wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sintosahau: Siku mwandishi wa habari alipotushawishi tulie mbele ya kamera ili habari yetu na yake ipate uzito, wanawake waliweza, wanaume tulishindwa

    Katika taaluma ambayo ina " wasanii" wengi ni taaluma ya habari, kulikuwa na tukio moja la kubomoa nyumba katika eneo letu, jamaa mmoja mjanja mjanja akasema ana namba ya mwandishi wa habari, akampigia akaja fasta. Baada ya kufika akadai tumpe za kwake kwanza, na pili, ili habari iwe ya kwanza...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

    Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia...
  3. Ncha Kali

    JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya wanaume kugeuka nyuma tukipishana na mwanamke inaisha tukifika umri gani?

    Hii ni hadi lini? Mwenzenu naona umri unasonga tu lakini beki hazikabi, yaani jitihada bado hazizai matunda kila nikijaribu kujizuia.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Moja ya mambo yanayochangia migogoro kwenye ndoa nyingi ni wanaume kuingia kwenye ndoa wakitarajia wake zao kuwasaidia majukumu yao

    Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana kuingia kwenye ndoa wakidhani wanawake wao watawasaidia baadhi ya majukumu na wengine wajinga...
  5. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Baby wangu anapost picha za Wanaume kwenye DP yake

    Hiki kitendo anachonifanyia baby mama wangu sielewi kbsa Mara nyingi unakuta amepost na kuwa wish birthday na kuwapongeza kwa mafanikio mbalimbali wanao fikia hao jamaa ,hata wanaomaliza masoma anawapost na kuwa wish na hata wanao oa pia anawapost lkn Wala si ndugu zake au wadogo zake wa damu...
  6. flamini

    JamiiForums Tanzania Wanaume tunapenda kuhitajika

    Oyaa wazee wanawake wakisasa kuna kitu ibaidi waelewe,kwa sababu wanawake wa kisasa hawawafanyi wanaume kujihisi wanahitajika tena. Siku hizi, warembo wetu wamepata kipato zaidi ya wanaume, wanahitimu kwa asilimia kubwa zaidi kuliko wanaume, na wana uhuru mkubwa zaidi kuliko wanawake wa miongo...
  7. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Ila wanaume tuna shida, hali ya kuomba namba na kunyimwa ni mfadhaiko mkubwa sana

    Wakuu habari za Jumapili, Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
  8. cutelove

    JamiiForums Tanzania "Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

    Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao* Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona...
  9. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

    Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao. Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke. Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana...
  10. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

    Yaani sielewi Yani, hivi mnawezaje kuvumilia vishawishi vya nnje?? Yani nipo na mwanamke hapa nmelala nae lakini akili akili ipo Kwa kidada kimoja kizur cheupe chenye makalio mazuri nachokionaga kazini kwangu. Mimi naamini kwenye hii Dunia hakuna mwanaume anaeweza kuwa na mwanamke mmoja tuu...
  11. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Ina maana massage ni kwa ajili ya wanaume tu au?

    Sijui ni ushamba wangu au ni kutokutembea lakini hizi huduma za kusugua mwili (massage) mbona naona ni wanaume tuu? Kwani wanawake haziwahusu au kuna sehemu yao ni mimi sijafika. Au kuna siri gani na wanaume kwenye hii huduma?
  12. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Wanaume, usihangaike kutafuta wanawake, tafuta Hela, hao watakuja wenyewe!

    Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na nimtumwa wa mapenzi,mhanga wa kupenda Kuliko pitiliza. Unahitaji Maombi uokolewe. Wewe ni cheap and...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Anayofanya Christina Shusho ni matokeo ya Wanaume wengi kuoa Wanawake Watumwa wasio huru. Siku wakipata Uhuru wao hayo ndio hutokeaga

    ANAYOFANYA CHRISTINA SHUSHO NI MATOKEO YA WANAUME WENGI KUOA WANAWAKE WATUMWA "WASIOHURU. SIKU WAKIPATA UHURU WAO HAYO NDIO HUTOKEAGA. Anaandika Robert Heriel Mtibeli Huwezi mfanya Mwanamke mtumwa alafu ukamuita Mkeo. Unajua Watu wengi wamechukua wanawake na kuwageuza watumwa wa kingono na...
  14. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ongezeko la Kataa Ndoa, feminists wanaharibu kizazi kijacho

    Mafeminists wanawaharibu wanawake kisaikolojia, wanawaaminisha wao ni sawa na wanaume, Kitu ambacho hakiwezekani na hawakuumbwa wawe sawa na wanaume, Kwanza... Mwanammke ameumbiwa utii, hana physical power, yaani mfano hata kazi ngumu au vitu vigumu vitamshinda... Na tofauti nyingine nyingi...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wanaume, achani kutembea na liabilities

    1. Msichana ambaye siku zote ye hana nauli ya kuja kukutembelea na anadai kuwa anakupenda. 2. Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utamleteA vya kunoga Kwa ajili yake wakati wake. 3. Mtu ambaye hawezi kukupigia simu hata kwa dakika 5...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

    Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa miaka 20 ndio ugundue ni mbaya, kuna msanii mkubwa mmoja nasikia ndio anampa kiburi Wanaume wapole...
  17. masai dada

    JamiiForums Tanzania Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

    Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia mihangaiko yangu ajui kituo cha gari anakoenda ila sijajua kama kweli alikua hapajui...
  18. BOB LUSE

    JamiiForums Tanzania Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc. Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari umejiunganisha naye chochote atakachotamka dhidi yako kitakupata, akikulaani, laana hiyo itakupata, hujaolewa/...
  19. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo hivi

    Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole. Hawajui Hii miziki ambayo ina trend, wanakua wanaheshimu wanawake na kuwaona kama dada zake na mama zake. Hawanywi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Habarini, Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako. Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au...
Back
Top Bottom