MSAADA: Anuani ya Jesuit Refugee Service

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,176
Heshima kwenu wakuu.

Natumai mmeamka vyema kabisa, naomba mwenye kufahamu anuani ya Jesuit Refugee Service (JRS) anisaidie niweze kutuma barua ya maombi ya kazi wakuu.

Natanguliza shukran kwenu. Thanks.
 
Wewe unataka anuani ya nini wakati umeshawekewa email?

Kwenye email kuna vitu vinaitwa attachments (Viambatanishi), hivi vikiwemo Barua ya maombi ya Kazi, Wasifu wako (CV), pamoja na vyeti vingine vya taaluma.

Kwenye Barua yoyote official natumai address ni muhimu sana kuwepo pale, hivi vyote unaambatanisha kwenye hiyo email unayoisema, sasa utaandikaje Barua ya maombi ya Kazi bila ya kuwa na anuani ndani yake...?
 
Mambo yamebadilika siku hizi mkuu..unapotuma kitu kwa email huna haja ya kuangaika na hizo P.o Box,,,ww andika.

Human Resources Department,
Jesuit Refugees Services,
Kigoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye email kuna vitu vinaitwa attachments (Viambatanishi), hivi vikiwemo Barua ya maombi ya Kazi, Wasifu wako (CV), pamoja na vyeti vingine vya taaluma.

Kwenye Barua yoyote official natumai address ni muhimu sana kuwepo pale, hivi vyote unaambatanisha kwenye hiyo email unayoisema, sasa utaandikaje Barua ya maombi ya Kazi bila ya kuwa na anuani ndani yake...?
Andika

Jesuit...
Kigoma, Tanzania

Inatosha kabisa
 
Back
Top Bottom