Mlioko un agencies nipeni mbinu wakuu

Objective football

JF-Expert Member
Oct 21, 2023
1,196
2,758
jf ni kisima cha maarifa , hapa kuna wadau wa kila aina.

napanda tena jukwaani ,nikiomba ushauri kwa ajili yangu na kwa wengine pia.

ndoto yangu ya kuzitumikia UN AGENCIES mfano UNDP,FAO,IFAD,WFP NK pamoja na serikali kuu bado haijafa. nina bachelor ya uchumi na mbeleni nataka nianze na online certification za child protection, intergrated project management then nimalizie na masters ya project management& evaluation ya SUA ,udsm ama open university je wakuu nitakua nimelenga mule mule kuzitumikia hizi agencies
 
Back
Top Bottom