the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).
AI inaanza kuacha alama kwenye kazi zako-Claude imetangaza kwamba maandishi yaliyopitia kwenye mfumo wake yataweza kuainishwa kuwa AI iliandika kila kitu au ilisaidia tu kuboresha maandishi.-Je, hii ni hatua nzuri ya kudhibiti matumizi ya AI au itawafanya watu waogope kuitumia?
Kesi ya madai ya umma iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu ya San Mateo, California (Case No. 26 CIV 06555) na Mange Kimambi dhidi ya Meta Platforms, Inc. (imeambatanishwa kama attachment) imeweka msingi mpya wa kisheria katika utetezi wa haki za kidigitali. Shauri hili halilengi kudai fidia ya...
Anasema, Ni mzanzibari na wala si Mtanganyika wa Dodoma, and therefore si Mgogo according to this information from this chap!
With this information if true, ana sifa za kuwa na nafasi aliyopewa
Wakuu mnakumbuka Siku za mwishoni kuelekea KIFO chake, Magufuli alitindiganya mambo sanaaa akaharibu kwelikweli
Picha ileile , Inarudi kwa Mzanzibar , Mzanzibar katindiganya mambo sanaaa + Uislam + umbumbumbu basi daaah kayatiganya haswaa.
Jambo Moja la uhakika 100%, Mungu kanionesha Usiku...
Haiba ya Ucheshi na Uzungumzaji ya ndugu yetu Mh.Tundu Lissu inafanya watu wanaoitaka apotee, wazidi kufula kama Vifutu.
Namsihi apunguze Mizaha kwa neema za Mungu. Vinginevyo anafanya mioyo yao izidi kuchefukwa na kubuni kila njia ya kumwangamiza! Pia inawafanya waonyeshe unyama wao...
abdul hafidh
biashara
binafsi
entebbe
hafidh ameir
hizi
ikulu
kujadili
matairi
mbili
mtoto
mtoto wa
mtoto wa rais
mtoto wa rais samia
na rais
nchi
rais
rais samia
rais wa uganda
samia
sekta
sekta binafsi
uganda
ujumbe
wake
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Emmanuel Elisante Mariki, mkazi wa kijiji cha Lyasongoro, kata ya Marangu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kujeruhi watu wawili .
Tukio hilo limetokea usiku wa saa kumi na nusu alfajiri ya Agosti 24 katika kijiji...
Kesi ya uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu inaendelea Jumatatu Agosti 24 ambapo mshtakiwa anajitetea mbele ya mahakama.
Lissu: Ukiangalia miaka kabla ya 2020 tume imekuwa ikifanya hivyo. Lakini 2020 kuna matokeo ya urais hayakuchapishwa. Sina uhakika kama ya mwaka jana...
Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida.
Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo.
Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
Huyu bwana ni mauti yanayotembea
Kuwapo kwake kwa muda mrefu ni kutokana na kutengeneza network ya kuua upinzani.
Amehusika na muaji ya watu wengi huko syria na kurd
Sasa anataka akawaue na wa israel
Jumapili ya Leo pale kanisani kwangu nimetoa somo zuri sana Kwa wale wote waliooa na wanaotarajia kuoa.
Niliwafundisha vitu viwili ambavyo mke anaweza kumshinda mume wake. Kitu Cha kwanza ni 'sauti nyororo, kitu cha pili ni 'makebo'.
Yaani mke akishakuwa na sauti nzito kuliko mume...
Kwa sisi wataalamu wa ramli chonganishi,iko hivi leo kwenye uzinduzi wa bwawa la kufua umene lililojengwa na Hayati Magufuli, high table walikua wamekaa Samia na Nchimbi..Nchimbi akawa anajifanya kumchekesha Samia kinafiki ila Samia akawa hana muda nae kivile..
So naamini ni kweli hawa viongozi...
Hiki ni kionjo katika mabishano huko mahakamani katika kesi hii yenye kuleta hisia.
Nini maoni yako kuhusu hili...je wanasheria mna maoni gani MUNGU au SHETANI anaweza kuwa shahidi katika kesi?
Mpenzi wangu ana tabia ya kunilinganisha na ex wake karibu kila wakati. Nikifanya jambo fulani, ananiambia ex wake alikuwa akifanya vizuri zaidi. Nikikosea, hunikumbusha jinsi ex wake alivyokuwa tofauti. Mwanzoni nilipuuzia, lakini sasa maneno hayo yameanza kuniumiza.
Nimewahi kumuuliza kama...
Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa.
Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.