Wanaume tuko wapi?

Kuna kila viashiria kwamba nafasi yetu ya UANAUME imepokwa...hasa na mifumo ya sasa ya Dunia.
Kina mama waliotengenezwa na Beijing 1995 wameleta balaa.
Wanaume najua mnanielewa ......mauti imepanda kuuwa uzao wa kiume.....
Wanaume hatuna sehemu ya kutolea sumu......
wanaume kamili, wanaume suruali, wanaume wa mikoani au wanaume wa Dar?🐒
 
ipo vizuri tu
ni ku KATAA NDOA

NDOA NI SUMU KWA MWANAUME
Ndio kufanikiwa kwa mpango wao...mwanaume usipokuwa na familia....uzao wa kiume unapotea...wanaume wanaoa kumbe na wao wameolewa...balaaa
 
hao wake zenu wanawaua taratib bila nyie kujua
Lowassa, Mwinyi, Magufuli, Mkapa, Nyerere wake zao bado wanadunda, wao wako futi 6 chini
ME amkeni, mnapigwa sana
 
Kuna kila viashiria kwamba nafasi yetu ya UANAUME imepokwa...hasa na mifumo ya sasa ya Dunia.
Kina mama waliotengenezwa na Beijing 1995 wameleta balaa.
Wanaume najua mnanielewa ......mauti imepanda kuuwa uzao wa kiume.....
Wanaume hatuna sehemu ya kutolea sumu......
Ukijifanya kukaza sana mkuu utaumia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom