wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi hawapendi kuongelea Changamoto za Kimaisha wanazopitia?

    Wanaumeeeeeeee! Huu ni mwezi maalumu kwaajili ya AFYA YA AKILI YA WANAUME NA MASUALA YA AFYA kiujumla. Sasa leo hebu tujuzaje kwanini wengi wetu hatuongei au kushirikisha watu wengine tunapopitia changamoto na ikitokea tumesema basi inakuwa katika hatua mbaya sana ambazo urekebishaji wa tatizo...
  2. JamiiForums Tanzania Asilimia ya wanaume ambao hawajapata watoto

    Kati ya wanaume wenye umri wa miaka 15-49 mwaka 2015–2019, 55.2% hawakuzaa mtoto wa kibaolojia, 14.8% walikuwa wamezaa mtoto mmoja wa kibaolojia, 17.4% walikuwa na watoto wawili, 8.2% walizaa watoto watatu, na 4.4% walizaa wanne au zaidi. Source ni National Health Statistics Reports, Number...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela. Hakuna mwanamke mgumu

    Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
  4. JamiiForums Tanzania Wazee wa ovyo acheni kufakamia Wanawake wa Vijana wenu

    Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali. Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu...
  5. JamiiForums Tanzania Unafahamu kuna wanaume wananyanyaswa na wake zao ila hawasemi?

    Ukatili wa majumbani huwa hususani kwa wanawake ila pia sasa kuna tatizo la unyanyasaji kwa wanaume ni tatizo kubwa lakini mara nyingi halionekani, hasa kwa sababu ya jinsi wanavyokuwa wanaonekana katika jamii kwamba wanaume wanapaswa kuwa na nguvu, kujitegemea, na kushughulikia matatizo yao...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume msiogope kulia, msibanie machozi

    Kulia sio suala la kike, ni suala la kibinadamu, ukiona yamekukuta na waona kabisa kooni unadukuduku na unataka kulia, tafuta mahali ulie. Kulia hakuondoi uanaume, yalio ya wanawake wamepewa wanawake, ukiona unacho maana yake waweza kitumia au umepewa uwezo huo, kuumbwa na uwezo wa kulia maana...
  7. JamiiForums Tanzania HIVI WANAUME WOTE WALIOOA WANAKUTANA NA HAYA MASWAHIBU AU NI BAADHI YA WANAUME HUKO KWENYE NDOA ZENU?

    Bila shaka mko poa wana jukwaa na wale mabingwa wanaendaelea kusherekea ubingwa wao.HALAA MADRID. Moja kwa moya kwenye mada, wakuu nina rafiki angu kaoa mwana mke kahitimu chuo huko daslam miaka mitatu iliopita nadhani ni diploma ya uwalimu ila bado hajeajiriwa sasa huyu mwanamke nifull jeuri...
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume: Ebu jaribu "simple dress code" hizi siku, Ujione utatokaje!

    Ushawahi jiuliza siku nitoke vipi? Au kila siku unavaa style moja ya mavazi hadi watu washakuzoea? Sasa kuna hizi dress code tano (5) siku unaweza kuzijaribu. 1. Kuchomekea jeans na shati mikono mirefu. Hii inakua casual outfit, mfano unaenda kazini au mtoko wa kawaida. Tafuta shati la mikono...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa sasa jukumu la kusomesha watoto apewe mwanamke pekee, wanaume tunadharaulika sana watoto wakifikia kilele cha mafanikio

    Nimeona tabia hii imeshika Kasi sana ,akina mama au wazazi wenzetu wanatutambua kama wazazi pindi watoto wanapohitaji karo za shule na mahitaji yote! Wake zetu huwaambia watoto kupeleka mahitaji yao kwa baba ' iwe karo, mavazi, chakula, matibabu na kila kitu mhusika mkuu ni baba!! Lakini baadae...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vile wanawake wanapenda kutuendesha wanaume maskini

    Kuna mtindo flani wa maisha unapendwa Sana na wanawake karibu wote waliosoma na wasiosoma. Sababu za huu mtindo kupendwa ni hizi harakati za wazungu za kutaka Kuona wanawake wanakuwa SAWA na wanaume (eti tofauti iwe ni maumbile tu).wanawake hupenda haya na bahati mbaya wanaozama kwenye huu...
  11. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

  12. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanaume waliotoka kimapenzi na Shilole

  13. G

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na wachaga, makabila mengi yana watoto wa mama, wanapajua zaidi kijijini na ndugu wa mama, Kwanini wanaume hawapeleki Watoto vijijini?

    Ukiondoa wachaga wengi (sio wote) watanzania wengi wa makabila mengine wanapajua zaidi vijijini kwa mama zao na ndugu wa mama kuzidi upande wa baba hivyo wanakidhi kigezo cha kuitwa WATOTO WA MAMA. Kwa wachaga naona wapo tofauti, watoto wanarudi mara kwa mara vijiji vya baba zao na kuzoeleka na...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanasahaulika kwenye vita ya ukatili wa kijinsia

    Habari wapendwa, Hebu tutazame kidogo hili swala la kupinga ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto na wanawake, Je, ni nani muhanga hasa wa jambo hili? Maana katika hali ya kawaida inaonekana wanawake na watoto ni waathirika wakubwa katika hili jambo. Sijui wewe unalionaje...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume walio na wake wafanyakazi wana mapungufu. Mwanaume kamili mkewe ni mama wa nyumbani.

    Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake. Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wanaume tujifunze kujenga ukaribu mkubwa zaidi na familia zetu

    Asalaam, Natumaini wote mpo salama na poleni na mihangaiko yote ya week nzima. Niende direct kwenye mada yangu, Ndugu zangu wanaume kiukweli kabisa tunajisahau sana kwenye kuweka ukaribu mkubwa na familia zetu kipindi tupo kwenye peak ya mafanikio au maendeleo makubwa zaidi kwenye maisha yetu...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kanda ya ziwa, enyi wanawake jaribu kutuelewa

    Nimeona nitoe tahadhari, Tanzania ni kubwa na tamaduni tofauti. Kwa kilichotokea huko Goba, Dar kiwe funzo Kwa wanawake wa mjini kujia tamaduni za wanaume ngangari na wagumu hasa kutoka Kanda ya ziwa. Mwanaume wa Kanda ya ziwa huwezi kumwita majina yenu ya danga, yaani mtu wa Geita, Mara...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaume huwa tunakuwa wababe vijiweni ila kwenye mapenzi na wanawake tunakuwa wa shule ya msingi kabisa.

    ■mara ooh amemkata kata hadi kumuua demu wake kisa ya kujua anatumika kwingine ■mara ooh amemuua kwa risasi mke wake na yeye kujiua kwa risasi. ■mara ooh hawala anakuja kudai sehemu ya urithi baada ya bwana kufariki. ■mara ooh amelawitiwa na baunsa kama wanne baada kufumaniwa na mke wa mtu...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wananunua dada poa?

    Habari wanajukwaa, Kama mnavyoiona swali Katika kichwa hicho Cha habari. Hili ni swala serious sana na watu hulikemea na kutafuta suluhisho bila kujua tatizo. Kila siku tunaskia mara dadapoa wamekamatwa wapi cjui...ila hatujiulizi why wanaongezeka badala ya kupungua. So inabidi tuulize, why...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…