Mkuu mamb ykikaa saw baada ya miaka kadhaa utafikia kwangMm mwnyw ndoto zangu siku moja nifike Dar, kila nikiangalia tv hua navutiwa na muonekano wa dar.
Kabla cjafa aisee lazima nije Dar japokuwa sijui nitafikia wapi mana sina hata ndugu huko.
Aise Kalibu pande za mabibo,hila hapo kupo fresh usafili pand zote unapata,kwa mpambanaji nakushauli hish mabibo,chumba bei powa, chakula soko la mabibo lipo chakula bei pow,hapo teyali ushafanikiw hila kuwa makini na mahusiano ya kimapenz,Me ni jinsia angu ni me umri Wang ni 20years old na ninapo fikia mwenyeji wangu kanambiy ni mabibo
TakbirMkuu mamb ykikaa saw baada ya miaka kadhaa utafikia kwang