Mwanaume hodari anajua kumdekeza mke/Mpenzi wake

realMamy

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2024
Posts
7,335
Reaction score
18,733
1000146448.jpg

Nyumba sio kambi ya kijeshi wala sehemu ya kutoa amri. Ni mahali pa upendo, utulivu na furaha.

Mkeo au mpenzi wako ndiye mshirika wako wa maisha.

Baadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa Jeshi nyumbani kwa kutoa amri za hapa na pale.

Mfano "Nipe maji ya kunywa"
"Niwekee maji ya kuoga"
"Njoo hapa"
"Vua Nguo"
"Nipe Mapenzi"
"Huendi"
"Nitanunua nikitaka"
"Wewe"
"Sikununulii"
"Sikupi"

Kumbuka kuwa huko nje unaweza kuwa bosi lakini nyumbani nyote ni familia Moja. Mwanamke anayehisi anathaminiwa ndiye atakayekupa amani ya akili na moyo.

Anapodekezwa mvuto wake unaongezeka. Anakuwa mtiifu zaidi, msikivu zaidi. Nyumba inajaa baraka, chakula kinakuwa kitamu, na matatizo yanapungua.

Kudekeza sio gharama ni uwekezaji.
1000146450.jpg

Usisubiri afanye kitu kikubwa ndio umpe sifa. Mshukuru hata kwa vitu vidogo. "Ninakushukuru" neno hili lina nguvu kuliko pesa nyingi.

#Mapenzi #Ndoa
 
View attachment 3646447

Nyumba sio kambi ya kijeshi wala sehemu ya kutoa amri. Ni mahali pa upendo, utulivu na furaha.

Mkeo au mpenzi wako ndiye mshirika wako wa maisha.

Baadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa Jeshi nyumbani kwa kutoa amri za hapa na pale.

Mfano "Nipe maji ya kunywa"
"Niwekee maji ya kuoga"
"Njoo hapa"
"Nipe Mapenzi"
"Huendi"

Kumbuka kuwa huko nje unaweza kuwa bosi lakini nyumbani nyote ni familia Moja. Mwanamke anayehisi anathaminiwa ndiye atakayekupa amani ya akili na moyo.

Anapodekezwa mvuto wake unaongezeka. Anakuwa mtiifu zaidi, msikivu zaidi. Nyumba inajaa baraka, chakula kinakuwa kitamu, na matatizo yanapungua.

Kudekeza sio gharama ni uwekezaji.
View attachment 3646452

Kwa mazingira ya tz na afrika kwa wajijuao huo nao ni udhaifu,haya yanawezekana kwa walio halisi tuu.
 
View attachment 3646447

Nyumba sio kambi ya kijeshi wala sehemu ya kutoa amri. Ni mahali pa upendo, utulivu na furaha.

Mkeo au mpenzi wako ndiye mshirika wako wa maisha.

Baadhi ya wanaume hujifanya ni makamanda wa Jeshi nyumbani kwa kutoa amri za hapa na pale.

Mfano "Nipe maji ya kunywa"
"Niwekee maji ya kuoga"
"Njoo hapa"
"Nipe Mapenzi"
"Huendi"

Kumbuka kuwa huko nje unaweza kuwa bosi lakini nyumbani nyote ni familia Moja. Mwanamke anayehisi anathaminiwa ndiye atakayekupa amani ya akili na moyo.

Anapodekezwa mvuto wake unaongezeka. Anakuwa mtiifu zaidi, msikivu zaidi. Nyumba inajaa baraka, chakula kinakuwa kitamu, na matatizo yanapungua.

Kudekeza sio gharama ni uwekezaji.
View attachment 3646452

Usisubiri afanye kitu kikubwa ndio umpe sifa. Mshukuru hata kwa vitu vidogo. "Ninakushukuru" neno hili lina nguvu kuliko pesa nyingi.

#Mapenzi #Ndoa
realMamy katika mada zako nyingi za mahusiano umekuwa biased muda wote. Umekuwa unaongelea mahusiano katika namna ambayo inamfaidisha mwanamke pekee na unekuwa ukiona mwanaume hapaswi kupata benefits katika mahusiano hayo. Hii ni mindset ya ubinafsi, chako chako, changu chetu.
 
Umenielewa tofauti jamani 😅😅😅
Ukimdekeza nawe utadekezwa 😜
 
Back
Top Bottom