Wanaume wanaochapiwa wake zao na Kuua

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Kuna uzi nimeupitia hapa JamiiForums, na michango ya wadau ikanifanya nijiulize. maswali mengi sana.

Uzi wenyewe ni huu Nimevunja Ndoa ya Ex Wangu kisa kumchangia Damu. Mumewe kawa mbogo kaapa kuni surprise

Inakuaje mwanaume unasema utamuua mwanaume mwenzako eti kisa mke wako anampenda huyo jamaa, kwanini usimuache huyo mke asiekupenda?

Kwenye huo uzi kuna wadau wengine wanasema watamfanya kitu mbaya jamaa endapo kama ingewatokea wao nk.

Inaonekana mahusiano mengi ya ndoa yamejengwa kwa kulazimisha Mwanamke ampende mwanaume, na kusahau kuwa hata mwanamke huwa anapenda pia.

Kama mwanamke hakupendi achana nae maana upendo huwa haulazimishwi na pia tambua kuwa uvunjifu wa Sheria ni kosa na atakae umia niwewe.

Unahisi ukimfanyia kitu kibaya mwanaume mwenzako ndio mkeo atakupenda? Kama hupendwi ni hupendwi tu acha kulazimisha upendo kwa vitisho.

Unadhani utawadhuru wanaume wangapi kwa umalaya wa mwanamke wako? Fanya maamuzi sahihi na kama unaona ndoa ni Changamoto kataa mahusiano ya ndoa ili ujiepushe na matatizo.

MWANAMKE KAMA UMEAMUA KUOLEWA HESHIMU NDOA YAKO, NA MWANAUME PIA KAMA UMEAMUA KUOA HESHIMU NDOA YAKO.

Mjanja M1 ✍️
 
ndoa ni mpango mtakatifu tangu mwanzo..

yahitajika hekima kuitunza hadi kifo kiwatenganishe

dumuni katika upendo wa Mungu kwani ndie pekee awezae kutatua mashaka yenu ya Maisha

mpendane msichokozane Amani ya Mungu iwe ndani yenu....
 
#KataaNdoa humu hatutakiwi kuchangia. Marufuku. Nguvu za kuchangia tuzipeleke kutafuta hela au kupiga nyeto. Asante.
 
Nimekuelewa sana hapo uliposema kwamba mahusiano mengi ya ndoa mwanamke kalazimishwa/kalazimika
 
Back
Top Bottom