Kama wanawake wanapenda wanaume wenye hela, kwanini wenye nazo ndo wanaongoza kuchapiwa?

wanzzuki

Member
Feb 27, 2024
66
129
Habari zenu wakubwa,

Mada nyingi humu mnasapoti pesa ndo kinasio cha kuwanasa wanawake lakini ukiangalia wenye nazo ndo wanasalitiwa sana,unakuta mwanamke kaolewa na tajiri baada ya mda anaanzisha vurumai wagawane mali asepe aende kwa mwanaume wake kapuku,stori za wake za watu kuzaa na wafanyakazi wa waume zao ni nyingi sana.

Kama mimi nna dem flani ana msela wake ndo anaemuwezesha kwangu halambagi ata mia kwangu anafwata miti tu, huyu demu hata tym nae sina ye ndo shobo kibao kama saivi nimegombana naye tunamwezi sasa hatuongei kisa anataka serious relationship na mimi sipo tayari, wakati alipaswa awe serious huko ambapo anajaliwa kwa kupewa fedha.

Kwani hawa viumbe ili uwanase mazima kufa na kuzikana inapaswa uwape nini?
 
Mkuu wanaume wa siku hizi hawana mapenzi ya kweli ndio maana wanawake nao wanaishi kwa machale, mtu anawaza ajicommit kwa mtoto wa mtu wakati anajua lazima tu watakuwa wamepangwa msururu na hakuna mwenye uhakika kwamba anapendwa, hivyo nao wanaona acha wakae mguu nje mguu ndani ili lolote likitokea wasianze kutafuta sumu au silaha
 
Kama wanawake wanapenda wanaume wenye hela, kwanini wenye nazo ndo wanaongoza kuchapiwa?
Ni kwa kuwa matajiri wanakuwa bize na biashara, baadaye wanakuwa bize kula pisi za nje, wake zao home wanazidiwa na ukame, na kwa kuwa hao Ke wanazo chènji pia, wanalazimika kununua dogodogo wa kiume kuwatoa nyeg.e
 
Usijidanganye mkuu, masikini wanachapiwa balaa sema tu sio habari tofaut na tajiri akichapiwa,

Hawa wanawake wanaochapwa na bodaboda kisa awe anapanda free ride, kisha anachapwa na wale wa kausha damu, ili asamehewe mkopo, hayo ndo maisha ya wanawake wa masikini,
Hapo sijahesabia mara ngapi anachapwa ili alipe pesa ya mchezo 😂😂😂
 
Duh,
Kwa hiyo wanawake wanajiingiza kwenye msururu wa mambo wasiyoweza kumudu ili mradi wachapwe wasaidiwe?!
 
Usijidanganye mkuu, masikini wanachapiwa balaa sema tu sio habari tofaut na tajiri akichapiwa,

Hawa wanawake wanaochapwa na bodaboda kisa awe anapanda free ride, kisha anachapwa na wale wa kausha damu, ili asamehewe mkopo, hayo ndo maisha ya wanawake wa masikini,
Hapo sijahesabia mara ngapi anachapwa ili alipe pesa ya mchezo 😂😂😂
Umenikumbusha taasisi moja ya mikopo hawana utani na pesa zao wanapiga wake za watu ili kuwasogezea muda wa kulipa mikopo hawasamei mkopo
 
Habari zenu wakubwa,
Mada nyingi hum mnasapoti pesa ndo kinasio cha kuwanasa wanawake lakini ukiangalia wenye nazo ndo wanasalitiwa sana,unakuta mwanamke...
Kitu chochote ni muhimu tu pale unapokuwa hunacho lkn ukikipata tu baada ya mda kinakuwa ni chakawaida na mahitaji ya mambo mengine yanendelea.

Pia Mwanaume yeyote inatakiwa atambue sisi wanaume hatuwezi kuwa na HELA, MDA NA NGUVU ZA KIUME kwa wakati mmoja.

Hivyo ni lazima kimoja kati ya hivyo vitatu tunavikosa
 
Think of it this way....
Money will get you through times of no sex or no love better than either sex or love will get you through times of no money.

Whether you're curious to know how to marry rich or are looking for someone rich, keep in mind that money isn't something that can truly comfort you when you're feeling down. Humans are social creatures by nature, and we often inherently desire love.

So.....
Love never depends on Money or situation. It happens naturally by mental and physical attraction, most probably by mental attraction. That's why, got me...🤔
 
Usijidanganye mkuu, masikini wanachapiwa balaa sema tu sio habari tofaut na tajiri akichapiwa,

Hawa wanawake wanaochapwa na bodaboda kisa awe anapanda free ride, kisha anachapwa na wale wa kausha damu, ili asamehewe mkopo, hayo ndo maisha ya wanawake wa masikini,
Hapo sijahesabia mara ngapi anachapwa ili alipe pesa ya mchezo 😂😂😂
Masikini wanagongewa sana tu ni vile hawana cha kuwafanya wajulikane.
 
Back
Top Bottom