Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
We pika maandazi weka amira nyingii halafu tumia mafuta ya transfoma kukangia. Utapata pesa mlima, maana wajinga wengi saridalaam huwaambii kitu kwa maandazi yaliyopikwa kwa kutumia mafuta ya transfoma.
 
Chips

2.kama unaoata soko zuri

Tafuta src wanaponunulia cndm za China

Pita kwenye lodge...hii nakupa mchongo dadayangu anafanya na ana degree na ana wafanyakazi 7 nw...jua tu chimbo...

3.nguo
Pale.mikocheni kuna chimbo la nguo za China unaagiza mzigo unapata baada ya wiki mbili

Mkuu chupi za 2000 unanunua kwa 500

Kiatu cha kike ch 10000 unanunua kwa 2500

Kazikwako na kutakia kila la heri mjasiriamali

Hilo la chips hakikishaa n sehemu yenye mzunguko na ikikua usibwetekeenamoja ongeza nyingine uwe na ofisi kadhaa hakikisha mkeo anasimamia kama hana ajira maana n biashara nyegelezi uchelewi kutoka drw na muuza chips unahitaji mtu wa karibu sana kusimamia
 
Back
Top Bottom