Maana nikingia kwenye tovuti ya NACTE kuna sehemu imeandikwa applicant choose as:36 afu kwa mbele wameandika capacity 50 Sasa naomba kuuliza Hao 36 ndo idadi ya watu walio apply..
Samahan lakin kwa usumbufu
RC Kafulila apiga marufuku ‘michomoko’ kusafirisha abiria Mkoa wa Simiyu
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC) nchini Tanzania, David Kafulila amepiga marufuku magari madogo maarufu michomoko kusafirisha abiria mkoani humo.
Ni baada ya kuhusika kwenye matukio ya ajali yaliyosababisha vifo vya watu 10 na...
Habari za muda huu tena wakuu.
Naomba msaada na ufafanuzi juu ya Kozi hii inahusika na mambo Gani?
BACHELOR OF SCIENCE IN BIOTECHNOLOGY AND BIOINFORMATICS
Natanguliza Shukrani
CHONGOLO MGENI RASMI KIKAO CHA WAKUU WA SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, Leo Ijumaa tarehe 15 Julai, 2022 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha Wakuu wa Shule za Umoja wa Wazazi Tanzania.
Kikao hicho...
Naombeni msaada wenu wakuu.
Nimemaliza diploma na nilikuwa napenda kuendelea na elimu ya juu lakini kulingana na hali ya maisha naweza nikashidwe kujihudumia na kama mnavyo fahamu chuo kikuu ni gharama kubwa.
Naomba kufahamishwa kama naweza pata mkopo ili niweze kuendelea na elimu yangu...
Kichwa cha uzi chahusika, ndugu zangu kuna project ninataka kwenda kuifanya Wizara ya kazi. Je ni lazima niende Dodoma au ofisi ya wizara ya kazi ya DSM bado inatoa huduma?
Anayefahamu kuhusu hili naomba afunguke tafadhali.
WITH MUCH THANKS IN ADVANCE
Wasaalaam wakubwa zangu jamani nimekaa nimejiuliza hivi nyie vidume wenzangu huwa mnafanyaje fanyaje mpaka mnapostiwa na kuwekwa DP kabisa mbona mimi sijawahi au bado nafanyiwa tathmini I mean nipo kwenye majaribio, au ndio nina det na demu wa mtu.
Hebu nipeni mbinu wadau nami nijione mtu...
Heshima kwenu wakuu.
Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia.
Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani kuifahamu video clip husika wakuu...?
NAWASILISHA.
Inanitokea mara kadhaa nikiwa nimelala hata mchana huwa ninahisi mwili kunesanesa kwa kasi, nashindwa kufumbua mdomo na macho na kuhema wakati huo,
ni wakati ambao huwa ninaomba sana kimoyomoyo kwani huwa ninaona ndio tumaini pekee lililobaki ni kama nahisi kufakufa hivi na sitamani kabisa...
Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola hatimaye unafanyika Jijini Kigali, Rwanda baada ya kuahirishwa mara mbili (2020 na 2021) kwa sababu ya Ugonjwa wa COVID-19.
Mkutano huo unaofanyika kuanzia tarehe 20 hadi 25 Juni 2022 umegawanywa katika makundi mbalimbali kama vile ya...
▪️Sasa vyadahili wanachuo 15,032
▪️Bilioni 6.8 ya Fedha za Uviko-19 kutumika kununua vifaa
Na WyEST,
MOROGORO
Wakuu wa Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi (FDC) wametakiwa kutumia kwa umahiri uwekezaji wa miundombinu na vifaa uliofanywa na Serikali katika kubuni miradi itakayotumika na wanachuo...
Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu
1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia
2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
Kwakweli nimependezwa sana na mawazo mazuri aliyotoa waziri wa fedha leo.
Sijawahi kuwa mshabiki wa Waziri wa Fedha lakini haya aliyozungumza, leo natangaza kuanzia leo nakua mshabiki wake.
Na tena nakazia.
Watu hawa wawe wanafanyiwa usaili wakurugenzi wa taasisi zote, makatibu wa wizara...
sababu zangu ni hizi hapa;
1. Kuwapatia staha, waheshimike na kuthaminika katika shule na jamii kwa jumla. Mkuu anayeheshimika atajiamini; mkuu anayejiamini ataongoza taasisi vizuri sana.....kukimbizana kwenye mabodaboda na kuoga mavumbi kwa watu waliopewa dhamana ya kusimamia eneo linaloleta...
Napendekeza wakuu wote wa mashirika ya umma wafanyiwe usaili kwa ushindani. Napendekeza nafasi zianze kutangazwa punde nafasi ikiwa wazi ili wenye sifa wajitokeze na wafanyiwe usaili na iwe hivyo hivyo kwa bodi. Wenye sifa ndio wafanyiwe upekuzi kufanyiwa uteuzi na kupewa mkataba wenye malengo...
Hebu fikiria hawa walikuwa viongozi wakuu wa kitaifa na wajumbe kwenye mabaraza mbalimbali ya Chadema.
Wilbroud Slaa aliyekuwa katibu mkuu, Zitto Kabwe (N/Katibu mkuu), Arif M/Mwenyekiti Taifa, Waild Kabouru, Vincent Mashinji, Mwigamba, Waitara, Katambi, Kafulila, Shonza, Mchage, Lowassa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.