Wakuu ni kwamba pesa mtaani hamna au?

Wakuu ni kwamba pesa mtaani hamna au?

feyzal

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Posts
8,947
Reaction score
18,448
Salaam.

Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama wakati huu tangu nianze hii biashara,yaani pesa hakuna mteja anakuja analia vibaya sana.

Wazee ni kwangu tu au hata kwenu? Biashara zote tatu ni shida atleast ya chakula ndo napatapata ya kusukuma siku dah🙌 sio poa.
 
Mkuu acha kabisa acha kabisa mpaka nimekaa nika panic baada ya mzee kunipa story et rafiki zake wengi wanajeshi wengine wakuu wa wilaya..

Nawaza huyu faza mbna jau, inamana wenzake kipindi wanachukua nafasi kama hizo yeye alikua anafanya nn..?

Ukija kwetu sisi hakuna fursa kama zamani aiseee hakuna fursa kabisa an faken life
 
Ungeainisha biashara unazofanya
 
Ila famasi zimekuwa nyingi sana
Pamoja na hela kuwa ngumu ila market iko saturated. Kila mtu anafanya biashara. Kama hizo pharmacy kuna barabara ya 4km nilizihesabu zinafika 50. Sasa watu wanaumwa sana au? Baada ya watu kusikia pharmacy zinalipa kila mtu anataka kufungua yake. Huo ni mfano mmoja tu.
 
Ndio pharmacy zinalipa wazungu wametuaminisha mitishamba ni uchawi alafu wakabadilisha mitishamba kuwa dawa za kisasa.
 
Mzunguko wa pesa mtaani kwa sasa uko chini sana. Wahuni wachache ndiyo wanazimiliki.
 
Mkuu acha kabisa acha kabisa mpaka nimekaa nika panic baada ya mzee kunipa story et rafiki zake wengi wanajeshi wengine wakuu wa wilaya..

Nawaza huyu faza mbna jau, inamana wenzake kipindi wanachukua nafasi kama hizo yeye alikua anafanya nn..?

Ukija kwetu sisi hakuna fursa kama zamani aiseee hakuna fursa kabisa an faken life
Sasa sii uongee nae vizuri atumie urafiki kama fursa upate hata kanafasi huko bakabaka. Au anakupiga kamba
 
Salaam.

Wakuu wafanya biashara wadogo wenzangu,hivi hali ikoje kwenye biashara mbona mambo yanazidi kua mabaya hivi wazee kwa zaidi ya mwezi sijawahi kukutana na hali mbaya ya biashara kama wakati huu tangu nianze hii biashara,yaani pesa hakuna mteja anakuja analia vibaya sana.

Wazee ni kwangu tu au hata kwenu? Biashara zote tatu ni shida atleast ya chakula ndo napatapata ya kusukuma siku dah🙌 sio poa.
Ngoja tuwaulize chawa viherehere watupe mtazamo!
 
Madawa ya binadam , Lab na Mgahawa
Hospitalini hakwendeki,kwenye lab hatwendi watu wanapiga tu,dawa tatu,ukiona mtu kaenda hospital ujue huyo yupo hali tete!
Ukiniambia nifungue business,nachagua chakula,tena niuze 1200/- Ugali,spinach,robo samaki,mchuzi mwingi sana 😜
 
Back
Top Bottom