Ni staili gani nzuri unaweza kuitumia kuishi na mwanamke mwenye kiburi na jeuri

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri halafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha

Ukimwelekeza jambo ambapo obvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpaka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .

Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa nilipo nafikiria ni staili gani niitumie kuishi nae na pia wanawake wa aina hii dawa yao huwa ni nini ifike hatua kiburi kipungue na kisirani ifike hatua ajue wewe kidume hata anapoenda wrong directions iwe rahisi kurekebishika na kuelezekeka.

Imagine kama leo hii nilimtext asubuhi hakunijibu badae alivyonitafuta mida ya jioni saa 12 nakuja kumuuliza uliona ujumbe wangu asubuhi hanipi majibu ya kueleweka

Nilivyomuuliza mara ya pili akaanza kunijibu kwa hasira na kisirani vitu havieleweki mwisho wa siku ananiona kaa mie mkorofi kwanini nimemuuliza haya maswali kama ujumbe wangu kauona.

Wakati nimeuliza for gud kama ujumbe wangu aliupata au laa
 
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri alafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha

Ukimwelekeza jambo ambapo orvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .

Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa nilipo nafikiria ni staili gani niitumie kuishi nae na pia wanawake wa aina hii dawa yao huwa ni nini ifike hatua kiburi kipungue na kisirani ifike hatua ajue ww kidume hata anapoenda wrong directions iwe rahisi kurekebishika na kuelezekeka

Imagine kama leo hii nilimtext asubuhi hakunijibu badae alivyonitafuta mida ya jioni saa 12 nakuja kumuuliza uliona ujumbe wangu asubuhi hanipi majibu ya kueleweka

Nilivyomuuliza mara ya pili akaanza kunijibu kwa hasira na kisirani vitu havieleweki mwisho wa siku ananiona kaa mie mkorofi kwanini nimemuuliza haya maswali kama ujumbe wangu kauona
Wakati nimeuliza for guud kama ujumbe wangu aliupata au laa
Si umuache kwani lazima kuishi nae

Mwanamke wa ivyo hata upendo ndani ya nyumba unapungua
 
Kuwa mwanaume mkuu, tulishaambiwa tuishi nao kwa akili, ikishindikana kabisa tuunge mkono hoja za Liverpool VPN hakuna kuoa

Ila binafsi mwanamke akizingua nitaenda na biti lake asiponielewa napiga chini.

Nimeshaacha mwanamke nimezaa nae watoto wawili, kaolewa kakaa kwenye ndoa mwaka mmoja kaachika sasa hivi anataka turudiane, nimemwambia haiwezekani kama nikijisikia kuwa na mwanamke nitaoa mwingine lakini sio kurudiana na wewe
Akaniomba tuongeze mtoto na yeye hataki kuolewa tena na mwanaume mwingine tofauti na mimi.

Mimi nikamwambia kwa hiyo utaishi bila mume mpaka lini si uolewe tu, akanijibu hataki, anataka tuongeze mtoto kisha niwe namuhudumia tu kama kawaida ninavyohudumia watoto pia akijisikia na nyege atanitafuta ila anapendekeza zaidi tufunge ndoa ila mimi niwe namtimizia mahitaji yake ya kimwili tu hata kama kuishi pamoja haiwezekani yeye yupo tayari kuishi kivyake ila awe kama mke mkubwa. Maana tayari ana watoto wangu

Anaongea hivyo mimi namchora tu, maana simuamini hata kidogo, nikamwambia nitakufungulia biashara uiendeleze ili hata ikitokea siku nimekufa ulee familia bila shida, akajibu sawa ila nitahitaji unitimizie na mahitaji yangu ya kimwili kwa hiyo mimi nipo tayari kukuacha ufanye maisha yako ila linapokuja swala la kukutana na wewe tu usiniangushe.

Yaani kifupi mwanamke anatumia mbinu zote kurudiana na mimi ila mi mwenyewe ndio sina habari nae.
 
mmeoana??

kama hamjaoana sio lazima mlazimishane kubadilishana tabia muache na kiburi chake atapata wa kufanana naye and yes birds of the same feathers..............!!

kama mmeoana utakua kuna mahala husiamami kama mwanaume na ndio ameshika kaa fimbo ya kukuchapia, jaribu kujichunguza na kujitathmini unasimamia majukum yako vizur?? kama hakuna ulipokosea bas kaeni chini muongee kama wanandoa yan simama kiume ongea kabisa terms and conditions zako azielewe

wewe ni muslim?? hebu kama umemuoa mpeleke nyumbani kwanza akakae kama mwezi hivi tuone amejifunza alipokosea

ukiona hayo yote hayafanyi kazi na bado mwenyewe unaona uendelee kulishikilia bomu lako usubiri siku likulipukie sawa ukiona huwez ACHANA NAYE .
 
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri alafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha

Ukimwelekeza jambo ambapo orvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .

Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa nilipo nafikiria ni staili gani niitumie kuishi nae na pia wanawake wa aina hii dawa yao huwa ni nini ifike hatua kiburi kipungue na kisirani ifike hatua ajue ww kidume hata anapoenda wrong directions iwe rahisi kurekebishika na kuelezekeka

Imagine kama leo hii nilimtext asubuhi hakunijibu badae alivyonitafuta mida ya jioni saa 12 nakuja kumuuliza uliona ujumbe wangu asubuhi hanipi majibu ya kueleweka

Nilivyomuuliza mara ya pili akaanza kunijibu kwa hasira na kisirani vitu havieleweki mwisho wa siku ananiona kaa mie mkorofi kwanini nimemuuliza haya maswali kama ujumbe wangu kauona
Wakati nimeuliza for guud kama ujumbe wangu aliupata au laa
My friend, unapoona kiburi cha aina hiyo kwa mwanamke wako (hasa kama mwanzo wa mahusiano yenu hakuwahi kukuonyesha) jua kwamba tayari ana mahusiano ya kimapenzi nje!
 
Shida ya mwanamke wangu ni jeuri alafu akikosea ni mgumu kuomba msamaha

Ukimwelekeza jambo ambapo orvious amekosea yaani hakubali na ataanzisha ligi hiyo mpka unafika hatua unaona bora yaishe unajifanya mjinga kwa muda ili mradi mambo yaishe .

Kwa kifupi mwanamke ana kiburi hatari hapa nilipo nafikiria ni staili gani niitumie kuishi nae na pia wanawake wa aina hii dawa yao huwa ni nini ifike hatua kiburi kipungue na kisirani ifike hatua ajue ww kidume hata anapoenda wrong directions iwe rahisi kurekebishika na kuelezekeka

Imagine kama leo hii nilimtext asubuhi hakunijibu badae alivyonitafuta mida ya jioni saa 12 nakuja kumuuliza uliona ujumbe wangu asubuhi hanipi majibu ya kueleweka

Nilivyomuuliza mara ya pili akaanza kunijibu kwa hasira na kisirani vitu havieleweki mwisho wa siku ananiona kaa mie mkorofi kwanini nimemuuliza haya maswali kama ujumbe wangu kauona
Wakati nimeuliza for guud kama ujumbe wangu aliupata au laa
Mkuu sio orvious ni OBVIOUS..
Anyway mpandishe Cheo awe mke mkubwa, utakuja kunishukiru
 
Mtie makofi tu kiburi kitaisha, au tafuta nyumba ndogo uwe unakaa huko atakuheshimu
 
Daaa mkuu pole Sana, yaani hata wa kwangu yupo hivyohivyo. Mi nilichokifa ya nimempiga mimba ahangaike nayo huko harafu tendo la ndoa hata simuombi tena na yeye anaona kawaida tu
 
Back
Top Bottom