Nimegundua mwanamke ambaye nina mpango wa kumuoa hatutawezana

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engagement basi sasa hivi kaninunia na kunikasirikia

Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha sasa hivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engagement japo nilijaribu kumuelezea hali halisi anaonekana hanielewi

Hapa nilipo nawaza kweli huko mbeleni hali itakuweje?
 
Inatokeaga pale mwanaume unapokua una pretend maisha . Kipindi mandate yawezekana ulijimwambafy sana na kumpa hela hovyo akajijengea kwamba zimo ndio maana saivi haelewi somi.

Ila mwanamke anaejitambua na kuelewa gharama nyingi mwanaume anapobeba kipindi cha engagement hadi ndoa hakupaswa kununa yani kwa kifupi hakupaswa hata kuku stress alitakiwa akupemoyo na ku appreciate unachofanya )ikibidi aku support...badala yake anaenda kuchukua kitu kwa gharama ambazo anajua hawezi!
Nawatakia kila la kheri.
 
Kila mtu atauchukua,, mzigo wake mwenyewe...

Tukisema msioe mnatuona kama Walamba asali... NDOA sio kwa ajili ya kila mtu

Ila kwa kuwa hukutaka kusikia basi nakushauri Hivo ni vitu vidogo sana mkuu,,, hilo litumie kama tahadhari (redFlag),, na ulizuie lisijirudie tena....nakazia,,, Lizuie lisirudie.

Usipoelewa hapa,,, basi subiri Mazingira yatakuelekeza..

Be a Man,,, Stay taliban...
 
Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engangement basi saivi kaninunia na kunikasirikia

Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha saivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engament japo nilijaribu kmuelezea hali halisi anaonekana hanielewi

Hapa nilipo nawaza kweli huko mbeleni hali itakuwej
Kisirani huyo. Mme date kwa muda gani? Kipindi mna date kabla ya hii ishu ya kumchangia engagement hajawahi kukuonyesha tabia za visirani?
 
Gauni la kuvaa yeye gharama uzibebe wewe..

Why wazazi wake ama ndugu zake wasimnunulie.

Mwanamke bado hajaoelewa ila jukumu unaanza kubebeshwa kama mume tayari.

Engagement hata akivaa nguo zake za zamani haikwami..

Kama hataki kuvaa za zamani ,, Mimi nilivyo kichaa ningeweza muambia akaazime kwa rafiki yake
 
Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engangement basi saivi kaninunia na kunikasirikia

Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha saivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engament japo nilijaribu kmuelezea hali halisi anaonekana hanielewi

Hapa nilipo nawaza kweli huko mbeleni hali itakuwej
Ndio picha linaanza be a man atakutawala huyo ndoanii muonyeshe rangi zako mapema azijue
 
Hivi sherehe za engagement ndio sherehe za uchumba au za kukabidhi posa? Au kumvalisha Pete?

Kama ni hiyo ya mwisho, nyie wote mnafanana akili.
 
Kisa tuu nimeshidwa kumchangia hela ya gauni la 100,000 kwa ajiri ya engangement basi saivi kaninunia na kunikasirikia

Na sio kama nimeshidwa kumchangia la hasha saivi nina mambo mengi ikiwemo gharama za mahali na vikorokoro kibao natakiwa kuvitimiza siku ya engament japo nilijaribu kmuelezea hali halisi anaonekana hanielewi

Hapa nilipo nawaza kweli huko mbeleni hali itakuwej
Ingekuwa ndio mimi hili zoezi la kutoa mahali na kufanya engagement ningelisimamisha na kulifanya mwakani mwezi wa 12 na sababu ya kusimamisha unatafuta hela ya Gauni la laki moja

Natumai mpka mwakani zoezi litakapoanza upya sijui kama tena huyo mwanamke atataka Gauni la bei hiyoooooooooo.

Kuna mwanangu alikuwa anaplan kufunga harusi na ndoa ya kawaida ila mwanamke wake alikuwa ana force wafunge ndoa ya kifahali kilichotokea mwamba alisimamisha shughuli ya harusi over five years mwanamke kuona anakaribia kutimiza 33 years na hakuna ndoa ilibidi hela ya na harusi familia yake igharamilikie maana mwamba alishasusa

Kitu nilichojifunza mwanaume ukishindwa kusimama kama mwanaume kila siku utakuwa ww ni mtu kulalamika habari za wanawake
 
Huyo mwanaume mwenzetu anajitambua kwerikweri. Ajengewe sanamu katikati ya pitch kwa Mkapa pale

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Huko mbeleni hali itakua tete. Yawezekana ktk uchumba wenu haukuwahi kumpima kama anaweza kukuvumilia ukiwa hauna kitu. Kuna possibility kubwa sana uko vizuri kiuchumi na una kazi nzuri kwahiyo hajawahi kukuona ukiwa broke wkt wa mahusiano yenu. Yawezekana hiko ndiko kimemsukuma kuingia ktk ndoa (picha anayoipata akilini kwake ni kua mtaishi maisha mazuri milele na milele).

Hiyo ni mbaya kwa afya nzima ya ndoa yenu kwani maisha hua yanabadilika. Atakufanyia vituko vya kila namna ukifulia.

Mimi binafsi hata nimiliki mkwanja kiasi gani, kuna wkt hua napretend niko vibaya saaaana kifedha namtest manzi angu kujua kama ana uwezo wa kudumu ktk mahusiano nikiwa sina kitu. Kuna wkt nilichukua likizo kazini nikamuambia nimefukuzwa kazi, tukaishi kigetto getto kwa ela yake.

A woman who does not appreciate you when you are financially down, does not deserve you when you are financially up. Ni wanaume tu ndio watanielewa hapa. Nyie wavulana piteni kushoto...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom