Nishakuwa na mke wa mtu alikuwa ni nesi katika hospital flani. Bwana bwana alikuwa anamuaga mumewe anaenda shift ya night kumbe anakuja kwangu anapika anapakua analiwa kesho yake asubuhi anarudi home kulala hiyo ni siku moja kabla hajaanza off au baada ya kuanza off.
Alinipenda sana yule dada...
Nimeshaobserve sana hili suala yaani kwa mfano mimi nisipomtamani mdada rohoni, huyo mdada lazima anishobokee, kosa ni kuwa nikiona mdada halafu moyoni nikaanza kumtamani sana na kumpenda na kumuwaza kila siku, bhasi huwa simpati.
Hii haijalishi muonekano wake, mdada anaeza akawa mzuri tu, ila...
Dah! Poleni sana kwa kweli nimesoma thread nyingi humu nakuta wanaume wanalalamika juu ya kudhulumiwa pesa zao na wanawake na mzigo hawajapewa
Kuna mwingine nae pia kaanzisha uzi eti demu akisema amekumiss basi ww inabid umtumie pesa nikacheka sana ninajua kinachowasumbua hawa wanaume wa...
Aisee wanaume najua wengine hapa mpo kwenye mahusiano na wengine ndo bado wanatarajia kuoa.
Huwa vijana wana shauku sana pindi wanapotaka kuoa na huwa na mapendekezo mbalimbali juu ya wanawake watakao taka kuwaoa/kuwa nao kwenye mahusiano.
Na ule usemo wa mwanamke sio sura ni tabia haujawahi...
Nitawasalimu baadaye,
Kuna jambo moja huwa mnanishangaza nalo ndugu zangu wapendwa wa jinsia Me,
Naombeni mnisaidie Leo, huwa kwenye akili zenu mnafikiria nini pale unakuta mkaka anaenda ku confess hisia zake kwa mwanamke mwingine, while each and every day unaona anapost either ni girlie wake...
Habari wadau
Mimi nakumbuka nilionga sana ada yangu alafu kuirudisha ikawa shida nikauza vitu vyangu vya getto
Nikamaliza chuo nikapata kazi sehemu nikawa nahonga mshara wangu nusu kama fungu la kumi lakini bada ya kuteswa na mahusiano na kugundua kuwa wanawake ni waongo na walafi sikuizi...
Shirikisho la Mpira wa Miguu la Nchini, Brazil limetangaza sera mpya ya malipo na posho kwa wanasoka Wanawake na Wanaume
Sera hiyo itafawanya wanasoka Wanawake na Wanaume wawe wanalipwa kiwango sawa.
CBF, imeeleza kuwa Wachezaji wa Timu za Taifa(Wanaume na Wanawake) za Brazil kwa ngazi zote...
Inasikitisha kweli kweli yaani Mwanaume analala Saa 7 Usiku na Kuamka Saa 9 Usiku ili aanze Kujiandaa na kuitafuta Vingunguti Machinjioni halafu bado kila akipata tu Mshahara wake anaupeleka wote kwa Mkewe na anapangiwa Bajeti ya Pesa yake anayotakiwa kuwa nayo Mfukoni mwake ama kwa Siku au kwa...
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza 'Kutiririka' na 'Kuserereka' zako. Nitashangaa sana nikiona kuna Mwanaume mwenzangu wa Kiafrika atasema kuwa Yeye Mkewe/Mpenzi wake alipojifungua tu hakutoka nje (hakumsaliti ) Kimahusiano. Nitapenda kuona zaidi Wanaume 'tukikiri' hapa kuwa...
Kuna siku moja nilienda mkoa x kikazi, na katika timu niliyoikuta huko nilikutana na jamaa yangu mmoja nilisoma naye chuo miaka kadhaa iliyopita. Sikuwa na mahusiano naye ya karibu huko nyuma kutokana na tabia zake za kiunafiki au undumilakuwili, hasa kupenda majisifu yasiyokuwa na tija na yuko...
Mama mmoja huko Marekani, alijiunga kwenye mtandao mmoja wa kijamii na kuweka picha ya mwanae mwenye umri wa miaka 18. Kisha alianza kuwasiliana na wanaume huku akijifanya kuwa yeye ndiye huyo binti kwenye hiyo picha.
Kutokana na urembo wa binti wanaume wengi mtandaoni hawakusita kumfuata...
Msanii Temba baada ya kuimba wimbo wake wa Nampenda yeye, akawaambia ma-DJ watulie kuna jambo anataka kusema. Na haya hapa ni maneno yake!
"Acha niseme na wanyonge wangu na tupo ardhi ya nyumbani, Polisi nyie ni masikini wenzetu tu hivyo mnapaswa kutulinda na siyo kutuwinda"
Kilichofuatia...
A black woman happily shows off her two husbands and reveals they are happy together
A woman who is happily married to two men and live in the same house with them has shared photos of them together while speaking about their relationship.
Kenya Stevens is in a polyamorous relationship and is...
Uchunguzi huu uliofanyika Marekani ulisema hivo, kati ya wadada 850 waliofanyiwa research, baadhi ya hao wadada walikiri kuwa hawakuwapenda wanaume waliowaita mgahawani, ila walienda mgahawani, ili tu wapate msosi wa bure. Wanaita "foodie calls"
Hio ni marekani ambako wabongo tunasema wanawake...
Alianza Mc Pilipili kulia mbele za watu akiwa haamini kama ataenda kupata papuchi ile iliyokuwa mbele yake.alilia sana... Ilinishtua. Zamani kipindi kama kile wanawake ndo walikuwa wanalia. Lakini sasa ikawa mwanaume.nikanyamaza.
Akaja Lijua Kali. Akalia mbele ya wabunge wanawake na...
Maandiko yaliwaonya ishini na wanawake kwa akili. Wanaume jueni haya juu ya wanawake ambayo hamyajui au mnayajua Ila hamtaki kukubali huu ndio ukweli.
1)wanawake baadhi sio wote wakipenda wanapenda kweli,wanauwezo wa kuwa na huyo mwanaume mmoja maisha yao yote ndani ya ndoa .Ila ni baadhi...
Mimi ni mkatoliki ila nakiri wazi kwamba nafurahishwa na namna waislam kwenye ibada zao na mazishini wanavyowatenga wanawake wake peke yao.
Yani nikiwaona wanawake wako nyuma wamekaa peke yao wamejifunika kanga au shungi au sisi wanaume tunapanda magari kwenda kuzika wao tunawaacha nyumbani...
Kwa Kheri mzee wetu Mkapa, Mungu akurehemu huko uendako.
Nimevaa viatu vya mzee Mkapa kwenye mahusiano yake yenye moyo wa kipekee, havinitoshi kabisa na sio mimi tu karibia wanaume wengi wa karne hii hawawezi kuwa na ujasiri wa moyo kama aliokuwa nao huyu mzee wetu ni wa kipekee kabisa.
Hebu...
Habari za usiku.
Kwa masikitiko makubwa na huzuni isiyoyakawaida imeutawala moyo wangu.
Wanaume,inawezekana kweli tunawakwaza,iwe ni kwa kujua au kutokujua lakini haifanyi ukamwanika mke wako wa ndoa kwa mchepuko kwa kiwango cha lami kabisa
Leo nikiwa niko saloon nasafisha kucha, akaja mdada...
Nimeitoa mahali huko FB na nimeona pana ukweli
1. Hawatuliagi na mwanamke moja
2. Wanapenda kudinya tu, hawana mapenzi ya dhati
3. Wana vipaji sana kwenye kudanganya
4. Huongea kwa utaratibu kwa hisia kali pindi wanapotongoza
5. Ni wavunjaji wakubwa wa mioyo na kuwaacha na maumivu mabinti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.