wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Haya sasa tujuane wewe kama mwanaume upo kundi gani hapa?

    Haya Sasa tujuane wewe kama mwanaume upo namba ngapi au Huwa una react vip I babe wako akikuomba pesa ya Kodi. Na we mwanamke mwanaume wako ulonaye yupo namba ngapi? "Babe sijalipa Kodi" 1. REAL MEN: "Nitumie namba nilipe ya miezi mitatu 2. A COW: "Utalipa tu usijali" 3. A DOG: "kwani unalipaga...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kanuni ya "tafuta hela" kwa wanaume hailipi katika mapenzi. Tazama hapa

    Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki. Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa". Swali analojiuliza ni kwamba:. Mtu anawezaje kupata hela halafu asinenepe? Hela na afya vyote anavyo lkn...
  3. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote?

    Je, Wanaume mnapendelea 50/50 Au kutekeleza majukumu yako yote na sio kutegemea msaada kwa mwanamke?
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye watoto tupeni uzoefu wenu. Mara ya kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua, hiyo siku ilikuwaje?

    Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye Tabia hii mbaya na inayoharibu Mahusiano yenu na inayowakera 99% ya Wanawake badilikeni tafadhali

    Yaani kabisa Mwanamke wako ( Mtoto wa Watu ) umempenda Mwenyewe na kuamua kuwa nae lakini cha Kushangaza uko nae Kwako Dar es Salaam ila Maelekezo yote ya Kuishi na Mkeo au Mpenzi wako ( Mchumba ) yanatoka Kijijini ( Mkoani ) aliko Mama yako Mzazi au Mlezi wako. Huu ni Ujinga wa Kiwango cha...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari
  7. cacutee

    JamiiForums Tanzania Wanaume 'players' wana nguvu ya hoja kiasi kwamba mwanamke hapangui mbele yake

    Leo ni jumatatu na kama ilivyo Ada watu wako busy haswaa....pamoja na uchovu wa week end lakini watu wanajongea maeneo Yao ya kujitafutia rizikii. Bila shaka na nyie wa JF wenzangu mko sawa kabisa kiafya. Let's get Back to our business... Mwanaume shababi, asiyetulia au kwa jina baya Sana...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupambana na ushoga kwa kutunga sheria kali zinazo zuia mavazi ya kike kuvaliwa na Wanaume na Wanaume kuigiza kama Wanawake

    Mhe. Dr. Gwajima, Dkt. Gwajima D Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mheshimiwa Waziri, Kwa heshima na taadhima, ninakuletea maoni yangu kuhusu jinsi ya kupambana na suala la ushoga katika jamii yetu. Naamini kuwa moja ya njia muhimu za kukabiliana na tatizo hili...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake wakipewa madaraka wanaongoza kwa chuki ili kukomoa wanaume, hasira zote zinahamia kwetu. Tutakutana 2025!

    Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake. Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu. Kila mahali wanataka huruma. Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo ya kutaka kupendelewa kijinsia. Leo nyimbo na ngonjera nyingi ni za kutufubaza akili tuache kutafuta...
  10. Salahan

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje juu ya wanaume kuvaa mavazi ya kike hasa kwenye sanaa

    Kuna sanaa za maigizo tunaziona huko mitandao ya kijamii wanaume wakivaa mavazi ya kike nakuigiza uhusika wa wanawake. Hili limezidi kuenea na sasa kuhamia upande wa television now tunawaona mbele ya familia zetu mbele ya watoto wetu tena huko kwenye tv kimeniuma zaidi. Kuna joti kiboga wa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume ushawahi tongoza mdada, baada ya muda ukajishangaa na kujiuliza kwanini ulimtongoza

    Habarini, Unakutana na mdada unamuona mzuri, na personality yake inaridhisha kiasi, unaanza kumtongoza (anakubali) mnakua kwenye courtship phase, jinsi mnavokaa na kuongea nae miezi kadhaa inapita, jinsi muda unavoenda, interest yako kwake inashuka (hapo hujala mzigo) mwishowe mtu unaanza...
  12. chama mpangala

    JamiiForums Tanzania Jinsi vitunguu Saumu vinavyonufaisha Afya ya wanaume

    1. Kuimarisha Afya ya Moyo Vitunguu saumu vina alicin, ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na shinikizo la damu. 2. Kuongeza Viwango vya Testosterone: Utafiti unaonyesha kwamba kula vitunguu saumu kunaweza kusaidia kuongeza...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Namna pekee ambayo wanawake wanaweza kutukomoa wanaume tukaumia au kuharibu future yetu

    Kwema Wakuu! Juzi kuna dada mmoja alinicheki na kuniomba ushauri kuwa afanyeje ili amkomeshe kijana mmoja ambaye kwa madai yake anasema amemkatili. Sisi wanaume wengi wetu hatukomolewi wala kuumizwa na Matusi yenu. Sisi wanaume wengi wetu hatuumizwi wala kukomolewa na maringo au kejeli au...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni ubinafsi kuoa mke zaidi ya mmoja kwasababu kuna wanaume watakosa kwa upungufu wa wanawake

    Ni kama Mungu ameumba idadi sawà kati ya wanaume na wanawake. Kwa kuzingatia idadi ya wanawake na wanaume Tanzania na hata duniani kwa ujumla. Statistics zinaonesha wanaume ni 50.4% na wanawake ni 49.6% world wide. Roughly unaweza kusema idadi ya wanawake na wanaume ni sawà japo Kuna deviation...
  15. tpaul

    JamiiForums Tanzania Sababu za wanawake kugawa tendo ovyo hizi hapa; wanaume chukua tahadhari

    Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom) Kuna Mapepo ya UHARIBIFU...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume Badilikeni Wanawake wameharibika Siku hizi,sio zamani.

    Wanaume badilikeni zama za kuhangaika na mwanamke kisa unampenda sana epukeni hiyo tabia. Wanawake sasa kwa uchunguzi nilioufanya usio rasmi Asilimia sio chini ya 70% wanajiuza... Anaweza jiuza Directly au indirectly, Kundi kubwa lipo kwenye hii package ya indirectly selling Wapo wanaojiuza...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa hili akili yangu ni nzito. Wakati Wanawake na watoto wa Gaza wanauliwa, wanaume wa Gaza wao huwa wapi? Naomba kujuzwa

    Wakuu kwema! Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas. Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao wanakuwa wapo wapi? Je, wanakuwa wanapigana? Je, wamekimbia na kuacha familia yao? Je, wanawatumia...
  18. Muuza madafu wa Ikulu

    JamiiForums Tanzania Picha za Mapambano ya kutafuta mkate wa kila siku kwa wanaume.

    Tuweke picha zetu wanaume namna tunavyopambana kupambania familia zetu. Lengo la huu uzi ni kutiana Moyo na kuombeana katika mapambano ya kila siku. Hakika tutakula kwa jasho. Mathayo 6:6-9 "Nanyi mnapokuwa katika kusali salini mkiomba. Baba yetu uliye mbinguni Jina lako Litukuzwe Ufalme...
  19. Maleven

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wanajua kucheza na hisia za wanaume

    Yani ana act as if amejaa kwako na waeza dhani kua ukimwambia tutoke out itakua rahisi, ila chaa jabu uki make move tu, anabadilika kama si yeye. Wadada muache kucheza na hisia za watu, mambo ya ku jaribiana jaribiana hayafai
  20. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wanaume Warefu: Ebu jaribu viatu vyenye "long neck style" kama vitakufaa

    Wakuu. Kama wewe ni mrefu, juu ya mita 1.7 ebu jaribisha kuvaa viatu vyenye shingo ndefu kwenye mitoko yako ya sahivi. Kama ni mtu wa jeans na track jaribisha Jordan 1 [ata copy nzuri tu unapata kwa 40,000/=] au Jordan 5, 6 au 7 etc. Au kama una mix jean na juu shati, au kadeti, unaweza...
Back
Top Bottom