Wajuzi wa mambo naomba uzoefu.
Hapa duniani kuna nchi ina nafasi za kuteuwa kama wakuu wa mikoa ya Tanzania.
Na majukumu Yao ni kama haya ya hapa kwetu.
Huwa wanatumikia wananchi au aliyewatua?
kwetu?
Naishi Hapa Dar mtaa fulani, Nina kama mwaka hivi sasa, Na mahali nilipopanga ni pana mazingira mzuri kiasi chake maana mwenye nyumba wetu ni mtu pia anaependa mali zake hivyo basi hayupo nyuma kutuhakikishia tunapata yale mahitaji ya msingi Kama maji kwa haraka zaidi na marekebisho ya dharura...
Mimi ni fundi seremala huwa napenda sana kutumia internet hasa youtube kuongeza ujuzi.
Nimejikuta natumia wastani wa shilingi laki moja na elf 30 kila mwezi kwajili ya internet kwenye kucheki youtube, netflix, kudownload cartoon za watoto, kushare internet, n.k.
Nataka nipunguze gharama hio...
Kwa elimu hii kuwa kwenye nyayo Kuna swichi za kutibu kila ugonjwa.
Kuna jamaa alinipa hizi story nikamkatalia. Ila naona kama wanazidi kushamiri kufundisha tiba ya mikono na miguu.
Kuna ukweli wowote katika hili?
Nimekuwa Nikiona shati a drafts tu.
Najiuliza Kwa Nini sikioni hakuna t-shirt cotton nzuri lakini na zenyewe ziwe draft lakini nzuri za kisasa.
Kun mwenye ufahamu kuhusu vazi hili na Kwa Nini sio common
Habari zenu wakuu
Jaman naomba msaada kozi gani nzuri ya kusomea kati ya gender and development na management of social development
Na vipi kwenye upande wa kujiajiri au kuajiriwa je ipi ni makertable?
Asanteni
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kujua je, unaeza pata visit visa ya Canada then ukifika nchini humo ukapata kaz ukabidili kuwa work.
Naombeni mchango wenu kwenye hili ni muhimu sana.
Habari za wakati huu my virtual family JF
Nikienda moja kwa moja kwenye mada nina interview hivi karibuni ya TA(Tutorial Assistant) katika institute X kwahiyo naomba kufahamishwa kuwa hizi interview zinakuwa vipi. Accounting & Finance
Hasa nazungumzia written tunayoanza nayo na oral pia...
Wakuu habari,
Mke wangu mdogo (nyumba ndogo) anafanya biashara sehemu maeneo ya wilaya ya Kinondoni, sasa huyo mwanamke nishamkataza mara kibao kwenda huko kwa Mwamposa. Maana yupo tayari afunge biashara aende huko kwa huyo nabii wao. Majukumu ya watoto hayupo makini nayo, yeye Mwamposa...
Nimeisikiliza hotuba ya Rais Mwinyi imenishangaza sana.
Nimejiuliza na kutafakari sana kuwa kama viongozi hawa waliopewa kila aina ya nyenzo ili ziwawezeshe kufanya kazi wanalalama je, wananchi wa kawaida wafanye nini? Wapeleke wapi kero na malalamiko yao? Kama Rais anaweza kuuona ufisadi wa...
Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi.
Mwaka 2019
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, ambaye kwa muda huo ndiyo alikuwa main huyu tumuite R. Basi nilikuwa na mahusiano...
Hata kama CCM hawataleta Latina mpya au wanahitaji utitiri wa vyeo ili waweze kutoa fadhila na zawadi, Ni muhimu kupitia muundo wa utawala ili kuboresha kazi, kuondoa urasimu. na kuongeza Tina na kukwepa lawama.
Leo, DCs wanalaumiwa masuala ya mapato lakini kiuhalisia DCs hawahusiki kabisa. DCs...
Mnaosali anzeni kusali sana, mnaoroga rogeni mno na wale mnaoabudu mizimu kama mimi tafadhali iombeni zaidi kwani yajayo yanaweza yakafurahisha na hata yakaumiza pia.
Nimekuwa nikishuhudia CDF akiitwa mkuu wa majeshi ilihali jeshi la Magereza,Polisi na Uhamiaji yanao wakuu wao.
Sasa ni ipi sababu hasa ya CDF kuitwa mkuu wa majeshi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.