa ndio namba 1 namba mbili wa maisha
Hapana. Wa maisha ni namba 1 na wa tamaa ni namba 2. Iko hivi, wanaume tumeumbiwa tamaa lakini sio kila tunachotamani lazima tulipate au kukitumia. Ukiona nimekuchukua nikakuweka ndani Kama mke jua tu kuwa kwanza nilikutamani then nikaona unafaa kuwa wa maisha yangu.

Pamoja na kukufanya wa maisha Haina maana kuwa ndio mwisho wa tamaa zangu hapana. Bado nutaendelea kutamani kwa sababu ni udhaifu wetu wanaume, Sasa hizi tamaa baada ya kuona ndio zinaamua Aina ya mwanaume wako na jinsi alivyo na uwezo wa kushinda tamaa zake na jinsi alivyo chagua kukuheshimu na hapa ndipo panapotutafutisha Sana.

Lakini pia tupo ambao tunatamani baaada ya kuoa tukaamua kupita na kusepa lakini pia tupo ambao tukitamani na kuonja tunataka kurudi tena kuonja kwa Mara ya Pili na hili ni kosa kubwa sana ambalo linapelekea kuwa na permanent mchepuko.

Sasa Basi permanent mchepuko ni kirusi kibaya Sana kwenye ndoa kwa sababu kinaitafuna ndoa ndani kwa ndani na kujikuta linakuwa sehemu ya maisha yetu ya ndoa.

NB. Sijaoa na natamani kuoa Ila naogopa maana wanawake wengi ni michepuko kwenye ndoa za watu
 
Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.

Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka wa kawaida sana tu hadi unajiuliza kulikoni?

Je, tatizo nini?

Tuambizane.
Kuna mwanamke wa....
1. Kusuuzia RUNGU
2. Kutengeneza nae maisha.

Sasa ukiwa na mwanaume wako muulize ""WHICH SIDE ARE YOU""??

#YNWA
 
Uwiii hahahahahhahaa uwiii hahahahah

Kumbe hujui sisi wanaume akili zetu zilivyo???

Umewahi jiuliza kwann wanawake wazuri wa sura na mashep hawaolewi, wengi wanazalishwa tu ?????.

Kwa Taarifa yako, kwenye Kuoa, Mwanaume anayejitambua Hutafuta Mwanamke yule kweli aliyekomaa kubeba maisha yake yenye Udhaifu na Uimara, mapungufu, uvumilivu, upendo wa dhati n.k kwa 90%.

Hawa wazuri, wapuuuzi sana, kwanza sio watiifu , pili Akili zao wanahamishia kwenye mitako na sura na lishep. Kwahiyo niwepesi kukubaisha sababu anatongozwa sanaaaa

Tatu, mwanamke anayetongozwa sanaaaaaaa kiuhalisia, atakwepa mishale 999 ila ule mmoja wa 1000 unamnasa.

Naweza kuelezeaa mengi mpaka yakatosha kitabu.

Ila la msingi...MWANAMKE MAKINI NDIO ATAOLEWA BILA KUJALISHA, SURA, UMBO N.K

namwanamke asiye makini, Atakua mchepuko tu ..hamna namna

Case Closed.

Cc: Bushmamy
 
Kuna wanawake ni wazuri lakini hawafai kuitwa mke wameshakuwa chama la wana so unachapa nyumbani unakuwa na mama watoto wa kawaida tu wa kukulelea wanao na kukupa heshima kama mume ukiwa na hamu ya mikalio mikubwa unaenda kuchapa kwa hao wanaojiona classic halafu unarudi zako home.
 
Back
Top Bottom