Baadhi ya wadada kwakweli mnajua jinsi ya kutupa mfadhaiko sisi wanaume

Balqior

JF-Expert Member
Jun 8, 2021
1,709
5,697
Za asubuhi

Kwenye majira flani hivi yaliyopita nlikuwa mahali ofisini, nafanya mishe zangu, mara akapita mdada jirani wa siku nyingi kidogo tunaefahamiana kwa majina tu ila sinaga mazoea nae zaidi ya salamu, akanisalimia, nikamjibu, alichokifanya baada ya kutembea hatua mbili mbele yangu ndo kimefanya nijiulize kama alifanya vile makusudi anirushe roho, au it was a subconscious act

Alikuwa amevaa jeans ya kubana, kiukweli ana kalio ambalo sio kubwa sana ila lina shepu nzuri tu, alivopita mbele yangu mkono wake wa kushoto aliupitisha na kuusugua katikati ya mstari wake wa makalio kama vile anatawaza, hlf baada ya hapo jeans yake akawa anaipandisha na kuishusha kana kwamba anaiweka jeans yake sawa, kwahiyo alivofanya kupangisha na kuishusha jeans yake, kalio lake likawa linacheza cheza (twerking) linapanda na kushuka, nlivoona Ivo ghafla nikahisi kifuani kwangu kama kuna maji yanachemka

Ni kitendo kilitokea ndani ya sekunde 20, hlf mm ni mtu wa kusoma body language za watu kujua wanataka kuleta ujumbe gani ambao hawawezi kuuongea mdomoni, mpaka Leo sijajua alimaanisha nini, nafikiri alitaka attention yangu iwe kwenye kalio lake, sijajua kwanini

Chonde wanawake tusipelekane motoni kizembe
 
Hebu nipe no yake nimuulize alikuwa na lengo gani
 
Braza muda wa kazi huu.

Uko ofsini badala ya kuanza na Kazi we umeanza na hiii? Itafika saa tisa kweli Bro?
 
Huyo tayari kashalipia Ads yupo kupromote soko lake.

Kuna pisi zimejaliwa mitetemo ya 🍑 hatari, jana kuna pisi ilikuja kusimama mbele yangu tukingoja usafiri ni black mamba kweli kweli kavalia kagauni na alipendeza sana. Alikuwa akinyanyua mguu kidogo akiurudisha ukigota chini hiyo mitetemo ya 🍑 ni heavy, alafu lipo la kiasi sio kuuubwa ila ndio hivyo nampenda sana mke wangu mzuri sishawishiki.
 
To my dear sister wa jf, Kelsea naona ume-like na kui-support comment ya mshamba hachekwi iliolenga kuniponda

Najua nlichoandika looks & sound stupid and ridiculous, ila wataalamu wa saikolojia Wanasema zaidi ya asilimia 70 ya human communication ni non verbal (body language)

Nilisoma kitabu kimoja ivi kimeandikwa na wamarekani, psychotherapist watu wa CIA na FBI wanatumia trick za kusoma body language za watu, kuna wanasaikolojia wanaweza wakakusoma wewe ni mtu wa aina gani kwa kuangalia jinsi tu unavotembea, unavokaa, mikono yako , macho, hata ukijaribu kuficha hisia zako kwa tabasamu la usoni, kuna zile micro expression za body language ambazo hudumu sekunde chache, hizo hizo wanazisoma kujua unawaza nini au unapitia nini, wanasema it takes a lot of training kuona kitu kwenye body language ya mtu, ambacho watu wengine wa kawaida hawaoni

Mimi binafsi siwezi jisugua makalio yangu mbele ya mtu, au in public, sababu ya aibu, sasa iweje yule sista asione aibu kufanya vile mbele yangu Kelsea
 
Kipenzi usichukulie serious sana reactions za humu.
 
Back
Top Bottom