wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kyagata

    Nawezaje kufuta nafasi moja kati ya nilizoomba UTUMISHI?

    Nimefanya applications hizi nafasi mpya za TRA, nimeapply nafasi mbili ila utumishi wamesema tuombe nafasi moja tu hata kama mtu unaqualify zote. So nataka kuifuta nafasi moja ya Tax Management Officer ii na nibakishe custom officer ii pekee. Naombeni msaada nikiziacha zote mbili kutakua na...
  2. konda msafi

    Msaada: Nilifanya mapenzi na mwanamke akiwa kwenye hedhi, nikalala bila kujisafisha nikaamka nimebabuka korodani

    Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kipindi cha nyuma kama miaka 6 hivi (2014 au 2015) nilimgonga wife akiwa katika siku zake. Kipindi hicho bado nilikuwa sijamuoa, ndio kwanza tulikuwa tunadate, ila tayari tulikuwa tuna mtoto maana nilimpa mimba akiwa anasubiria matokeo ya...
  3. issac77

    Wakuu msaada wenu, Facebook wamelock account yangu

    Nilikiwa nashare mfululizo taarifa kwenye magroups ndio likatokea tatizo Hilo, Nimejaribu kufuata process zote kwa kureniew password lakini imegoma kabisa, Nifanuyeje wakuu, ama ndio tayari sitofunguliwa Tena? Pia nimejaribu kifungua açount nyngine mpya nayo wamelock vile vile
  4. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hii

    Habari wakuu!! Ningependa kuuliza kama kwa hii (Msc IT Management) program Content inatosha mtu kuwa na Technical knowledge za IT au zipo based on Management tu CORE COURSES COURSE TITLE CODE Units TCU CREDITS Scientific Research Methods OCS 601 1 10 IT Entrepreneurship and...
  5. opondo

    Naomba kujuzwa soko la hii bidhaa

    Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka? Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na Singida. Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake ipo chini pia. Asanteni.
  6. M

    Msaada Wakuu: Kwa Nia njema kabisa.

    Ni nini stahiki za hawa watu wawili: 1.) Ameachishwa kazi akiwa na umri wa miaka 56, na ametumikia Serikalini muda wa miaka 36. 2.) Amefukuzwa kazi akiwa na miaka 58, na ametumikia Serikalini miaka 40. Naomba msaada wenu tafadhali.
  7. figganigga

    Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya Mguu sawa. Mkeka wa Mama Umechanika analeta mpya

    Salaam Wakuu, Baada ya rais Samia kukaa mwaka mmoja na siku kadhaa madarakani, macho yake yamemuwezesha kuwaona Wakuu wa Wilaya na Mikoa Wachapakazi na wale Wauza Sura. Japo Mkeka wa Wakurugenzi haupo wazi, ila nao panga linawapitia. Makatibu Tawala kidogo Wanajitahidi. Wanamfurahisha Mama...
  8. matunduizi

    Hii ya kuchinja watu kiroho, imekaaje kisheria?

    Leo nilimiss kusikiliza redio baada ya zaidi ya miaka Miwili. Maana Nina vyanzo mbadala vya taarifa. 'Nikagugo' redio ya kusikiliza nikajikuta nasikiliza redio moja ya kiroho Kondoo wa Bwana walikuwa wanatoa ushuhuda jinsi yanavyomkabili adui yao ibirisi. Kilichonishtua Mwanamama mmoja jasiri...
  9. Niache Nteseke

    MSAADA: Naomba Call Recorder Nzuri Kwa Simu za Android Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Naomba mnijulishe kuhusu Call Recorder nzuri kwa Simu za Android inayoweza ku-rocord simu zote zinazopigwa na kupigiwa ili niweze ku-install kwenye simu yangu na niwe na uwezo wa ku-record kila simu inayoingia na kutoka kwenye simu yangu wakuu. NAWASILISHA.
  10. P

    Viongozi Wakuu wa Chadema wanakifanya chama chao kuwa irrelevant kila siku

    Ndo ukweli wa wazi pamoja na Chadema kuwa na wafuasi wengi mashinani lakini wanaangushwa sana na viongozi wa juu wa Chama hicho. Mbowe ana maono makubwa na Chama ila kufungwa kwake kumesababisha amekuta ungozi wa juu wa Chama umetekwa na wanaharakati wasiokuwa na ajenda. Ajenda za Chama...
  11. H

    Hodi wakuu heshima yenu

    Habarini! Ningeomba mnipokee jamvini. Ni mwanaume. Naishi Dar kijana wa miaka 28. Nawasilisha.
  12. Titus3652

    Msaada wa GPA wakuu

    wakuu nina mdogo wangu anasoma diploma ya biomedical engneering. Sasa anauliza je GPA ipi ni nzuri zaidi kwakua hii semister ana 3.3 msaada kwenu wakuu yupo first year ni vzuri zaid akijua GPA ipi inafaa zaidi
  13. B

    Kwanini Mawaziri wengi awamu ya Tano na sita wanapoingia ofisini uanza kuwachongea wakuu wa taasisi waliowakuta waondolewe?

    Akiteuliwa Waziri wa Mambo ya ndani lazima apambane na wakuu wa idara aliowakutwa,akiuliwa Waziri wa ardhi naye Kila anayemkuta ofisni Hana sifa, akiteuliwa Waziri wa sheria naye ana watu wake, kilimo Kila sehemu anataka yeye atawale nk Je, wanapata wapi nguvu yakufika ofisini na kuanza...
  14. kavulata

    Vitendo hivi vya Viongozi wetu wakuu vinaibua harakati za kikabila Tanzania

    Kama kuna barabara, daraja, kiwanja cha mpira, benki, uwanja wa ndege, kiwanda, shule, chuo, umeme, maji, au kikosi cha jeshi havikujengwa kwenye kijiji, kata, wilaya, mkoa au kanda kabla ya mtu wa kutoka kabila lao, kijiji chao, kata yao, wilaya yao, mkoa wao au kanda yao hajakuwa kiongozi...
  15. 5

    Ndege nne za Urusi zaangushwa huku baadhi ya Wanajeshi wake wakikataa kutekeleza amri za Wakuu wao

    Baadhi ya wanajeshi wa Urusi wakataa amri, ndege zao nne zaangushwa - vimesema vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine Wakati Ukraine ikielekea katika siku ya ishirini ya uvamizi wa Urusi katika ardhi yake, Maafisa wakuu wa jeshi la Ukraine wametoa taarifa yao kila alfajiri. Vikosi vya Urusi vinasalia...
  16. dubu

    Wakuu, hii ilikuwa mechi gani? Na Kipa alificha nini golini?

    Salaam wakuu, Mimi sikujua hii mechi ni ya bongo hadi nilipoona bango la Azam. Je, ni Mechi gani? Goli kipa alificha nini golini? Huyo anayekimbizwa ni nani? Kwanini anakimbia?
  17. LIKUD

    Soya bean ya Kariakoo inatoka wapi?

    Wakuu hivi hii soya bean inayo uzwa madukani/ masokoni kariakoo Na kwingineko jijini Dsm inalimwa wapi? Concern yangu ni nataka kujua kama ni original au inalimwa hapa hapa Tanzania maana nimesoma Mahali kwamba Soya ni Moja Kati ya bidhaa za kilimo ambazo zinazalishwa katika mfumo Gmo Kwa...
  18. Niache Nteseke

    MSAADA : Naombeni Direct Link za Hizi Movies TERMINATOR & SUPERMAN Part Zote Wakuu.

    Heshima kwenu wakuu. Nimekumbuka hizo movies hapo juu niliziangalia nikiwa mdogo, sasa nimezikumbuka nahitaji kuziangalia tena zote in series kuanzia ya mwanzo mpaka ya mwisho. Najua wadau mtanipa muongozo ili niweze kuzi-download mwanzo mpaka mwisho wakuu. Natanguliza shukran zangu za dhati...
  19. Equation x

    Usifanye maamuzi ukiwa umelewa, yatakugharimu

    Siku moja nilipata safari kwenda mkoa anakoishi mchepuko wangu, ambaye tulibahatika kuzaa naye. Baada ya kufika katika huo mkoa, nilimjulisha na akanikaribisha niende kumtembelea nyumbani kwake. Mida ya jioni ilipofika, nilifika nyumbani kwake, tukaongea stori za hapa na pale, huku mtoto...
  20. Niache Nteseke

    MSAADA : Direct Link Movie ya Sobibor 2018 Wakuu

    Heshima kwenu wakuu. Aisee nimejaribu kuitafuta sana hii movie, naipata lakini nashangaa nikii-download inagoma kabisa, sasa kwa mwenye direct link ambayo nitaweza kui-download kwa urahisi naomba anisaidie wakuu. Natanguliza shukran zangu kwenu wakuu. Thanks.
Back
Top Bottom