the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
Lissu ana haki ya kuonana na mashahidi wake kabla ya kesi ili wapange mikakati ya kesi yao. Hilo linapaswa kutokea kabla ya kuanza kutoa ushahidi kama ilivyokuwa kwa Heche, Mnyika etc.
Hivyo mahakama iweke utaratibu kwa mashahidi watatu waliobaki yaani CDF, DCI na IGP mshitakiwa aweze kuonana...
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimedumu madarakani kwa muda mrefu nchini Tanzania, kimekuwa kikikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, na kijamii zinazotajwa na wachambuzi wa mambo kulinganisha na miaka ya nyuma.
Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazoelezwa na wataalamu...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limeanza kufanyia kazi tukio la kutoweka kwa Shaaban Maulid Songela, mwalimu wa Madrasa na mkazi wa Mtaa wa Mlimanicity, Kata ya Ng’ambo, Manispaa ya Tabora, ambaye familia yake inasema hajulikani alipo kwa zaidi ya siku kumi.
Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa...
Wanabodi,
Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
Nimeambiwa kuwa, Freeman Mbowe ameshawahi kwenda Ukonga gerezani mara Moja kumtembelea Mwenyekiti wake Tundu Lissu...
Katika mtembeleo huo, hakutoa mrejesho walizungumza nini hasa iwapo alikwenda kumsalimu na kumfariji tu au kuna cha ziada walichozungumza kwa public kujua
Lakini FAM anaishi...
Nimeona taasisi za Serikali zinatoa Pole kwa mke mdogo wa Hafidh tu. Je, Mke wa Kwanza ni kwamba hajafiwa au?
Kufa au kifiwa hakina cheo.
Taasisi zingesema pole kwa Wajane, Watoto na Familia ya Hafidh Hassan.
Lakini haya ya kumpa pole Mzanzibari Samia Suluhu Hassan pekee ni pole za kinafiki...
Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa jina la Muwekezaji.
Taarifa tulizovujishiwa sisi wamiliki wa hizi nyumba, ni kwamba anayetaka kutwaa...
Mume ni mmoja, lakini ana wake wawili: mke mkubwa na mke mdogo. Mke mkubwa aliokoka. Baada ya mume wake kusikia mafundisho ya Injili, alimwacha na kukimbia, akamuacha kanisani.Baadaye, alipooa mke mwingine, huyo mke naye akaokoka.
Anafanya kazi katika eneo lake, anachanga na anashiriki katika...
Mwanaume unaishi na mwanamke kimapenzi, mara baada tu ya kuingia chuo kikuu kutoka kwenu Ushetu.
Mwanaume , huyo mwanamke akifa ukiwa naye anazikwa kwao, maana si mkeo bali ni mzinzi mweznio.
Mwanamke , ukiumwa utakuja kusalimiwa na wazazi wako kwa mzinzi mwezio ama utasema ulikuwa unaishi...
Na hiyo ndio siri ya kustawi na kuimarika kwa nguvu ya CCM kila uchwao, tofauti na upinzani wa Tanzania ambao udhaifu wao kiujumla, unatokana na chuki binafsi baina yao, uhasama baina yao, migawanyiko baina yao, tamaa, ufisadi na uchu wa vyeo na madaraka miongoni mwao, kitu kinachowafanya...
Influencer na mfanyabiashara mwenye asili ya Nigeria na uraia wa Uingereza, Igho “Tiny” Ubiribo, anayejulikana pia kwa majina ya Denisi au Ego, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya kupata matatizo kutokana na utaratibu wa kuongeza ukubwa wa uume nchini Thailand.
Uchunguzi wa kifo...
Habari wana-JamiiForums,
Hivi karibuni, tumeshuhudia tukio ambalo limeacha maswali mengi kuliko majibu kuhusu mwelekeo wa usalama wa nchi yetu. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kuwaita wasanii na maarufu wa mitandao ya kijamii na...
Kisaikolojia ukijinadi kuwa wewe sio hivyo ulivyo huwa tunasema una poor insight ...yaani hutaki kukubali hali halisi nafsi yako inavyokuambia.
Ni somo tu kwa wanaolewa saikolojia
Ndani ya JWTZ kuna mfumo thabiti sana wa mgawanyo wa madaraka na udhibiti, tofauti kabisa na mtazamo wa watu wengi mnavyodhani kwamba kiongozi mkuu mmoja ana mamlaka ya kufanya kila kitu peke yake.
Mnaolalamika kuwa Mnadhimu wa JWTZ ni Mzanzibari, hivi akiteuliwa Mzanzibari kuwa Mkuu wa Jeshi...
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu mwenendo unaodaiwa kufanywa na Mkurugenzi wa Ugavi na Ununuzi (DPS) wa Wizara ya Afya katika ugawaji wa kazi za manunuzi.
Inaelezwa kuwa, licha ya maafisa kugawiwa idara mbalimbali za kushughulikia masuala ya manunuzi, baadhi ya zabuni zinazohusu idara hizo...
Anonymous
Thread
afya
kazi
kugawa
mkubwa
mkurugenzi
sana
ugavi
ununuzi
unyanyasaji
wake
watumishi
wizara
wizara ya afya
zake
Tayari Mshtakiwa wa kesi ya Uhaini Mh Tundu Lissu amefikishwa mahakamani.
Kaa tayari kufuatilia kile kinachoendelea mahakama kuu ya Tanzania, Mahakama ndogo jijini Dar es Salaam
=======
Soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.