Msaada: Nahitaji Bima ya Afya ya NHIF

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,796
44,891
Nahitaji Bima ya NHIF mimi na watoto wangu wawili pamoja na Mama Mzazi.

Hiyo Bima iwe nation wide (nchi nzima)

Mimi sio mtumishi wa Umma Wala sekta binafsi nimejiajiri.

Wakuu Jambo la Pili nahiitaji ..Kupata mchanganuo wa gharama kwa mwaka Ahsante na Mchana mwema.

Muhaya original
 
Im cyo kweli haifiki
Sikweli bima hizo inaazia 50400 kwawote sio watoto tu sasa utachagua mwenyewe uaze na kifurushi kipi na aina yatatizo ,ukiwa na mtoto mwenye shida yakutosha kiwango hicho hakikidhi ,labda kutibu kamasi na vipimo vya malaria ukishaingia kwenye kipimo kikubwa haisomi
 
Nahitaji Bima ya NHIF Mimi na watoto wangu wawili pamoja na Mama Mzazi.

Hiyo Bima iwe nation wide (nchi nzima)

Mimi sio mtumishi wa Umma Wala sekta binafsi nimejiajiri.

Wakuu Jambo la Pili nahiitaji ..Kupata mchanganuo wa gharama kwa mwaka Ahsante na Mchana mwema.

Muhaya original
Fika ofisini kwao
 
Ok Mkuu thank you sema website yao haifungi it about 2 days nafatilia kwa mtandao that y nimepost hapa 🙏
Mimi hiyo form mbona nimeitoa huko huko kwenye website yao leo hii mkuu baada ya kusoma hii thread yako.

Labda kuna shida kweli ila mimi sijapata changamoto yoyote.
👇🏽👇🏽
 

Attachments

  • Screenshot_20220601-155123.png
    Screenshot_20220601-155123.png
    36.1 KB · Views: 33
Back
Top Bottom