Hii ni wakina dada wenyewe wanaume wabahili

Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa.
Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake.
Usisahau kuja kunishukuru
Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa.
Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake.
Usisahau kuja kunishukuru baadae.
Hii meme ni ya mwaka juzi. Upo nyima sana mkuu.
 
Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa.

Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake.

Usisahau kuja kunishukuru baadae.
Umechelewa sana kuipata hii text. Ilianza kuzunguka mwaka 2005. Wewe unakuja ituma humu leo. Ulikuwa mdogo that time. Si mpya ni ya kitambo sana.
 
Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa.

Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake.

Usisahau kuja kunishukuru baadae.
Umepata mwanaume anakupa pesa shukuru. Sisi wanaume siku hizi wengi hatuhongi. So huu ushauri nikuulize wewe bwana ako anakupa pesa? Kwa nini akupe pesa?
 
Back
Top Bottom