Wanaume hawajipendi na wala hawapendani

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,435
5,102
  1. siku zote mtu analala kwenye shuka chafu, siku akija mwanamke ndo anafua (wendawazimu).
  2. Anakula chakula cha ajabu, siku akikutaa na mwanamke ndo anatumia hala kula chakula kizuri (ujinga)
  3. anajua kabisa kua mwanamke fulani ni mke wa mtu halafu anatembea nae (roho mbaya)
  4. anaweza akaombwa hela na mwanaume mwenzake akasema hana lakini akiombwa na mwanamke akampa.
Ni ufiki kusema wanawake ndio hawapendani.
 
Back
Top Bottom