Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
28,388
81,852
Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume.

Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:-

1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye.

2. Ukimpigia simu, halafu mpokeaji akakata mara moja; basi usirudie tena na tena kumpigia. Maana inawezekana mwenye mali yupo karibu naye.

3. Usimtumie ujumbe mfupi wa mapenzi kwenye simu yake, au kutengeneza mazingira ya kuchat naye mara kwa mara kupitia whatsapp, texts, nk. Ni hatari kwako.

4. Usishawishike kwa namna yoyote ile kwenda kulala kwa huyo mwanamke. Utawekewa mtego na kuishia kukatwa katwa vipande na kwenda kutupwa mtoni.

5. Usije naye mazoe ya kukutana naye sehemu moja. Mfano kila mnapokuwa na miadi ya kuonana, basi lazima mkutane Kamficheni Lodge! Ni hatari kwako.

6. Usiwashirikishe marafiki zako au marafiki zake kwenye hayo mahusiano yenu. Hakikisha usiri unatawala muda wote baina yenu.

7. Akikupigia simu, usikimbilie kupokea! Hakikisha anaanza yeye kuongea. Ukikurupuka kupokea unaweza kuingia kwenye mtego iwapo aliyepiga ni mume wake akitaka kujiridhisha mwenye hiyo nba ni nani.

8. Usimchukulie kama mtu wa thamani sana mwanamke unaye chepuka naye! Maana tayari ana mtu wake. Hivyo unatakiwa ujione kama kidumu tu au second selection kwake.

9. Ikitokea kichwa cha chini kimekizidi nguvu kichwa cha juu na hivyo kujikuta umetengeneza mazingira ya ghafla ya kuonana naye, basi hakikisha unateremsha suruali yako nusu tu! Ili likitokea la kutokea, uweze kujitetea kwa kutimua mbio.

10. Hii kanuni ya 10 na ya mwisho, ndiyo muhimu na ya msingi kuliko kanuni zote hapo juu! Na yenyewe inasema hivi; mke wa mtu ni sumu! Hivyo wanaume tunatakiwa kuachana kabisa na tabia ya kutembea na wake za watu. Maana madhara yake ni makubwa, na hasa ikitokea umefumaniwa na mwenye mke.

Yaani hata ikitokea mwanamke mwenye ndiyo anakuletea vishawishi; hakikisha unavishinda ili kuepukana tu na usumbufu, fedheha na athari utakazopata, baada ya kufumaniwa na mwenye mke.

Naomba kuwasilisha.✍️
 
_20240223_121426.JPG
 
Mbona rahisi sana, wasiliane kwa JF PM. Kama hana account mshauri afungue, USER IDENTITY inakuwa jina kificho.
 
Na Kwa Sasa Wake Za Watu Wanasumbua Sana Wanajificha Kwenye Matumizi Ya Mtoto Ukiwasaidia Kwa Roho Safi Bila Kuwaza Chochote Unakuta Mwanamke Anaanza Kutengeneza Mazingira Ya Kunyanduliwa.

Huwa Najiuliza Kwanini Wanafanya Hivyo Au Ndio Wanaona Njia Ya Kusema Shukrani/Fadhira?
 
Kwanza nawaombe Mods msiufute huu uzi. Maana una umuhimu na mafunzo makubwa sana kwa sisi wanaume.

Baada ya kutoa angalizo hilo, basi niende moja kwa moja kwenye kuzijadili sasa hizo kanuni moja baada ya nyingine:-

1. Usipige picha ya aina yoyote ile na mwanamke unayechepuka naye.

2. Ukimpigia simu, halafu mpokeaji akakata mara moja; basi usirudie tena na tena kumpigia. Maana inawezekana mwenye mali yupo karibu naye.

3. Usimtumie ujumbe mfupi wa mapenzi kwenye simu yake, au kutengeneza mazingira ya kuchat naye mara kwa mara kupitia whatsapp, texts, nk. Ni hatari kwako.

4. Usishawishike kwa namna yoyote ile kwenda kulala kwa huyo mwanamke. Utawekewa mtego na kuishia kukatwa katwa vipande na kwenda kutupwa mtoni.

5. Usije naye mazoe ya kukutana naye sehemu moja. Mfano kila mnapokuwa na miadi ya kuonana, basi lazima mkutane Kamficheni Lodge! Ni hatari kwako.

6. Usiwashirikishe marafiki zako au marafiki zake kwenye hayo mahusiano yenu. Hakikisha usiri unatawala muda wote baina yenu.

7. Akikupigia simu, usikimbilie kupokea! Hakikisha anaanza yeye kuongea. Ukikurupuka kupokea unaweza kuingia kwenye mtego iwapo aliyepiga ni mume wake akitaka kujiridhisha mwenye hiyo nba ni nani.

8. Usimchukulie kama mtu wa thamani sana mwanamke unaye chepuka naye! Maana tayari ana mtu wake. Hivyo unatakiwa ujione kama kidumu tu au second selection kwake.

9. Ikitokea kichwa cha chini kimekizidi nguvu kichwa cha juu na hivyo kujikuta umetengeneza mazingira ya ghafla ya kuonana naye, basi hakikisha unateremsha suruali yako nusu tu! Ili likitokea la kutokea, uweze kujitetea kwa kutimua mbio.

10. Hii kanuni ya 10 na ya mwisho, ndiyo muhimu na ya msingi kuliko kanuni zote hapo juu! Na yenyewe inasema hivi; mke wa mtu ni sumu! Hivyo wanaume tunatakiwa kuachana kabisa na tabia ya kutembea na wake za watu. Maana madhara yake ni makubwa, na hasa ikitokea umefumaniwa na mwenye mke.

Yaani hata ikitokea mwanamke mwenye ndiyo anakuletea vishawishi; hakikisha unavishinda ili kuepukana tu na usumbufu, fedheha na athari utakazopata, baada ya kufumaniwa na mwenye mke.

Naomba kuwasilisha.✍️
Kanuni ya tisa imenichekesha sana.Sarawili/suruali nusu mlingoti?Mambo mengine shida sana.😎
 
Back
Top Bottom